HAKI YA AFYA KWENYE KATIBA YA SASA YA TANZANIA
- Katiba inayotumika sasa haiwapi Wananchi uhakika wa kisheria wa mahitaji muhimu ili waishi
maisha yenye afya bora
- Wadau wanasema ni sharti iwe kwenye #Katiba licha ya Serikali kujitahidi ktk Sekta ya Afya
#UmuhimuKatiba

ZIMBABWE: MADAKTARI 77 WAFUKUZWA KAZI BAADA YA MGOMO WA MIEZI MIWILI
> Madaktari hao kutoka hospitali za Serikali wamefukuzwa kutokana na kukiuka amri ya Mahakama ya kuwataka kurudi kazini ndani ya saa 48 baada ya kugoma kwa miezi miwili wakitaka maboresho katika mishahara
> Aidha, wafanyakazi wa Serikali nao wameanza mgomo leo baada ya Serikali kushindwa kuwalipa mishahara kwa thamani ya Dola
Soma - https://jamii.app/77DoctorsFiredStrikes

THAILAND: WALINZI 15 WAUAWA KWA RISASI KATIKA KITUO CHA UKAGUZI
- Watu wenye silaha wamewaua Walinzi 15 katika Kituo kimoja cha ukaguzi cha barabarani na kujeruhi wengine watano
- Kundi la Waasi la nchini humo linadaiwa kuhusika na shambulio
Soma https://jamii.app/Walinzi15Wauawa-TAI

HAKI YA KUISHI: Haki hii inajumuisha haki ya kuwa hai (Ibara ya 14)
- Hata hivyo kifungu cha 196 cha Sheria ya Makosa ya Jinai ambacho kinatoa adhabu ya kifo kwa mtu aliyepatikana na hatia ya kuua kwa kukusudia kinakinzana na Ibara hiyo ya #Katiba ya Tanzania

MBATIA: WAGOMBEA WOTE WA NCCR KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA JIMBONI VUNJO WAMEENGULIWA
- Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesema mchezo uliofanywa ni hatari kwa nchi na tayari ameiandikia Serikali barua ya malalamiko
Zaidi, soma https://jamii.app/UchaguziMitaaNCCR-Vunjo

BASHE: SERIKALI HAITAINGILIA KUPANGA BEI ZA PAMBA MSIMU UJAO
- Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuelekea msimu ujao wa Pamba, Serikali itajitahidi kupunguza gharama, kutopanga bei na kujitajitahidi kumlinda mkulima asipate hasara
Zaidi, soma https://jamii.app/SerikaliKutopangaBeiPamba

ZAHERA: NIMEONDOLEWA YANGA KWA KUKATAA KUFANYA KAZI NA CHARLES MKWASA
- Mwinyi Zahera amedai viongozi wa Yanga walimuhakikishia kuendelea kuwa Kocha hata kama angefungwa Misri
- Amedai, ameondolewa baada ya kumkataa Mkwasa kama Msaidizi wake
Zaidi, soma https://jamii.app/ZaheraSababuKuondoka

UTURUKI YADAI KUMKAMATA DADA WA KIONGOZI WA ISLAMIC STATE ALIYEUAWA
- Rasmiya Awad (65) anadaiwa kukamatwa huko Aleppo karibu na mji uliodhibitiwa na Uturuki, Azaz
- Ni dada wa aliyekuwa Kiongozi wa Islamic State (IS), Abu Bakr al-Baghdadi
Zaidi, soma https://jamii.app/DadaKiongoziISMbaroni

MAREKANI: ALIYEFUKUZWA KAZI KWA KUMUONESHA 'KIDOLE CHA KATI' TRUMP APEWA OFISI YA UMMA
- Juli Briskman aliyemuonesha 'Kidole cha Kati' Rais Trump Oktoba 2017, amechaguliwa kuwa Mwakilishi wa Wilaya ya Algonkian katika Kaunti ya Loudoun, Virginia
Zaidi, soma https://jamii.app/BriskmanAwaMwakilishiWilaya

MBUNGE WA HONK KONG ACHOMWA KISU WAKATI WA KAMPENI
> Mmoja wa waandamanaji anayeipinga Serikali amemchoma kisu na kumjeruhi Mbunge wa Hong Kong, Junius Ho wakati akifanya kampeni ya uchaguzi hii leo
> Hata hivyo, Mbunge huyo anadaiwa kupanga tukio hilo kwa maslahi ya kisiasa
Soma https://jamii.app/BeijingLawmakerStabbed

BUNGENI: Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson ameagiza Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA), Peter Msigwa kuhojiwa na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuthibitisha kauli aliyoitoa leo kuwa kura ziliibiwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015
Zaidi, soma https://jamii.app/Tulia-MsigwaKamatiMaadili

WAFANYAKAZI WA ZAMANI WA TWITTER WASHTAKIWA KWA KUICHUNGUZA MAREKANI
- Wafanyakazi wawili wanaodaiwa kutumiwa na Saudi Arabia kuichunguza Marekani, wameshtakiwa wakishutumiwa kuwasaidia Maafisa wa Saudi Arabia kupata taarifa binafsi za watumiaji wa Mtandao huo wakiwemo wakosoaji
Zaidi, soma https://jamii.app/USAvsSaudi-Twitter

WALIOTUMIA JINA LA MAMA JANETH MAGUFULI KUTAPELI WAHUKUMIWA KULIPA FAINI
> Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu watu wanne kulipa faini ya Tsh. Milioni 1.5 kila mmoja baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kutumia jina la mke wa Rais Magufuli kutapeli Tsh. Milioni 4.4
> Mbali na faini hiyo, Mahakama imetaifisha gari aina ya Toyota Raum pamoja na simu 8 vilivyotumika katika utapeli huo
Soma - https://jamii.app/UtapeliJinaMkeRais

UJERUMANI: SHIRIKA LA NDEGE LA LUFTHANSA LAFUTA SAFARI TAKRIBAN 1,300
- Limefuta baadhi ya safari za leo na kesho kutokana na mgomo wa Chama cha Wahudumu wa Ndege
- Wahudumu hao wamegoma wakipigania mishahara na hadhi ya kisheria ya chama
Zaidi, soma https://jamii.app/LufthansaYafutaSafari-UJR

PROF. LIPUMBA AMUOMBA RAIS MAGUFULI KUINGILIA KATI MGOGORO KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
> Amesema, Kitendo cha kuwanyima fomu wagombea wa upinzani sio tu hakina tija kwenye ukuaji wa Demokrasia, pia ni matumizi mabaya ya Pesa za Umma
> Asema, huwezi ukafanya semina, kuchapisha nyaraka mbalimbali huku ukijua hakuna uchaguzi bali wagombea wanapita bila kupingwa
Soma - https://jamii.app/LipumbaUchaguziSMitaa

CHINA YAZINDUA RASMI UTAFITI NA UENDELEZAJI WA 6G
- Imeanza kuendeleza mfumo wa kusafirisha mawimbi ya mawasiliano ya simu wa 6G ikiwa ni hatua ya kuachana na 5G
- Imesema, Ulimwenguni ujuzi wa teknolojia hiyo upo katika hatua za majaribio
Zaidi, soma https://jamii.app/ChinaKutafiti6G

KUFANYA KAZI NA KUINGIZA KIPATO NI HAKI YAKO
-
Katiba inatoa haki ya kufanya kazi, ikijumuisha haki ya kupata ujira wa haki na halali. #Katiba inatoa nafasi ya Mtanzania kudai haki yake kama anafanya kazi halali lakini halipwi au hapati stahiki yake
-
Fedha za mishahara na posho za watumishi wa Serikali ni pamoja na fedha za malipo ya uzeeni na kiinua mgongo kwa wanaostahili. Malipo haya yatatolewa na Mfuko Mkuu wa Hazina
-
Je, Wastaafu wanaolalamikia kutolipwa stahiki hizi za kikatiba wachukue hatua gani?
#UmuhimuKatiba #JFLeo

SERIKALI YATAJA MIKOA INAYOONGOZA KWA WATU WAKE KUVUTA BANGI
> Serikali imesema matumizi ya dawa za kulevya aina ya bangi bado ni tatizo nchini, huku yakishika kasi katika Mikoa ya Mara, Tanga, Morogoro, Arusha, Kagera na Ruvuma
> Jumla ya vituo sita vilivyopo Dar, Mwanza, Mbeya na Dodoma viliendelea kutoa huduma na hadi mwaka 2018 zaidi ya watumiaji 8,000 walipatiwa huduma za Methadone
Soma - https://jamii.app/MikoaVinaraUvutajiBangi