SIKONGE, TABORA: RAIA WAWILI WA AFRIKA KUSINI WAFARIKI KATIKA AJALI YA NDEGE
> Ndege hiyo imeanguka na kuteketea kwa moto wakati ikitokea nchini Uganda kuelekea Malawi
> Waliofariki ni rubani wa ndege hiyo na abiria wake
Zaidi, soma > https://jamii.app/AjaliNdegeSikonge

TEXAS, MAREKANI: WATU 20 WAMEFARIKI KATIKA SHAMBULIO LA RISASI
- Ni baada ya Kijana wa kiume (21) aliyekuwa na bunduki aina ya AK-47 kufyatua risasi ndani ya duka la Walmart huko El Paso
- Watu wengine 26 wakiwemo watoto wamejeruhiwa
Zaidi, soma https://jamii.app/20PeopleKilledShooting-ElPaso

OHIO, MAREKANI: WATU ZAIDI YA 7 WAUAWA KATIKA SHAMBULIO LA RISASI
> Tukio hilo limetokea katika baa huko Oregon Jijini Dayton
> Taarifa zinaeleza kuwa mtuhumiwa amekamatwa na msako unaendelea kumtafuta mshirika wake anayedaiwa kutoroka
Zaidi, soma https://jamii.app/DaytonOhioShooting

UFILIPINO: DHORUBA BAHARINI YAUA 11, WATATU HAWAJULIKANI WALIPO
> Ni baada ya boti 3 kupinduka zikiwa zinaelekea kisiwa cha Guimaras kutoka Iloilo
> Watabiri wa hali ya hewa wameonya kuhusu uwepo wa mvua kubwa za “Monsoon” na kimbunga
Soma https://jamii.app/BoatsCapsizedPhillipines

KENYA: MAGAVANA WAMTAKA RAIS KENYATTA ATANGAZE SARATANI NI JANGA LA KITAIFA
> Wasema gharama za matibabu za ugonjwa wa Saratani ni kubwa kiasi cha Wakenya kushindwa
> Gharama ya mionzi ni Ksh. 500 hadi 1,000 na dawa ni Ksh. 6,000 hadi 600,000
Soma https://jamii.app/SarataniJangaLaKitaifa

KUFUZU CHAN: Mchezo wa pili kati ya #Kenya na #Tanzania ‘#TaifaStars umemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya bila kufungana
- Mshindi ambaye atasonga mbele sasa ataamuliwa kwa mikwaju ya penati katika mchezo huo unaochezwa nchini Kenya

KUFUZU CHAN: TAIFA STARS YASONGA MBELE
- Timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ yenye wachezaji wanaocheza soka katika vilabu vya ndani imefanikiwa kusonga mbele baada ya kuitoa Kenya
- Katika mchezo wa pili uliofanyika Kenya, Stars imeibuka na ushindi wa mikwaju ya penati 4-1

MICHEZO: Klabu ya Manchester City imefanikiwa kunyakua ubingwa wa ‘Community Shield’ baada ya kuifunga Liverpool kwa penati 5-4
- Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya goli 1-1 huku magoli yakifungwa na R. Sterling(Man. City) na J. Matip(Liverpool)

BIASHARA/ UJASIRIAMALI: Watu wengi hupata changamoto mbalimbali wakati wa kubuni wazo la biashara kutokana na sababu nyingi
> Mdau wa JamiiForums anauliza, kwa mtaji wa shilingi milioni 5 hadi 10 unaweza kubuni biashara gani?
> Je, biashara hiyo inaweza kuanza kuleta matunda baada ya muda gani?
Zaidi, soma => https://jamii.app/Wazo-Biashara

SERIKALI YAOMBA KUTAIFISHA ALMASI ZA MSHTAKIWA ALIYEFARIKI
> Serikali imeomba kutaifisha madini ya almasi yenye thamani ya Tsh. Milioni 79 yaliyokamatwa eneo la Sinza Kijiweni Mei 2018 kutokana na mshtakiwa kufariki akiwa katika gereza la Keko baada ya kuugua
> Mkurugenzi wa Mashtaka nchini amewasilisha maombi hayo mwishoni mwa wiki, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
Soma - https://jamii.app/TaifishoAlmasiSerikali

MANYARA: MWALIMU ATUHUMIWA KUMPA UJAUZITO MWANAFUNZI
> Jeshi la Polisi Wilayani Kiteto linamshikilia Mwalimu Daniel Saulo wa Shule ya Msingi Matui kwa tuhuma za kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la saba
> Mwalimu Mkuu wa shule hiyo amesema tukio hilo ni la tatu kujitokeza shuleni hapo
Soma - https://jamii.app/MwlMimbaMwanafunzi

LIBYA: WATU 40 WAPOTEZA MAISHA KWENYE SHAMBULIO LA ANGA
> Watu 40 wameripotiwa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa baada ya kushambuliwa wakiwa wanahudhuria sherehe ya harusi Kusini Magharibi mwa nchi hiyo
> Ripoti zinaeleza waliotekeleza shambulio hilo ni wapiganaji wa kiongozi wa upinzani, Khalifa Haftar
#JFInternational

ERICK KABENDERA ASOMEWA MASHTAKA MATATU LIKIWEMO LA UTAKATISHAJI FEDHA
- Amefikishwa leo Agosti 05, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka hayo
- Makosa hayo yameainishwa kwenye hati ya mashtaka kama yanavyoonekana
Kujadili, tembelea https://jamii.app/KabenderaKisutuMakosa3

MKE AKAMATWA KWA KUMUUA MUME WAKE KWA BISIBISI
> Mwajuma Omary Malembeka (28) anadaiwa kumuua mume wake Selemani Kondo (43) mkulima na mkazi wa Wilayani Kisarawe mkoani Pwani kwa kumchoma na bisibisi kwenye bega akimtuhumu kuwa siyo mwaminifu katika ndoa yao
Soma - https://jamii.app/KeAuaMeBisibisi

SERIKALI KUPITIA UPYA SERA YA KILIMO NCHINI
- Serikali imesema sera inayotumika ndio chanzo cha Wakulima kuwa masikini
- Imesema ni sera hiyo inawatumikisha Wananchi kuilisha nchi na matajiri, huku wakiwa wanakabiliwa na changamoto kubwa
Zaidi, soma https://jamii.app/SeraKilimoKupitiwaUpya

UGANDA: MSANII ALIYETEKWA NA KUTOLEWA JICHO AFARIKI
> Ziggy Wine amefariki usiku wa kuamkia leo na kutokana na majeraha mazito aliyoyapata baada ya kutekwa
> Alipatikana Jumamosi ya wiki iliyopita akiwa ameng’olewa kucha na jicho moja
Soma - https://jamii.app/RIPZiggyWine
#JFLeo