SIKU YA KIHARUSI DUNIANI: Huadhimishwa Oktoba 29, ili kusisitiza uwepo wa ugonjwa huo, kuongeza uelewa wa kuzuia na matibabu yake
- #Kiharusi kinaweza kutokea kwa mtu yeyote, wakati wowote na mahali popote
Kufahamu zaidi, soma https://jamii.app/DaliliMadharaKiharusi
#StrokeDay

KENYA: DANIEL ARAP MOI ALAZWA TENA HOSPITALI WIKI MBILI BAADA YA KUTOKA
- Rais huyo wa Zamani wa Kenya, amelazwa katika Chumba cha Uangalizi Maalumu (ICU) katika hospitali ya Nairobi
- Madaktari wanaomuhudumia wanasema ni kutokana na maumivu ya kifua na shida katika kupumua
Zaidi, soma https://jamii.app/MoiAdmittedAgain

USHAURI: WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA WAPELEKWE VETA BADALA YA JKT
- Mdau kutoka JamiiForums ameiomba Serikali ibadili sera kwa Vijana wanaomaliza Kidato cha Sita kupelekwa VETA ili wakapate mafunzo ya awali ya ufundi mbalimbali
- Amedai, mabadiliko hayo yatasaidia kuwaandaa vijana wenye ujuzi mbalimbali mitaani watakaoweza kujiajiri au kuajiriwa
Kujadili, tembelea https://jamii.app/Vijana-JKTvsVETA

SERIKALI YADAIWA KUINGILIA UHURU WA MAHAKAMA KATIKA KESI YA BULAYA DHIDI YA WASIRA
- Jaji Mfawidhi mstaafu, Noel Chocha asema alipata vishawishi kutoka kwa watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa Serikali wakitaka aubebe upande mmoja
Zaidi, soma > https://jamii.app/JajiChochaHaki

RIPOTI YA CAG KWA MWAKA 2017/18: MAMLAKA YA BANDARI NCHINI YAKALIA KUTI KAVU
- Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali yataka uchunguzi wa mapungufu ktk ununuzi wa vifaa vya TEHAMA, ununuzi wa ardhi na ajira 32 kama ilivyoanishwa ktk ripoti
Soma > https://jamii.app/PACvsTPA

AMERIKA KUSINI: MAASKOFU KATOLIKI WAPITISHA PENDEKEZO LA KUWA NA MAPADRI WALIOOA
- Pendekezo limepitishwa kwa kura 128 dhidi ya 41
- Nchi zilizo kwenye pendekezo ni Bolivia, Brazil, Colombia, Ecuador, French Guiana, Guyana, Peru na Venezuela
Soma https://jamii.app/KatolikiLatinAmerica

IRAQ: MAANDAMANO YAENDELEA, WATU WAUAWA NA WENGINE WAJERUHIWA
- Watu 18 wameuawa na mamia kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa dhidi ya Waandamanaji huko Karbala
- Waandamanaji hao wanapinga rushwa Serikalini na ukosefu wa huduma muhimu
Zaidi, soma https://jamii.app/18WauawaIraqMaandamano

MDAU: SERIKALI IINGILIE KATI TABIA YA "WASWAHILI" KUFUNGA BARABARA ZA MTAANI KISA WAMEPATA MSIBA AU WANAFANYA SHEREHE
- Anasema, amepata kadhia ya kuchelewa anakokwenda kutokana na njia rasmi kufungwa kisa mmoja wa wakazi wa eneo husika anafanya sherehe
Soma > https://jamii.app/KufungaNjiaDar

WAZIRI AMKAMATA DEREVA AKIFANYA MAKOSA. ABIRIA WARUDISHIWA NAULI
- Waziri Kangi Lugola amemkamata Marijani Saidi, dereva wa basi la Manoni Safaris akitokea Mwanza kwenda Mara, kwa kuendesha kwa mwendokasi na kutaka kupita lori bila tahadhari
Zaidi, soma https://jamii.app/WaziriAkamataDereva

ZAHERA: HAKUNA MCHEZAJI WA YANGA ANAWEZA KUCHEZA PYRAMID FC
- Kocha wa Yanga amesema hawasikilizi Mashabiki kwani anawasiliana na Uongozi uliompa Mkataba
- Amesema, mashabiki hawapaswi kumlaumu kwani usajili wao ulikuwa kwaajili ya Ligi Kuu
Zaidi, soma https://jamii.app/Zahera-MashabikiYanga

AFYA: TATIZO LA UVIMBE WA NDANI YA NGOZI (LIPOMA). JE, WAJUA CHANZO, DADLILI NA TIBA YAKE?
- Lipoma ni uvimbe unaotokea kutokana na kukua zaidi kwa seli mafuta na uvimbe huu huonekana ndani ya ngozi
- Kwa elimu ya chanzo, dalili na tiba, fungua > https://jamii.app/Lipoma

BEIRUT, LEBANON: WAZIRI MKUU, SAAD HARIRI ATANGAZA KUJIUZULU KUFUATIA MAANDAMANO YA WANANCHI
- Wananchi wameandamana kwa wiki 2 wakimtaka aachie madaraka
- Oktoba 17, Serikali ilitangaza kuanza kukata kodi kwenye mazungumzo ya WhatsApp
Soma > https://jamii.app/SaadHaririAjiuzulu

TAHADHARI YA MVUA KUBWA YATOLEWA KWA BAADHI YA MAENEO NCHINI
- Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini, imetoa utabiri wa hali ya hewa hatarishi kwa siku tano ambapo mvua kubwa inatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mwanza, Geita, Kagera, Mara pamoja na Magharibi mwa mkoa wa Simiyu
Zaidi, soma https://jamii.app/TahadhariMvuaKZiwa

TANZIA: MWANDISHI NGULI WA VITABU VYA JIOGRAFIA, DOMINIK THABIT MSABILA AFARIKI DUNIA
- Amefariki leo katika Hospitali ya Chuo Kikuu SUA, baada ya kuugua kwa muda mfupi
> Msabila alitumia kalamu yake kuwasaidia vijana wengi kwa kuandika vitabu vya somo la Jiografia
Zaidi, soma https://jamii.app/RIPMsabila

KESI NAMBA 456 (JAMHURI v JAMIIFORUMS): HUKUMU NI NOVEMBA 26
- Upande wa Utetezi umefunga ushahidi wake uliokuwa unatolewa mbele ya Hakimu Simba katika Mahakama ya Kisutu
- Mawakili wa Utetezi watapeleka utetezi wa maandishi Novemba 20, 2019
Zaidi, soma https://jamii.app/Kesi456UteteziUshahidi

JE, MUDA GANI KIAFYA UNARUHUSIWA KUTUMIA KILEVI BAADA YA KUNYWA DAWA?
- Unapokunywa pombe baada ya kutumia dawa, mwili hutambua pombe kama sumu. Ini huacha kazi zote na kupigana/kuchuja sumu iliyoingia mwilini
Kwa ufafanuzi zaidi, bofya https://jamii.app/DawaVsPombe

DAR: ALIYEKISABABISHIA CHUO HURIA HASARA NA KUKAA MAHABUSU MIAKA 7, AHUKUMIWA
- Marietha Milinga amehukumiwa kulipa faini ya Tsh. Milioni 12.9 na kifungo cha nje cha miezi 6 kwa kukisababishia hasara Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Zaidi, soma https://jamii.app/HasaraChuoHuriaHukumu

CARABAO CUP: MAN. CITY, LEICESTER, EVERTON ZAINGIA ROBO FAINALI
- Klabu hizo pamoja na klabu za Oxford United na Colchester United zimeingia robo fainali baada ya kuibuka na ushindi kwenye michezo yao ya jana usiku
- Michuano hiyo inaendelea tena leo usiku kwa michezo ya kukata na shoka, Chelsea inaikaribisha Man. United na Liverpool itavaana uso kwa uso na Arsenal