TANZANIA INA KASI YA MTANDAO YENYE WASTANI WA 2.34 Mbps
> Nchi Tano Bora ni Singapore 60.39 Mbps, Sweden 46.00 Mbps, Denmark 43.99 MB/S, Norway 40.12 Mbps na Romania 38.60 Mbps
Soma https://jamii.app/FastestInternetCountries

CHAKULA NI KICHOCHEO CHA KUIMARISHA MAHUSIANO MAZURI YA FAMILIA
- Je, unajua kwamba familia ambazo zinakula chakula pamoja zinapata faida nyingi ikiwemo kuimarisha mawasiliano na mahusiano ya wazazi na watoto?
- Kuwapa uhuru wanafamilia wa kuchagua chakula wakitakacho ni njia mojawapo ya kuwafanya wajisikie wanawajibika na wana maamuzi katika masuala muhimu ya familia
Kujua njia nyingine, tembelea https://jamii.app/ChakulaKuimarishaMahusiano

SHAMBULIO KATIKA KAMBI YA JESHI NIGER LAUA WANAJESHI 25
-
Watu wenye silaha wanaoshukiwa kuwa Wanamgambo wa Kijihadi wameua wanajeshi 25 na kujeruhi 6 katika Kambi ya Jeshi la Niger karibu na mpaka na Mali
-
Hata hivyo, Washambuliaji 63 wanadaiwa kuuawa wakati wa mapigano hayo, ambayo yalitokea katika Mji wa Chinagodrar

TANZANIA NI YA 73 KWA PASSPORTS ZENYE NGUVU DUNIANI
> Henley Passport Index imeitaja Japan kuwa kinara wa Passport yenye nguvu, ina Nchi 191 za kutembelea bila VISA
> Afghanstan ni ya mwisho ambayo ina Nchi 26
Soma https://jamii.app/StrongPassportCountries

SONGWE: ANYWA SUMU KWA KUPATA UFAULU WA DARAJA LA 4 KIDATO CHA 4
- Michael Aroni (20) amekunywa sumu kufuatia kupata ufaulu wa Daraja la IV la alama 26
- Alitarajia kupata ufaulu wa Daraja la Kwanza katika matokeo hayo yalitolewa jana
Zaidi, soma https://jamii.app/MatokeoIVAnywaSumu

ALIYEMUINGIZA NYETI MTOTO MDOMONI KUHUKUMIWA
> Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam imepanga Januari 20, 2020 kutoa hukumu kwa Riziki Kessy
> Alitenda kosa hilo, Julai 24 mwaka 2018 maeneo ya Kimara Stop Over Dar es Salaam
Zaidi, soma https://jamii.app/HukumuNyetiMtoto

VITABU VITAKATIFU VINAKEMEA VITENDO VYA RUSHWA
- Mnamo mwezi Desemba 2019, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliwaomba Viongozi wa Dini na Wazazi kutumia nafasi zao kutoa mafunzo ya athari ya rushwa katika jamii
- TAKUKURU wanatukumbusha kuwa Rushwa ina madhara makubwa kwa jamii na taifa kwa ujumla inapaswa kukemewa kuanzia ngazi ya familia, Kanisani, Misikitini na maeneo ya Shule na Vyuo
#KemeaRushwa

RAILA ODINGA: MIGUNA HAJAZUIWA KURUDI. ANABWEKA KAMA MBWA
- Amesema aliyekuwa Msaidizi wake, Miguna Miguna hajazuiwa na yeyote kurudi Kenya
- Amesema, “Anabweka bweka huko nje kama Mbwa, si aje abweke hapa. Uhuru na Raila hawaogopi Miguna.”
Zaidi, soma https://jamii.app/RailaOdingaVsMiguna

SULTAN QABOOS WA OMAN AFARIKI DUNIA
> Sultan Qaboos bin Said Al Said amefariki akiwa na miaka 79
> Baraza la Familia linatakiwa kumtangaza mrithi mpya ndani ya siku tatu
Soma - https://jamii.app/RIPSultanQaboos

IRAN: TULITUNGUA NDEGE YA ABIRIA YA UKRAINE KIMAKOSA
- Imesema kutokana na makosa ya Kibinadamu iliitungua ndege hiyo iliyoua Watu wote 176
- Ndege hiyo ilianguka muda mchache baada ya Iran kurusha makombara kwenye Kambi za Jeshi za Marekani
Zaidi, soma https://jamii.app/IranYatunguaNdegeUkraine

ZAMBIA: BIASHARA ZA MAJENEZA NJE YA HOSPITALI ZIMEZUILIWA
> Wauza majeneza nje ya Hospitali ya Chuo Kikuu iliyopo Mjini Lusaka wametakiwa kuondoka mahali hapo
> Wagonjwa walilalamika kuwa, uwepo wa majeneza eneo hilo unawapa Msongo wa Mawazo
Soma https://jamii.app/MajenezaMawazoWagonjwa

TMA YATOA TAHADHARI YA MVUA KWA MIKOA 6
> Mikoa hiyo ni Singida, Rukwa, Mbeya, Njombe, Songwe na Iringa
> Mamlaka imewataka wananchi kuzingatia tahadhari ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea
Zaidi, soma - https://jamii.app/TMATahadhariMvua

RAIS MAGUFULI: NI AIBU SHULE ZA ZANZIBAR KUSHIKA NAFASI ZA MWISHO
> Amesema hayo wakati akiweka Jiwe la Msingi katika ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe
> Amemuagiza Mkandarasi kukamilisha ujenzi wa Shule kabla ya Machi 30
Soma - https://jamii.app/MagufuliUfauluZanzibar

WANANCHI WATAKIWA KUACHA KUTUMIA VILEVI KUTOKANA NA ONGEZEKO LA JOTO
> Chama cha Madaktari (MAT) wametoa ushauri kwa wananchi kuacha matumizi ya vilevi na mazoezi mazito yanayoweza kusababisha mwili kuchemka na kuongeza kiwango cha joto
> Madhara ya joto yanaweza kusababisha seli za mwili kushindwa kufanya kazi kutokana na mwili kupoteza maji na chumvichumvi nyingi
Soma - https://jamii.app/VileviOngezekoJoto

PAPA FRANCIS AVUNJA REKODI YA KUPATA FOLLOWERS WENGI NDANI MUDA MFUPI
> Alipata 'followers' milioni 1 ndani ya Saa 12 baada ya kujiunga Instagram
> Mchezaji David Beckham, alipata 'followers' milioni 1 ndani ya Saa 24 baada ya kujiunga
Soma https://jamii.app/PopeIstagramFollowers

SAMSUNG NA STAR LAB ZAFANIKIWA KUTENGENEZA BINADAMU WASIO HALISI
> Wamepewa majina ya NEON sio Roboti kwani wataweza kujisimamia wenyewe na kufanya kazi kama binadamu wa kawaida ikiwemo kusoma taarifa ya habari, kuwa mwalimu, mshauri wa masuala ya fedha, msimamizi wa mazoezi (gym master) na waigizaji
Soma - https://jamii.app/SamsungArtificialHumans