BOT YAZUIA UBADILISHAJI WA FEDHA ZA KENYA
> Benki kuu ya Tanzania imesitisha ubadilishaji wa fedha za Kenya kwa shilingi ya Tanzania, ili kukabiliana na uingizwaji wa fedha haramu nchini
> Ni baada ya Benki ya Kenya kuwataka wenye sarafu za Kenya kwenda kuzibadili nchini humo ili kupata noti mpya
Soma - https://jamii.app/BanKshExchangeTsh

SERIKALI KUWABANA BODABODA ILI WAWE NA BIMA YA AFYA
> Wizara ya Afya inakusudia kupeleka muswada Bungeni utakaowabana madereva wa bodaboda kuwa na bima ya afya kabla ya kupewa leseni ya kutoa huduma kutokana na ongezeko la ajali
> Taasisi ya Mifupa (MOI) kwa mwezi imekuwa ikipokea majeruhi 700 hadi 900 wa ajali za barabarani, idadi ambayo imekuwa ikiongezeka kila siku
Soma - https://jamii.app/BodabodaBimaAfya

MWANAFUNZI AUA MWENZAKE KWA KUMPIGA NA JIWE KISOGONI
> Rashid Said (17) amefariki baada ya kudaiwa kupigwa jiwe na mwenzake ambaye ni mwanafunzi wa shule ya Sekondari Nyumbu iliyopo Kibaha mkoani Pwani
> Marehemu alijeruhiwa Juni 7 na siku iliyofuata alifariki wakati akitibiwa hospitali ya Tumbi
Soma - https://jamii.app/MwanafunziKifoJiwe

MAHAKAMA YAOMBWA KUTENGUA HUKUMU YA SHEIKH PONDA
> Serikali imeiomba Mahakama ya Rufani kutengua hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyomhukumu kifungo cha nje katibu wa Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda
> Mei 9, 2013 Mahakama ya Kisutu ilimpa adhabu ya kifungo cha nje cha mwaka 1 Sheikh Ponda kwa kosa la kuingia kijinai katika eneo la ardhi ya kampuni ya Agritanza Ltd, eneo la Chang’ombe Malkazi
Soma - https://jamii.app/UtenguziHukumuPonda

BOTSWANA: MAHAKAMA YAHALALISHA MAPENZI YA JINSIA MOJA
> Mahakama imesema kifungu cha sheria kilichokuwa kikitoa hukumu ya kifungo cha hadi miaka 7 jela kwa watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia kuwa kinakiuka katiba ya nchi hiyo
Zaidi, soma => https://jamii.app/BotswanaVsLGBTQ

MHASIBU WIZARA YA AFYA MATATANI KWA UBADHIRIFU WA FEDHA
> Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), mkoani Kilimanjaro inamshikilia Yahya Athuman kwa tuhuma za kufanya ubadhirifu wa zaidi ya Tsh. milioni 34 katika fedha za chanjo ya Rubella baada ya kumdanganya mwajiri wake
Soma - https://jamii.app/MhasibuUbadhilifuFedha

SUDAN KUSINI: MCHUMI AFUNGWA JELA KWA KUFANYA MAHOJIANO NA WANAHABARI
> Msomi Peter Biar Ajak amehukumiwa miaka 2 jela kwa hatia ya kuvunja amani
> Ajak alifanya mahojiano na vyombo vya kimataifa alipokuwa akituhumiwa kwa uhaini
Zaidi, soma => https://jamii.app/AjakHukumu

WAZIRI LUKUVI: WADAIWA SUGU LIPENI MADENI YENU KUEPUKA FEDHEHA
> Amewataka wadaiwa sugu wa kodi ya pango la ardhi kulipa madeni yao kabla ya Juni 21, 2019
Amewataka wafanye hivyo ili waepuke aibu, fedheha pamoja na hatua za kisheria
Zaidi, soma => https://jamii.app/LukuvuKodiArdhi

KENYA: MWANAFUNZI ALIYEJARIBU KUINGIA IKULU APIGWA RISASI
> Aliyepigwa risasi ni Brian Bera ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta (JKUAT)
> Alijaribu kuingia Ikulu Jijini Nairobi kinyume cha sheria
Soma > https://jamii.app/KijanaIkuluKE

ZITTO KABWE AKAMATWA NA KUSHIKILIWA NA UHAMIAJI ZANZIBAR
> Katibu wa Uenezi wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema Zitto anashikiliwa tangu saa 8 mchana wa leo
> Zitto amekamatwa kwa madai kuwa haruhusiwi kusafiri kwenda nje ya nchi
Soma => https://jamii.app/ZittoUhamiajiZNZ

UPDATE: ZITTO KABWE AACHIWA HURU: Taarifa zinaeleza kuwa Kiongozi huyo wa Chama cha ACT Wazalendo ameachiwa baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi Zanzibar tangu saa 8 mchana wa leo
> Aidha, inaelezwa kuwa simu na 'Laptop’ yake vinaendelea kushikiliwa
#JFLeo

WAZALISHAJI WA BIDHAA ZA CHUPA ZA PLASTIKI WATAKIWA KUSHIRIKI KUZIKUSANYA BAADA YA MATUMIZI
> Kwa mujibu wa Kanuni za Sheria inayohusika na usimamizi wa Mazingira inaeleza kuwa wazalishaji/msambazaji wa bidhaa hizo atapaswa kushiriki mchakato wa kukusanya kwa ajili ya kuzilejeleza(Recycling)
> Waziri wa Wizara ya Mazingira, January Makamba amepanga kuonana na wazalishaji na wasambazaji wa bidhaa za chupa za plastiki ili kutoa maelezo ya zoezi hilo
Soma => https://jamii.app/ChupaPlastiki

SERIKALI: VIWANDA 3,000 VIMEJENGWA MAENEO MBALIMBALI NCHINI
> Taarifa hii ni kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Wizara ya TAMISEMI, Mwita Waitara
> Viwanda hivyo inadaiwa ni matokeo ya agizo la Serikali juu ya ujenzi wa viwanda 100 katika kila Mkoa lililotolewa Desemba, 2017
Soma > https://jamii.app/GvtViwanda3000

MAANDAMANO HONG KONG: POLISI WATUMIA MAJI YA PILIPILI KUTAWANYA WATU
> Wanaandamana kupinga muswada utakao ruhusu watuhumiwa wa makosa mbalimbali kusafirishwa na kwenda kushtakiwa Beijing, China
> Hong Kong ni jimbo la China lenye mamlaka kamili
Soma > https://jamii.app/MaandamanoHongKong

KIINGEREZA KUENDELEA KUWA LUGHA YA KUFUNDISHIA ELIMU YA JUU
> Serikali imesema Kiingereza kitaendelea kuwa lugha ya kufundishia na kujifunzia katika ngazi ya elimu ya Sekondari, vyuo vya kati na vyuo vikuu kwasababu ya umuhimu wake kitaifa, kikanda na kimataifa kwa mawasiliano na biashara ili kuwajengea wanafunzi ufahamu na umahiri wa lugha hiyo
Soma - https://jamii.app/EnglishTeachingLang

APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUMSHIKA MTOTO SEHEMU ZA SIRI
> Vicent Marseli (37) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni akikabiliwa na shtaka la kumshika sehemu za siri mtoto wa miaka mitatu ili kujiridhisha kimapenzi
Soma - https://jamii.app/KizimbaniDhalilishamtoto

UTEUZI: RAIS MAGUFULI ATEUA WENYEVITI BODI ZA TTCL NA AIRTEL
> Mohammed Abdallah Mtonga ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL
> Mtonga anachukua nafasi ya Dkt. Omari Nundu aliyeteuliwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Airtel Tanzania
Soma > https://jamii.app/UteuziTTCLAirtel