Vacancies: Field Reseach Assistants (4) needed at JamiiForums
Deadline for Applications: 27.07.2019
Responsibilities, Qualifications and Mode of Application >> jamii.app/JFVacancyFRA

UTEUZI: WAKURUGENZI WATENDAJI WA MAMLAKA ZA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA
- Waziri wa Maji, Professa Makame Mbarawa amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira wa Tabora, Kahama na Bukoba
Zaidi, soma https://jamii.app/UteuziMamlakaMajisafi

TANZANIA YATAKIWA KUWALIPA FIDIA FAMILIA ZA WAFUNGWA 10 WA KENYA
> Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu imeiamuru Serikali ya Tanzania kuzilipa fidia familia za raia 10 wa Kenya waliohukumiwa kifungo nchini hapa
> Ni kutokana na kesi yao kuendeshwa kwa muda mrefu tofauti na ilivyotakiwa na haki zao kukiukwa
Soma - https://jamii.app/TzFidiaWafungwaKE

Vacancies: Content Quality Controllers (2) needed at JamiiForums
Deadline for Applications: 27.07.2019
Responsibilities, Qualifications and Mode of Application >> jamii.app/JFVacancyCQC

VYUO VILIVYOKUWA VIMEFUNGIWA KUDAHILI VYAPEWA RUHUSA YA KUDAHILI
> Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, imesema vyuo hivyo vimeruhusiwa kufanya udahili baada ya kukidhi vigezo vilivyotakiwa
> Ni Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU), Chuo kikuu kishiriki cha Marian cha Bagamoyo, Chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala (KIU) na Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo (AMUKTA)
Soma - https://jamii.app/RuhusaUdahiliVyuo

WIZARA YA UJENZI YAPEWA SIKU 7 KUSAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA
> Rais Magufuli ameipa Wizara na Wakala wa Barabara Tanzania muda wa wiki moja kuanzia Julai 15 kutia saini makubaliano ya mkataba wa ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi lenye urefu wa Km 3.2
> Daraja hilo litagharimu zaidi ya Tsh bilioni 700 na litaunganisha Wilaya za Misungwi na Sengerema
Soma - https://jamii.app/UjenziDarajaZiwaVictoria

MSEKWA: MALALAMIKO YA KINANA NA MAKAMBA KUPELEKWA NGAZI YA JUU
- Katibu wa Baraza la Ushauri la viongozi Wastaafu wa CCM , Pius Msekwa amesema malalamiko ya Wazee hao kuhusu Cyprian Musiba yatafika hadi kwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Magufuli
Zaidi, soma https://jamii.app/MalalamikoKinanaMakamba

WASANII IRENE UWOYA NA STEVE NYERERE WAITWA BASATA
- BASATA imewataka Wasanii hao kufika katika ofisi za Baraza hilo siku ya kesho, Julai 17 kufuatia kitendo chao cha kuwarushia fedha Waandishi wa Habari wakati wa Kikao jana Julai 15
Zaidi, soma https://jamii.app/UwoyaSteveBasata

INDONESIA: TETEMEKO LA ARDHI LAUA MTU 1 NA KUBOMOA NYUMBA NYINGI
-
Mtu mmoja amefariki na mamia ya nyumba kuharibiwa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kupiga Mashariki mwa Indonesia, Kaskazini mwa rasi ya Maluku, kwenye kina cha Kilomita 10
-
Kitovu cha tetemeko hilo kiligunduliwa Kilomita 165 Kusini mwa Ternate, jiji kuu la Kaskazini mwa Maluku

Timu nzima ya JamiiForums tunampongeza Mkurugenzi wetu Mkuu, Maxence Melo kwa kupata tuzo ya Kimataifa “International Press Freedom Award 2019” kutoka The Committee to Protect Journalists(CPJ) inayoangalia ujasiri wa kutetea uhuru wa kupata & kutoa taarifa licha ya vikwazo mbalimbali
Zaidi, soma => https://jamii.app/MaxenceTuzoCPJ2019

SIKU 7 ZATOLEWA KATIKA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA
> Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi amewataka wananchi wa Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, kutumia siku 7 ili kujiandikisha na wasitarajie muda zaidi kuongezwa
> Uboreshaji wa Daftari hilo utaanza Julai 18, 2019 katika mikoa hiyo na baadaye katika mikoa mingine
Soma - https://jamii.app/BoreshoDaftariKura

VIONGOZI WALIOMPIGA MSHIRIKI ‘U-MISS’ WAFUNGIWA
- BASATA imeisimamisha Kampuni ya Makumbusho Entertaintment na viongozi wake kujishughulisha na shughuli za sanaa na burudani
- Walimpiga mshiriki wa ‘Miss Shinyanga’ alipokuwa akidai nauli
Zaidi, soma https://jamii.app/KampuniYampigaMissYafungiwa

CAMEROON YAMFUKUZA KOCHA BAADA YA KUFANYA VIBAYA AFCON
- Kocha wa Cameroon, Clarence Seedorf na Msaidizi wake, Patrick Kluivert wamefutwa kazi baada ya timu hiyo kutolewa katika hatua ya 16 bora na kushindwa kutetea taji la michuano ya Africa Cup of Nations (#AFCON2019)

RAIS MAGUFULI ASISITIZA BEI ELEKEZI YA PAMBA NI TSH. 1,200
> Rais amesisitiza msimamo wa Serikali kuwa bei elekezi ya kununua zao la pamba ni Tsh. 1,200 kwa kilo na anayetaka kutoa bei tofauti na hiyo alipe bei ya juu zaidi lakini siyo chini ya bei elekezi iliyotangazwa na Serikali Mei 2, 2019
Soma - https://jamii.app/RaisBeiPamba

AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUBAKA NA KULAWITI WATOTO 5
> Jeshi la Polisi Kilimanjaro, linamshikilia Yahya Idd kwa tuhuma za kubaka na kulawiti watoto 5, wanaosoma darasa la tatu katika shule ya Msingi Chemchem
> Uchunguzi wa awali, umeonesha watoto hao kubakwa, huku mmoja akiwa amelawatiwa
Soma - https://jamii.app/AbakaKulawitiWatoto5

MALAYSIA: WABUNGE WAUNGA MKONO KUPUNGUZA UMRI WA KUPIGA KURA
- Bunge jana limeunga mkono kupunguza umri wa kupiga kura kutoka miaka 21 hadi 18
- Mabadiliko hayo yanabidi kupitishwa katika baraza la seneti la nchi hiyo kabla ya kuwa sheria
Zaidi, soma https://jamii.app/MalaysiaUmriKura

Taasisi za Twaweza na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu za Tanzania; MLDI ya Uingereza na Mtandao wa Waandishi wa Habari za Uchunguzi Duniani (Global Investigative Journalism Network -
GIJN) walivyoandika kuhusiana na tuzo aliyopewa Mkurugenzi wetu, Maxence Melo