MAHAKAMA YATENGUA HUKUMU YA JOSEPH MBILINYI
- Mahakama Kuu leo imetengua Hukumu, Mwenendo na Kifungo alichohukumiwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ kutokana na ubatili wa mwenendo katika kesi hiyo
Zaidi, soma https://jamii.app/HukumuSuguYatenguliwa

KABENDERA ATAKA KUJADILIANA NA DPP KUMALIZA KESI YAKE
- Erick Kabendera anataka kujadiliana na Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) namna ya kumaliza kesi yake
- Anakabiliwa na kesi yenye mashtaka 3 likiwemo la utakatishaji wa zaidi ya Tsh. Milioni 173
Zaidi, soma https://jamii.app/KabenderaKuongeaDPP

WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA ASHINDA TUZO YA AMANI YA NOBEL
> Abiy Ahmed, ametunukiwa tuzo hiyo kwa mwaka 2019 kutokana na juhudi zake za kuleta Amani na kusuluhisha Mgogoro wa mpaka kati ya Ethiopia na Eritrea uliodumu kwa miaka 20
Zaidi, soma > https://jamii.app/AbiyNobel2019

UGANDA YAANDAA SHERIA YA KUNYONGA WAPENZI WA JINSIA MOJA
- Imetangaza mpango wa kuanzisha tena sheria inayopinga mahusiano ya jinsia moja, iliyofutwa mwaka 2014
- Wanaoshiriki watahukumiwa kunyongwa na wanaopigia debe wanaweza kushtakiwa
Zaidi, soma https://jamii.app/SheriaKunyongaWapenziJinsia1-UG

TPA YAKANUSHA VIDEO INAYOSAMBAA IKIWATUHUMU WATUMISHI WAKE KWA WIZI
> Mamlaka ya Bandari(TPA) yasema taarifa inayosambazwa kuhusiana na wizi bandarini ni ya kupuuza
> TPA: video hiyo imelenga kuchafua taswira nzuri ya Bandari za Tanzania
Soma > https://jamii.app/WiziBandari

SIKU 13: HATIMAYE MIILI YA MARIAM NA MWANAYE YAOPOLEWA
- Gari lililo na miili ya Mariam Kighendi(35) na Mwanaye Amanda Mutheu(4) limeopolewa katika Feri ya Likoni, Mombasa
- Limeopolewa huku ndugu na Mume wa marehemu, John Wambua wakishuhudia
Zaidi, soma https://jamii.app/BodiesMariamDaughterRetrieved

DODOMA: MFANYAKAZI WA EXIM MBARONI KWA KUIIBIA BENKI HIYO TSH. MILIONI 120
- Mtunza Fedha, Martin Temu(33) mbaroni kwa madai ya kuiibia benki hiyo Tsh. Milioni 120 na USD 9,513
- Kati ya fedha alizoiba alikamatwa akiwa na Tsh. Milioni 37.5
Zaidi, soma https://jamii.app/MfanyakaziEximMbaroniWizi

ZIMBABWE: WAFANYAKAZI WAANDAMANA WAKIITAKA SERIKALI IINGILIE KATI MFUMUKO WA BEI
> Wakiwa katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Harare walishika mabango yenye ujumbe wa kukana kuwa "Wao si Watumishi bali ni Wafanyakazi"
Kwa maoni yako, unafikiri wafanyakazi wa umma na taasisi binafsi hawapaswi kuitwa "watumishi"?
Zaidi, soma => https://jamii.app/ZimbWorkers

PROFESA ASHINDA TUZO YA NOBEL, ASEMA FEDHA ZOTE ATAZIPELEKA KATIKA CHUO ANACHOFUNDISHA
> Profesa Goodenough(97) wa Chuo Kikuu Texas, Marekani atatoa Tsh. bilioni 2 atakazopewa kama mshindi wa Tuzo hiyo ili ziwasaidie Wafanyakazi wa chuo hicho
Soma https://jamii.app/ProfGoodenough

TANGA: MBARONI KWA KUJIANDIKISHA KWA ZAIDI YA MARA MOJA KWENYE DAFTARI LA KURA
- Watu 4 mbaroni wakituhumiwa kuvuruga uandikishaji wa wapiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa
- Wamekamatwa katika Kata ya Ngamiani Kusini na Ngamiani Kati
Zaidi, soma https://jamii.app/MbaroniUandikishajiKura-TA

KENYA: CHUO KIKUU MOI CHAFUNGWA KWA MUDA USIOJULIKANA
- Kimefungwa baada ya Wanafunzi kufanya vurugu wakiandamana kutaka kutimiziwa mahitaji yao
- Kinakuwa Chuo cha tatu kufungwa nchini humo ndani ya mwezi mmoja kutokana na vurugu za Wanafunzi
Zaidi, soma https://jamii.app/MoiUniClosedIndefinitely

AFYA: WANAOTEMBEA TARATIBU WAKO KATIKA HATARI YA KUPATA MAGONJWA YA UZEE
> Ugonjwa wa 'Alzheimer' unaowakumba watu wenye miaka 65 na kuendelea unaweza kuwapata watu wanaopendelea kutembea taratibu
> Pia, wako kwenye hatari ya kufa mapema
Soma > https://jamii.app/SlowWalkers
#JFAfya

ELIUD KIPCHOGE: MWANARIADHA WA KWANZA KUKIMBIA KM 42 KWA CHINI YA SAA 2
> Kipchoge mwenye miaka 34, amekimbia Kilometa 42.2 kwa kutumia muda wa saa 1, dakika 59 na sekunde 40 kwenye michuano ya Ineos 1:59 huko Vienna, Austria
Zaidi, soma => https://jamii.app/KipchogeRekodi

RAIS MAGUFULI: WATU 138 WALIOKUWA NA KESI ZA UHUJUMU UCHUMI WAMEACHIWA
- Amesema hadi leo Watu 138 waliokuwa wakidaiwa kuwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi na kuomba msamaha kwa DPP, wamerudisha fedha, wametubu, wameachiwa na sasa ni Raia Wema
Zaidi, soma https://jamii.app/138WatubuUhujumuUchumi

RAIS MAGUFULI ATANGAZA KUHAMIA RASMI IKULU YA DODOMA
- Mara baada ya kumaliza kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura ya Serikali za Mitaa akiwa na mkewe, Janeth Magufuli, Rais Magufuli ametangaza kuhamia rasmi Dodoma kuanzia leo Oktoba 12, 2019
Zaidi, soma https://jamii.app/MagufuliAhamiaDodoma

IRAN YATAJA SHAMBULIO DHIDI YA MELI YAKE NI ISHARA YA UOGA
- Imesema shambulio dhidi ya meli yake ya mafuta ni ‘Shambulio la Uoga’ na inafanya uchunguzi kabla ya kujibu mashambulizi
- Inadhaniwa makombora hayo huenda yaliyoka Saudi Arabia
Zaidi, soma https://jamii.app/MeliIranYashambuliwa

KENYA: POLISI 10 WAFARIKI BAADA YA GARI LAO KUKANYAGA BOMU
- Maafisa hao ni kutoka Kambi ya Harhar GSU iliyopo katika Kaunti ya Garissa
- Walikuwa katika doria kwenye barabara ya Damajale Harehare
- Eneo hilo liko mpakani na nchi ya Somalia
Soma > https://jamii.app/GarissaPolisiIED

KIMBUNGA HAGABIS CHAIKUMBA JAPAN: 11 WAFARIKI, 16 HAWAJULIKANI WALIPO HUKU 128 WAJERUHIWA
> Msemaji wa Serikali, Yoshihide Suga amesema Wanajeshi 27,000 wamepewa kazi ya kuwaokoa watu
> Watu milioni 6 wakosa sehemu ya kuishi
Zaidi, soma > https://jamii.app/Hagabis
#Hagabis #JFLeo