TCU YAFUTA BAADHI YA VYUO NA KUZUIA UDAHILI
- Miongoni mwa vilivyofutwa ni Chuo Kikuu cha Teofile Kisanji-Dar na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU)
- Kilichozuiliwa kudahili ni Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa
Zaidi, soma https://jamii.app/TCUVyuoUdahili-2020

HISTORIA: MVUA YA MAWE KUBWA KUWAHI KUTOKEA DUNIANI
> Ilitokea Nchini India katika Jimbo la Uttar Pradesh mnamo Aprili 30, 1888 na kuua Watu 246
> Ilikuwa na vimbunga na radi zenye nguvu, mawe ya mvua hiyo yalikuwa na ukubwa wa Yai la Bata Mzinga au Mpira wa 'Cricket'
Zaidi, tembelea https://jamii.app/MvuaMawe

UTEUZI: Rais Magufuli ameteua Wenyeviti wanne wa Bodi mbalimbali akiwemo Dkt. Masatu Masinde Leonard Chiguna anayekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TAA
- Pia, amemteua Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC) na Mkuu wa Chuo cha Maji
Zaidi, soma https://jamii.app/UteuziWenyevitiJan2020

ULINZI WA KIDIGITALI: JIFUNZE BAADHI YA 'APPLICATION' KWA USALAMA WAKO
> Cerberus itasaidia simu yako ikiibwa, X-Privacy kuzuia taarifa kuvuja, Cryptonite kutengeneza 'File' lenye ulinzi ndani ya simu
Kwa elimu na application nyingi zaidi fungua > https://jamii.app/UsalamaSimu

RUKWA: MLINZI AMCHINJA BOSI WAKE BAADA YA KUSHINDWA KUMLIPA MSHAHARA
> Polisi inamshikilia Mlinzi huyo aliyekuwa akidai Tsh. 360,000
> Marehemu alikatwa na kitu chenye ncha kali. Shingo, miguu na kiwiliwili chake vilitenganishwa
Zaidi, soma - https://jamii.app/MauajiMshaharaRukwa

UINGEREZA: DAWA YA SARATANI YAGUNDULIWA
> Wanasayansi wa Chuo Kikuu cha Cardiff wamegundua namna ya kutibu Saratani za aina zote
> Matokeo hayajajaribiwa kwa Wagonjwa lakini Wanasayansi hao wanasema yana uwezekano mkubwa wa kufanikiwa
Zaidi, soma https://jamii.app/DawaSaratani

MBU NDIO KIUMBE TISHIO ZAIDI DUNIANI
> Inakadiriwa watu 725,000 hadi 1,000,000 hufa kila mwaka kutokana na magonjwa yanayosababishwa na mbu
> Mbu aina ya Anofelesi husababisha vifo zaidi kwa kusambaza 'Plasmodiam' ambao husababisha Malaria
Zaidi, soma https://jamii.app/TishioMbu

ULINZI WA KIDIGITALI: Umewahi kukutana na neno 'Encryption'? Je, wajua maana na kazi yake?
> Encryption ni mchakato wa kufunga ujumbe au taarifa ili zisiweze kuinguliwa na Mtu asiyeruhusiwa, asiyehusika au asiyetakiwa. Ni moja kati ya hatua muhimu katika UlinziWaKidigitali
> Katika mchakato huu, taarifa au ujumbe hubadilishwa mantiki na muonekano ili kuzuia asiyehusika kuweza kuupata na kuuelewa
> Mfano: Katika simu au kompyuta ambayo imewezeshwa kufanya 'Encryption' ukituma ujumbe ulioandika (Habari ya Asubuhi) basi wakati wa kusafirishwa kwenda kwa mlengwa/walengwa utafungwa na kuwa (mfano: ₩¥Gskgzk:,÷..._52828) lakini ukimfikia mlengwa utasomeka (Habari ya Asubuhi)
> Kuna baadhi ya Programu Tumishi (Application) hutaka wahusika kubadilishana funguo kwanza kabla ya kuanza kuwasiliana kwa jumbe na taarifa zenye 'Encryption'

KIGWANGALLA: WALISHINDWA KUNIUA WAKATI ULE. NAINGIA VITANI KWA SILAHA ZOTE
- Adai kuna Watu wanalipwa, wanaandika kwenye gazeti vitu vya kipuuzi ili kumchafua
- Asema, vita na ushindi ni asili yake bila kujali nani atadhurika kwenye vita hiyo
Zaidi, soma https://jamii.app/KigwangallaVitani

DAR: WANAFUNZI 19,000 WALIOJIUNGA KIDATO CHA KWANZA, WAKOSA MADARASA
> Kuna upungufu wa Madarasa 381, Wilaya ya Temeke pekee ikiwa na Upungufu wa Madarasa 120
> Wilaya ya Temeke ina wanafunzi 5970 waliokosa nafasi za Kidato cha Kwanza
Zaidi, soma https://jamii.app/DarMadarasa

WATU MILIONI 470 HAWANA KAZI NZURI ULIMWENGUNI
> Asilimia 60 ya Nguvu Kazi Ulimwenguni kote ni wale wanaofanya kazi zisizo rasmi, ambapo malipo ni kidogo na bila marupurupu
> Vijana milioni 267 hawako kwenye ajira, elimu au mafunzo ya kazi
Zaidi, soma https://jamii.app/KaziUlimwenguni

TANZANIA MIONGONI MWA NCHI 7 ZINAZOWEZA KUWEKEWA VIKWAZO NA MAREKANI
- Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria, Sudan na Tanzania huenda zikaongezwa katika orodha ya nchi ambazo Raia wake wamewekewa vikwazo kuingia Marekani
Zaidi, soma https://jamii.app/Tanzania-USATravelBan

Rushwa ya aina yoyote ina athari nyingi zikiwemo Kuumiza Wananchi, Kudhoofisha uwezo wa Serikali wa kutoa Huduma za Msingi, Kukosekana kwa Usawa na Haki na Kukatisha Watu tamaa
- Kwa mujibu wa Kifungu cha 25 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na. 11/ 2007, adhabu ya mtu atakayebainika kuomba Rushwa ya Ngono ni faini isiyozidi Tsh. Milioni 5 au kifungo kisichozidi miaka mitatu au vyote kwa pamoja
#KemeaRushwa

TMA YATOA TAHADHARI YA MVUA KUBWA KWA MIKOA MINNE
> Mikoa hiyo ni Lindi, Mtwara, Ruvuma na Morogoro
> TMA pia imetoa tahadhari ya upepo mkali na mawimbi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, Dar, Tanga, Unguja na Pemba
Zaidi, soma https://jamii.app/TMAMvuaTahadhari

MACAU: MJI UNAOONGOZA KWA KIPATO KINACHOTOKANA NA KAMARI DUNIANI
> Mwaka 2016, Mji huu ulikadiriwa kuwa na kipato kilichotokana na Kamari cha Dola Bilioni 27.8 (Sawa na Tsh. Trilioni 64.2)
> Macau iliyopo China imeingia katika Kitabu cha Rekodi za Dunia cha Guinness 2019 kutokana na mapato hayo
Zaidi, soma https://jamii.app/KamariDuniani

NIGERIA: MAGAIDI WAUANA WAO KWA WAO
> Boko Haram walivamia kambi ya Dola la Kiislamu la Afrika Magharibi (ISWAP)
> Mapigano kati ya makundi hayo mawili ya Kigaidi Kaskazini Mashariki mwa Nigeria yamesababisha vifo vya wapiganaji wengi
Zaidi, soma https://jamii.app/MagaidiNigeria

ALIYESHTAKIWA KWA UHUJUMU UCHUMI ATEULIWA UENYEKITI WA BODI VETA. MASHTAKA YAKE YALIFUTWA
> Ni Peter Maduki, ambaye alishtakiwa kwa makosa 280 likiwamo la Utakatishaji Fedha
> Kesi iliondolewa Mahakamani siku moja baada ya kufunguliwa
Zaidi, soma https://jamii.app/UhujumuUteuzi

MAAMUZI YA KAMATI YA USIMAMIZI WA LIGI KUU TANZANIA
- Kocha wa Yanga, Luc Eymael ameonywa kwa kutoa matamshi na kufanya vitendo visivyofaa
- Yanga imetozwa Tsh. 500,000 kwa Mashabiki wake kurusha chupa za maji uwanjani na kuwarushia Waamuzi
Zaidi, soma https://jamii.app/MaamuziKamatiLigi

TUNDU LISSU: WADHAMINI HAWAWEZI KUNIRUDISHA TANZANIA, NITARUDI NIKIHAKIKISHIWA USALAMA WANGU
> Lissu aomba Mahakama kuwatendea haki wadhamini wake, Robert Katula na Ibrahimu Ahmed
> Amesema, uhai ni mkubwa kuliko kesi
Zaidi, soma https://jamii.app/LissuMahakamaWadhamini

MTWARA: WAZAZI WALIOGOMA KUPELEKA WATOTO SHULE KUSAKWA
> Wanafunzi 20,400 walitakiwa kujiunga Kidato cha Kwanza lakini 75% hawajaripoti Shule
> Mkuu wa Mkoa amesema, Wazazi waliogoma kupeleka watoto shuleni watachukuliwa hatua za kisheria
Zaidi, soma - https://jamii.app/WazaziElimuMtwara