MWENDELEZO: Polisi wamefika eneo la Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar unapofanyika Mkutano wa CHADEMA na kuagiza bendera za chama hicho zilizowekwa kushushwa
- Awali, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic alikiandikia barua chama hicho kikuu cha Upinzani Nchini kutaka kishushe bendera hizo
Zaidi, soma https://jamii.app/BenderaCDM-Ubungo

MOSHI: WATU 15 WAJERUHIWA BAADA YA BASI KUGONGA MAGARI MENGINE 7
- Wamejeruhiwa na kupelekwa Hospitali ya Mawenzi baada ya basi la Kampuni ya Harambee kudaiwa kupata hitilafu katika mvumo wake wa breki na kuparamia magari hayo 7 katikati ya Mji
Zaidi, soma https://jamii.app/AjaliMoshi15Wajeruhiwa

ZIMBABWE: MKE WA MAKAMU WA RAIS ASHTAKIWA KWA KUTAKA KUMUUA MUMEWE
- Mary Mubaiwa, anadaiwa kujaribu kumuua Jenerali Constantino Chiwenga kwa kuchomoa mrija wa maji (drip) wakati Chiwenga alipokuwa akitibiwa Afrika Kusini miezi 6 iliyopita
Zaidi, soma https://jamii.app/MkeMakamuRais-ZMB

SUDAN KUSINI: KIIR NA MACHAR WAKUBALIANA KUUNDA SERIKALI YA UMOJA FEBRUARI 2020
> Rais Salva Kiir na Kiongozi wa Waasi, Riek Machar wamekubaliana kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kufikia Februari 2020
> Rais Salva Kiir amesisitiza kwamba swali la idadi ya majimbo, ambalo limekuwa likizua mtafaruku mkubwa katika mazungumzo, bado halijapatiwa ufumbuzi
Soma - https://jamii.app/JointGovKiirMachar

SERIKALI YAUTAKA UONGOZI WA UDSM KUWACHUKULIA HATUA VIONGOZI WA WANAFUNZI
> Ni viongozi wa Serikali ya Wanafunzi Chuo cha Dar, walioipa Serikali saa 72 kulipa mikopo ya wanafunzi vinginevyo wataandamana
> Waziri wa Elimu asema tamko lilitolewa kinyume cha utaratibu wa kutoa malalamiko na ni utovu wa nidhamu wa kiwango cha juu
Soma - https://jamii.app/DARUSOKuadhibiwaSerikali

UCHUNGUZI DHIDI YA TRUMP: ALALAMIKA KUNYIMWA HAKI YA KUWASILISHA USHAHIDI
> Rais Donald Trump ameandika barua kwa Spika Nancy Pelosi, akimtuhumu kutangaza vita ya wazi dhidi ya Demokrasia ya Marekani
> Trump anakabiliwa na kura ya uchunguzi itakayopigwa leo
Soma - https://jamii.app/TrumpSlamsIllegalCoup

UTAFITI: WANAWAKE WEUSI HATARINI KUPATA SARATANI YA MATITI KUTOKANA NA DAWA ZA NYWELE
> Wanawake wanaotumia bidhaa hizo maarufu kama 'Relaxer' huongeza nafasi zao za kupata Saratani ya Matiti kwa hadi 60%
> Kulingana na utafiti huo, kuna tofauti za hatari kulingana na rangi ya muhusika ambapo wanawake weusi wanakabiliwa na hatari kubwa (45%) kupata Saratani
Soma - https://jamii.app/RelaxersBreastCancer

Baadhi ya maneno ya Rais Magufuli wakati akizindua Jengo la Ofisi ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Jengo la Mahakama ya Wilaya, Wilayani Chato katika Mkoa wa Geita
KISARAWE: MCHUNGAJI WA KANISA LA EAGT MBARONI KWA KUBAKA NA KUMPA MIMBA MWANAFUNZI
> Mchungaji Shauri Steven anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka na kumpa mimba mwanafunzi wa Darasa 5
> Sababu imetajwa kuwa tamaa za mwili ambapo alimlaghai kwa madai ya kumfanyia Huduma ya Maombi
Soma - https://jamii.app/MchMbaroniMimbaMwanfz

WAKENYA: MTI WA KRISMASI WA UWANJA WA NDEGE JOMO KENYATTA NI 'KITUKO'
- Mti huo umerembwa kwa mapambo ya Krimasi huku chini kukiwa na maboksi ya zawadi
- Wakenya Mitandaoni hawakuweza kuficha hisia zao huku wakilinganisha mti huo na mingine
Soma https://jamii.app/MtiKrismasiJKIA-Kenya

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ERICK KABENDERA KULA KRISMASI NA MWAKA MPYA RUMANDE
- Jamhuri imeeleza kuwa upelelezi bado haujakamilika
- Wakili wa Kabendera amesema bado wanaendelea kuzungumza na DPP kuhusu barua ya kukiri makosa
- Kesi kusikilizwa tena Januari 2, 2020
Zaidi, soma https://jamii.app/KesiKabendera-2020

NAFASI ZA KAZI NDANI YA TAASISI YA T-MARC TANZANIA
- Shirika hilo linalofanya kazi kuboresha Afya ya Umma na kukuza Maendeleo ya Jamii limetangaza nafasi 10 za kazi
- Sales Representatives (6), Accountant, Business Development Manager, Procurement Specialist na Marketing Manager
Zaidi, soma https://jamii.app/NafasiKaziT-Marc