BUNGENI, DODOMA: MBUNGE ALIYEDAI WAHUDUMU WA ATCL HAWANA MVUTO AWAOMBA RADHI WATANZANIA
- Husna Mwilima, Mbunge wa Kigoma Kusini (CCM) amewaomba radhi Watanzania hasa Wanawake waliokwazwa na kauli yake
-Amesema aliitoa kwa lengo la kujenga
Soma > https://jamii.app/MbungeVsATCL

UGANDA: MWANAFUNZI WA DARASA LA 3 AFARIKI WAKATI AKIGOMBANA NA MWENZIE
- Mtoto huyo wa miaka 12 amefariki wakati akigombana na Mwanafunzi mwenzie ktk Shule ya Msingi Lukolo
- Imeelezwa kuwa alianguka chini na kugonga kichwa chake
Zaidi, soma > https://jamii.app/P3PupilDies

IDRIS SULTAN AOMBA MSAMAHA KWA RAIS MAGUFULI KWA KUHARIRI PICHA YAKE
> Mchekeshaji huyo amemuomba Rais Magufuli msamaha kutokana na kuhariri picha yake kwenye ukurasa wa Instagram na kueleza kuwa picha ile haikuwa na maana mbaya kama watu walivyoitafsiri
> Amesema, kama msanii ana njia nyingi za kufikisha ujumbe
Soma - https://jamii.app/IdrisMsamahaRais

KILIMANJARO: MBUNGE GODBLESS LEMA NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA HAI WAKAMATWA
- Godbless Lema pamoja na Helga Mchomvu wamekamatwa na Jeshi la Polisi Wilayani humo kwa tuhuma za kukusanyika na kufanya mkutano usio halali
Taarifa zaidi, soma > https://jamii.app/LemaMchomvuPolisi

MAREKANI: BABA AMTUMIA MTOTO KAMA NGAO ILI ASIPATWE NA RISASI
- Yaseem (Miezi 11) yupo mahututi baada ya kupatwa na Risasi 4 kutokana na babake kumtumia kujikinga asipatwe na Risasi
- Baba huyo amekamatwa akihusishwa na biashara ya #DawaZaKulevya
Soma https://jamii.app/BabyUsedAsHumanShieldInShooting

ASILIMIA 84 YA WAFANYAKAZI TANZANIA HAWANA MIKATABA. KAMPUNI ZA WAASIA ZINAONGOZA KWA UBAGUZI
- Ripoti ya Haki za Binadamu na Biashara ya mwaka 2018/19 iliyozinduliwa leo na Kituo cha Sheria na Haki za Bindamu (LHRC) imeeleza hayo
Zaidi, soma > https://jamii.app/HakiBiashara

IRAQ: POLISI WATUMIA MBWA KUWATISHA WAANDAMANAJI, WAANDAMANAJI WATUMIA SIMBA KUWATISHA POLISI
> Tangu Oktoba 01 Wananchi wa Iraq walianza maandamano dhidi ya Viongozi wakiwashutumu kwa mfumo uliokithiri rushwa na utawala usiokidhi kuongoza
> Takriban watu 319 wakiwemo Waandamanaji na Polisi wamefariki tangu kuzuka kwa maandamano hayo
Soma - https://jamii.app/IraqSrtrikesLionDogs

MAREKANI YATISHIA KUSITISHA UHUSIANO WAKE NA SUDAN KUSINI
> Serikali ya Marekani imeonya kuwa italazimika kuutazama upya uhusiano wake na Serikali ya Sudan Kusini baada ya Rais Salva Kiir na Kiongozi wa upinzani, Dkt. Riek Machar kushindwa kufufua mpango wa kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kama ilivyopangwa Novemba 12
Soma - https://jamii.app/TishioUhusianoUSSSudan

KAGERA: MWANAFUNZI WA KIDATO CHA 4 AFARIKI KWA KUKOSA HEWA
> Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Mwemage, Paficitus Tumwesige amefariki baada ya kukosa hewa kutokana na kufunga milango huku akiwa amewasha jiko la mkaa ndani ya nyumba alimokuwa amelala
Soma - https://jamii.app/KifoMwnfnJikoMkaa

MAHAKAMA YAAMURU WABUNGE 4 WA CHADEMA WAKAMATWE
> Mahakama ya Kisutu imeamuru Ester Bulaya (Bunda Mjini), John Heche (Tarime Vijijini), Peter Msigwa (Iringa Mjini) na Halima Mdee (Kawe) wakamatwe na kufikishwa Mahakamani hapo kwa kukiuka masharti ya dhamana
> Ni baada ya kutofika Mahakamani bila kuwepo kwa taarifa zozote
Soma - https://jamii.app/AmriKukamatwaWabungeCDM

TARIME, MARA: VIJANA WANAOJIANDAA KWA TOHARA WAKAMATWA KWA MAUAJI
- Vijana hao wanatuhumiwa kwa mauaji ya Mwalimu, Sospeter Ogo wa Shule ya Sekondari Itiryo iliyopo Tarafa ya Ingwe
- Walimtaka awape fedha, aliposema hana, wakamshambulia
Soma > https://jamii.app/MauajiMwlOgo

UGANDA: WANANCHI WATIA SAINI WARAKA WA KUSHINIKIZA RAIS MUSEVENI AFIKISHWE ICC
> Zaidi ya wananchi 800 wa Uganda wamesaini waraka wa kushinikiza Rais wa nchi hiyo, Yoweri Musevei kufikishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC)
> Kampeni hiyo inayokusudia kukusanya takriban saini milioni 2 ili kufunguliwa kwa faili la jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu dhidi ya Rais Museveni
Soma - https://jamii.app/WarakaMuseveniICC

RIPOTI: MATUMIZI HOLELA YA DAWA HUSABABISHA MWILI KUPATA USUGU WA DAWA
> WHO na FAO zimebainisha kuwa takriban watu 700,000 kila mwaka wanapoteza maisha duniani kutokana na Usugu wa Dawa
> Watu wanaotumia dawa nyingi wako hatarini kupata Usugu wa Dawa, kwani matumizi ya mara kwa mara ya Antibiotiki yanaweza kusababisha kushuka kwa kinga ya mwili
Soma - https://jamii.app/EffectsUseAntibiotics
#JFLeo

WAZIRI MKUU ATOA ONYO KWA WANAOPANGA KUVURUGA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
> Amesema kuanzia Novemba 17 - 23, 2019 litaanza zoezi la Kampeni za Uchaguzi, hivyo yeyote atakayevuruga zoezi hilo atachukuliwa hatua kwa Mujibu wa Sheria
> Vikundi vya Ulinzi wa Jadi au vya Ulinzi Binafsi au vya Mashabiki wa Vyama vya Siasa havitatumika kwenye maeneo ya Kampeni au Uchaguzi
Soma - https://jamii.app/OnyoVuruguUchaguziSMitaa

FAIDA ZA KUFANYA BIASHARA MTANDAONI
Katika biashara mtandao unaweza kuwa mojawapo ya njia ya kujitangaza, kuongeza wateja na kuongeza mauzo.
> Kati ya sababu muhimu za kutumia mtandao katika biashara ni kwamba kuna gharama nafuu katika kufanya matangazo.
> Intaneti imeleta urahisi wa kuwafikia watu wengi kwa gharama nafuu na inakupa uwezo wa kupata taarifa za wateja wako.
Fahamu zaidi kupitia https://jamii.app/BiasharaMtandao

KENYA NA SOMALIA ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUBORESHA UHUSIANO
> Kenya na Somalia zimekubaliana kurekebisha Uhusiano wao na kuanza tena kutoa vibali vya kusafiri kwa raia wao baada ya msuguano wa muda mrefu kuhusu mpaka wa baharini
> Makubaliano hayo yametangazwa baada ya mkutano kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Rais Mohamed Abdullahi Mohamed mjini Nairobi
Soma - https://jamii.app/UhusianoKESomalia

UJERUMANI: KUREJEA KWA KUNDI LA IS, SERIKALI YALAZIMISHA KUWATULIZA WANANCHI
> Serikali ya Ujerumani inajaribu kuwatuliza wananchi kuwa usalama wao hautoingia hatarini kutokana na kurejea kwa wafuasi wa Kundi la Dola la Kiislam-IS kutoka Uturuki
> Msemaji wa Chama cha Christian Democratic Union CDU amesisitiza kwamba watakaorejea "sio kitisho" kama Vyombo vya Habari vinavyodai
Soma - https://jamii.app/FearReturnISMembers

SUDAN KUSINI: ZAIDI YA WATU LAKI 4 HAWANA MAKAZI KUTOKANA NA MAFURIKO
> Shirika la Kimataifa la Misaada la Save the Children limesema zaidi ya watu 420,000 wamelazimika kuondoka kwenye makaazi yao kutokana na mvua kubwa zilizosababisha mafuriko
> Kwa ujumla, inakadiriwa watu 900,000 nchini humo wameathirika na mafuriko
Soma - https://jamii.app/FloodsHomelessSSudan