MALI ZA MBOWE KUPIGWA MNADA, ADAIWA KUTOLIPA KODI
> Mali hizo ni zile zilizokuwa kwenye ukumbi wa disko wa Club Bilicanas uliokuwa unamilikiwa na Mbowe Limited
> Kampuni hiyo inadaiwa kodi ya shilingi bilioni 1.1. Mnada utafanyika Jumamosi wiki hii
Soma > https://jamii.app/MaliMbowe-Mnada

TUNISIA: TAKRIBANI WAKIMBIZI 82 WANAHOFIWA KUFARIKI BAADA YA BOTI WALIYOKUWA WAKISAFIRIA KUZAMA
> Boti hiyo imezama katika Pwani ya Tunisia na ilikuwa ikisafirisha Wakimbizi 86
> Manusura wanne wameeleza kuwa Boti hiyo ilizama katika eneo la Zarzis
Soma > https://jamii.app/WakimbiziWazama

WATANZANIA WAPEWA SIKU 3 KUONDOKA KWENYE KIJIJI MPAKANI MWA MSUMBIJI
> Serikali ya Tanzania na Msumbiji zimekubaliana kutoa siku tatu kwa wakazi wa kijiji cha Kitaya Wilaya ya Mtwara kuhamisha mali zao zilizopo katika kijiji cha Mtole nchini Msumbiji baada ya kutokea kwa mauaji ya Watanzania 10 waliopigwa risasi na watu wasiojulikana
Soma - https://jamii.app/UhamishoWatzMsumbiji
#JFLeo

MWALIMU ANUSURIKA KIFO AKITAKA KUJIUA KUTOKANA NA UGUMU WA MAISHA
> Mwalimu wa Shule ya Msingi Rung'abure Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Godfrey Tarimo (35) amenusurika kifo baada ya kujikata shingoni kwa chupa, huku ikidaiwa ni kwasababu ya ugumu wa maisha
> Hajapata athari yoyote katika mfumo wake wa upumuaji
Soma - https://jamii.app/KujiuaUgumuMaisha

DODOMA: WATATU WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUBAKA NA KULAWITI
> Jeshi la Polisi linawashikilia watu hao kwa makosa ya ulawiti na ubakaji wa watoto na wazee katika matukio tofauti
> Kati yao, yupo kijana(28) aliyemlawiti mama yake mzazi mwenye umri wa miaka 56
Soma - https://jamii.app/KijanaAlawitiMama

CHINA NA UINGEREZA ZAZOZANA KUHUSU MASUALA YA HONG KONG
> Uingereza imeahidi kuendelea kuishinikiza China kuhusu njia za nguvu inazotumia dhidi ya waandamanaji mjini Hong Kong
> Naye Balozi wa China nchini Uingereza, Liu Xiaoming ameitaka Uingereza kukoma kuingilia masuala ya ndani ya Hong Kong
Soma - https://jamii.app/ChinaHongKongUK

POLISI: TUNACHUNGUZA KUTEKWA KWA RAPHAEL NA KUKUTWA JIRANI NA NYUMBA YA SHANGAZI YAKE
> Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Interpol nchini Kenya, linaendelea kufanya uchunguzi ili kubaini ni namna gani, Raphael Ongangi alitekwa na kufikishwa Mombasa
> Inadaiwa miaka 2 iliyopita, alishawahi kutoa taarifa ‘za uzushi’ kwamba anataka kutekwa
Soma https://jamii.app/UchunguziKutekwaRaphael

POLISI WAMUACHIA WEMA SEPETU BAADA YA KUMKAMATA JANA
> Msanii huyo wa filamu nchini, amenusurika kulala Mahabusu jana baada ya Kituo Kikuu cha Polisi kumuachia huru kwa dhamana hadi hapo watakapomuhitaji
> Wema alikamatwa tena jana na Polisi baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumwachia huru kutokana na Hakimu kuzikubali hoja za upande wa utetezi

NEC YATANGAZA UCHAGUZI JIMBO LA LISSU KUFANYIKA JULAI 31, 2019
> NEC imetangaza uchaguzi mdogo katika Jimbo la Singida Mashariki lililokuwa chini ya Tundu Lissu
> Lissu alifutiwa Ubunge kwa kutohudhuria vikao vya Bunge kwa muda mrefu bila taarifa rasmi
Soma > https://jamii.app/UchaguziSingidaEast

FAHAMU MAMBO MACHACHE KUHUSU MNYAMA TWIGA
> Twiga huwa na urefu wa kati ya mita 4.8 na 5.5, Uzito wake ni kati ya kilo 700 na 1500 na hubeba mimba kwa siku 400 hadi 460, ambazo ni sawa na miezi 14 hadi 15
> Shingo yake ndio sehemu inayomsisimua kimahaba, wanapokutana dume na jike hufanya mchezo wa kuzungusha kwa kuzifunga shingo zao
> Twiga jike ni mwaminifu kwa dume lake na hutafuta dume jingine endapo dume wake atakufa na kama atakosa anaweza kufa kwa upweke
Soma zaidi - https://jamii.app/SifaTwiga

SUDAN: JESHI NA WANANCHI WAKUBALIANA KUUNDA SERIKALI YA MPITO
> Viongozi wa Jeshi na Muungano wa upinzani wamekubaliana na kuundwa kwa Serikali ya mpito itakayoongozwa kitaalamu pamoja na kuchunguza machafuko ya hivi karibuni yaliyosababisha watu wengi kuuawa
> Mazungumzo kati ya pande hizo mbili yaliongozwa na Waziri Mkuu wa Ethiopia na wajumbe wa Umoja wa Afrika
Soma - https://jamii.app/PitishoSerikaliMpito

AMUUA MWENZAKE AKIMTUHUMU KUIBA PANGA MWAKA 2018
> Jeshi la Polisi Wilaya ya Lindi linamshikilia Aisha Mshamu (65) kwa tuhuma za kumuua Zainabu Mikumbi (80) kwa kumpiga na jembe kichwani na shingoni akimtuhumu kwa wizi wa panga lililopotea 2018
Soma - https://jamii.app/MauajiWiziPanga

MISENYI, KAGERA: WALIOMTEKA MWANAFUNZI WA DARASA LA PILI WAHUKUMIWA MIAKA 5 JELA
> Waliohukumiwa ni Khalifa Ahmed(19) na Jonas Deogratias(19). Walimteka Levis Respicius Mei 13, 2019
> Walitaka kumtumia Mtoto huyo kumshinikiza Baba yake awape Milioni 15
Soma > https://jamii.app/WafungwaMisenyi

MOROGORO: WAFANYAKAZI WA MRADI WA SGR NA ASKARI WA JWTZ WAFARIKI KATIKA AJALI
> Waliofariki ni Wafanyakazi wa Yapi Merkezi Modriki Mwaisyupa(41), na Inocent Maiko(37), Askari wa JWTZ ambaye jina halijafahamika na Zainabu Shija (32) aliyekuwa ameomba lifti
Soma > https://jamii.app/AjaliUbena

UKAGUZI WA BIDHAA: MAKONTENA 142 YALIKUTWA NA BIDHAA BANDIA
> Tume ya Ushindani imefanya ukaguzi wa makontena 3,312 katika kipindi cha mwaka wa fedha uliopita 2017/2018 na kubaini makontena 142 yalikuwa na bidhaa bandia
> Ukaguzi huo ulifanywa katika mikoa mbalimbali ikiwemo Dodoma, Morogoro, Mwanza, Arusha, Mbeya na mipaka yote ya nchi
Soma - https://jamii.app/MakontenaBidhaaBandia

UKRAINE: KUFUATIA KUTUNGWA KWA SHERIA YA KUZUIA MATUSI: WAZIRI ASEMA MATUSI NI MAZURI KWA AFYA
> Naibu Waziri wa Afya, Ulana Suprun amesema matusi ni mazuri kwa afya ya Mwanadamu
> Amefafanua kuwa matusi ni mawasiliano mazuri ya kihisia baina ya Watu
Soma > https://jamii.app/MatusiUkraine

FAMILIA 7 ZAKOSA MAHALI PA KUISHI BAADA YA NYUMBA ZAO KUBOMOLEWA
> Familia 7 katika Mtaa wa Olasiti Kati jijini Arusha, hazina mahali pa kuishi kufuatia nyumba zao kubomolewa kwa amri ya Mahakama kutokana na mgogoro wa Ardhi uliokuwa ukiendelea baina yao na Mkazi wa Kiteto, Mwanamkasi Ramadhani
> Baadhi yao wamedai zoezi hilo limetekelezwa bila kufuata utaratibu na hawakupewa muda wa kujiandaa
Soma - https://jamii.app/FamiliMakaziBomoa

Mchezo wa michuano ya #AFCON2019 wa hatua ya 16 bora kati ya #Morocco dhidi ya #Benin umemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya goli 1 kwa 1
> Mchezo huo unalazimika kwenda dakika 30 za nyongeza ili kumpata mshindi.
#JFSports