ANGOLA: WAZIRI MSTAAFU AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 14 JELA KWA HATIA YA RUSHWA
- Mahakama ya Juu imemhukumu kifungo hicho aliyekuwa Waziri wa Wizara ya Usafirishaji kuanzia mwaka 2008-2017, Augusto da Silva Tomas
Zaidi, soma => https://jamii.app/WaziriAngolaJela

MABAHARIA 17 KUTOKA CHINA NA UKRAINE WATEKWA KATIKA PWANI YA CAMEREOON
- Raia 9 wa China na 8 kutoka Ukraine wametekwa baada ya meli zao kushambuliwa na kutekwa katika Ghuba ya Guinea
- Mpaka sasa hakuna kundi lililojitokeza na kukiri kuhusika
Soma > https://jamii.app/17SeamenAbducted

WAZIRI WA TAMISEMI AMVUA MADARAKA MKUU WA SHULE YA SEKONDARI UMBWE
- Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo anatuhumiwa kwa kushindwa kusimamia nidhamu ya Wanafunzi
- Hii ni baada ya Wanafunzi 5 kujeruhiwa ktk vurugu zilizotokana na tofauti za kidini
Soma > https://jamii.app/JafoVsMkuuShuleUmbwe

HARARE, ZIMBABWE: WANANCHI WAANDAMANA WAKIPINGA UGUMU WA MAISHA
> Wananchi wanapinga ugumu na kupanda kwa gharama za maisha na ufisadi
> Askari walitumia virungu kuwazuia waandamanaji wasifike Makao Makuu ya Chama Tawala(MDC Alliance)
Soma > https://jamii.app/ZimbabweRiots

MAHUSIANO: MWANAMKE UNAKUBALI VIPI KUACHISHWA KAZI NA MUME WAKO?
- Mdau wa JamiiForums anasema kuwa kwa sasa kuna malalamiko mengi ya Wanawake wakieleza kuwa wamelazimishwa kuacha kazi na waume wao
- Mdau wetu anahoji: inakuwaje umesoma kwa bidii zote na kupata maarifa kisha unakubali kwa maneno rahisi na kuamua kuacha kazi?
- Anahoji pia, Wanaume huwa wanafikiria na kuhofia nini hadi kufikia hatua ya kuwataka wake zao waache kazi na kukaa nyumbani?
Kwa mjadala, soma > https://jamii.app/WanawakeKuachishwaKazi

DKT. SLAA: AWAKEMEA WATANZANIA WANAOIKOSOA SERIKALI MITANDAONI
- Amesema kutumia Mitandao ya Kijamii kuikosoa Serikali kunawapa kazi Mabalozi kuitetea nchi katika mataifa ya nje
- Dkt. Slaa kwa sasa ni balozi wa Tanzania nchini Sweden
Soma > https://jamii.app/SlaaVsWakosoajiGvt

MKUTANO SADC: WASHIRIKI 48 KUTOKA TANZANIA, ZIMBABWE NA AFRIKA KUSINI WADAIWA KUHOJIWA NA POLISI
> Washiriki hao wanaotoka kwenye Asasi za Kiraia walianza kuhojiwa jana na usiku wa kuamkia leo
> Wapekuliwa katika vyumba vyao vya Hoteli
Soma > https://jamii.app/WashirikiSadcPolisi
#SadcSummit2019

MKUTANO WA SADC WAFUNGULIWA RASMI
- Marais na viongozi mbalimbali kutoka nchi wanachama wakiongozwa na mwenyeji wao Rais Magufuli wametoa hotuba zao
- Katika mkutano huu, Rais Magufuli atakabidhiwa Uenyekiti wa Jumuiya hiyo
#JFLeo #SadcSummit2019

MAREKANI YATOA WARANTI YA KUKAMATWA KWA MELI YA IRAN
> Wizara ya Sheria ya Marekani inadai Meli hiyo ni sehemu ya mpango wa kufikia kinyume na Sheria mfumo wa kifedha wa Marekani na kusaidia upelekaji wa mafuta kinyume na Sheria nchini Syria kutoka Iran
Soma - https://jamii.app/USArrestIranShip
#JFLeo

RAIS MAGUFULI AKABIDHIWA UENYEKITI SADC
> Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Agosti 17, 2019 amekabidhiwa Uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Rais wa Namibia, Dkt Hage Geingob
> Uteuzi huo utadumu kwa mwaka mmoja
Soma - https://jamii.app/MagufuliMkitiSADC

MICHEZO: Klabu ya Simba imefanikiwa kumpata Mkuu mpya wa Idara wa Habari na Mawasiliano ambaye ni Gifti Macha
> Senzo Mazingisa anakuwa Mtendaji Mkuu wa Simba, Hashim Mbaga ni Meneja wa wanachama, Ofisa Meneja ni Rehema Lucas na Meneja wa mtandao wa kijamii ni Rabi Hume
#JFMichezo

SERIKALI KUPIGA MNADA WANYAMA WAKALI WALIOKO MAENEO YA MIJINI
> Waziri Hamisi Kigwangalla amesema Serikali itauza Viboko wote waliopo kwenye Maziwa, Mabwawa na Mito iliyopo maeneo ya mijini
> Maeneo yaliyotajwa ambayo yana viboko watakaouzwa ni Mpanda, Mafia na Babati
> Pia imeamua kuuza 10% ya Mamba wote nchini kutokana na kuvamia maeneo ya watu
Soma - https://jamii.app/MnadaWanyamaHatari

LORI LA MAFUTA LATEKETEA KWA MOTO NA KUSABABISHA KIFO CHA UTINGO
> Lori la Kampuni ya Mount Meru limeanguka na kuwaka moto Wilayani Kahama na kusababisha kifo cha utingo wa lori hilo huku dereva wake, Ibrahimu Issa akijeruhiwa kwa moto
> Lilikuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea nchini Rwanda
Soma - https://jamii.app/MotoLoriMafuta

AFGHANISTAN: 63 WAFARIKI NA 182 WAJERUHIWA KATIKA SHAMBULIO LA KUJITOA MUHANGA HARUSINI
> Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani amesema, tukio limetokea Agosti 17, Mjini Kabul baada ya mmoja wa walioshiriki harusi kujilipua
> Hakuna Kikundi kilichokiri kuhusika na mlipuko huo
Zaidi, soma https://jamii.app/Watu63WauawaMlipuko-AFGN

IDADI YA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO MOROGORO YAFIKIA 95
- Ni baada ya majeruhi mmoja aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kufariki jana usiku
- Majeruhi 20 wa ajali hiyo waliobaki katika hospitali hiyo wamelazwa katika chumba cha uangalizi maalum

ARUSHA: MWANAFUNZI AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI KUTOKANA NA MSONGO WA MAWAZO
> Faisal Ibrahim (19), amejiua kwa kujipiga risasi kutokana msongo wa mawazo uliosababishwa na matumizi ya Dawa Za Kulevya kwa kutumia bunduki aina ya ‘Rifle Winchester’ inayomilikiwa na baba yake mzazi
Soma https://jamii.app/MwanafunziAjiuaDawaZaKulevya

NAIROBI, KENYA: MOTO WATEKETEZA SOKO LA GITHURAI 45
- Chanzo cha moto huo ulioteketeza mali ambazo bado thamani yake haijafahamika bado hakijajulikana
- Aidha, kiwanda cha kutengeneza samani pamoja na ghala lake vimeteketea
Zaidi, soma => https://jamii.app/MotoGithurai45

SADC KUSAIDIA ZIMBABWE KUONDOLEWA VIKWAZO, BURUNDI YATAKIWA KUKAMILISHA VIGEZO KUWA MWANACHAMA
> Pia, wamekubaliana kuendelea kufuatilia hali ya usalama nchini Congo na wameiagiza Sekretarieti kuharakisha chombo cha kukabiliana na majanga ktk nchi wanachama kama vile njaa, mafuriko, vimbunga, magonjwa ya mlipuko na mengineyo
Zaidi, soma - https://jamii.app/MaadhimioMkutanoSADC