WATOTO WENYE UGONJWA WA SELIMUNDU KUANZA KUTIBIWA BURE
> Serikali imesema imeandaa mpango wa kutoa matibabu ya bure kwa watoto wenye ugonjwa wa Selimundu (Sickle cell)
> Familia zisizojiweza zitahakikiwa na kupewa kibali cha huduma bila malipo kwa kuwa Serikali inaanzisha mpango wa Taifa kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza
Soma - https://jamii.app/TibaSelimunduBure

NEW YORK, MAREKANI: HELIKOPTA YAPOTEZA UELEKEO NA KUTUA KWENYE PAA LA JENGO LA GHOROFA
> Tukio hilo lililosababisha rubani kufariki dunia limetokea katikati ya eneo la Manhattan, ambapo baada ya ndege hiyo kutua ililipuka
Zaidi, soma => https://jamii.app/HelicopterCrashNY

TEKNOLOJIA: WANAFUNZI WATENGENEZA KOTI LINALOZUIA UVAMIZI
> Wanafunzi 4 raia wa Taifa la Mexico wamesema kuwa koti hilo linaweza kuzuia mtu kuvamiwa
> Mikono ya koti hilo ina mfumo wa kutoa mshtuko wa umeme utakaomfanya mtu yeyote aliyeligusa kunasa
Soma > https://jamii.app/KotiUlinziMexico

KENYA: WAFANYAKAZI WA SAFARICOM WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA WIZI WA TAARIFA ZA WATEJA
> Simon Billy Kinuthia na Brian Njoroge Wamatu wameshtakiwa kwa kukopi na kutuma taarifa za watumiaji wa mtandao kwenda kwa Mtu binafsi
Zaidi, soma => https://jamii.app/SafaricomData

MALI: WATU 100 WAPOTEZA MAISHA KWENYE MAUAJI YA KIKABILA
> Karibu watu 100 wameuawa katika shambulizi la usiku katika kijiji kimoja huku watu wengine 19 wakiwa hawajulikani walipo
> Hakuna taarifa yoyote ya anayedai kuhusika lakini mauaji hayo ya watu wa jamii ya Dogon, yalikuwa na dalili za mashambulizi ya kikabila kulipiza kisasi
Soma - https://jamii.app/MaliMassKilling

WEMA SEPETU KUKAMATWA KWA KUKIUKA DHAMANA
> Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata msanii huyo wa filamu nchini kwa kosa la kuruka dhamana baada ya upande wa mashtaka kudai kwamba mshtakiwa hayuko Mahakamani na hakuna taarifa yoyote kuhusu kutokufika kwake
Soma - https://jamii.app/WemaArrestBail

BOT YAZUIA UBADILISHAJI WA FEDHA ZA KENYA
> Benki kuu ya Tanzania imesitisha ubadilishaji wa fedha za Kenya kwa shilingi ya Tanzania, ili kukabiliana na uingizwaji wa fedha haramu nchini
> Ni baada ya Benki ya Kenya kuwataka wenye sarafu za Kenya kwenda kuzibadili nchini humo ili kupata noti mpya
Soma - https://jamii.app/BanKshExchangeTsh

SERIKALI KUWABANA BODABODA ILI WAWE NA BIMA YA AFYA
> Wizara ya Afya inakusudia kupeleka muswada Bungeni utakaowabana madereva wa bodaboda kuwa na bima ya afya kabla ya kupewa leseni ya kutoa huduma kutokana na ongezeko la ajali
> Taasisi ya Mifupa (MOI) kwa mwezi imekuwa ikipokea majeruhi 700 hadi 900 wa ajali za barabarani, idadi ambayo imekuwa ikiongezeka kila siku
Soma - https://jamii.app/BodabodaBimaAfya

MWANAFUNZI AUA MWENZAKE KWA KUMPIGA NA JIWE KISOGONI
> Rashid Said (17) amefariki baada ya kudaiwa kupigwa jiwe na mwenzake ambaye ni mwanafunzi wa shule ya Sekondari Nyumbu iliyopo Kibaha mkoani Pwani
> Marehemu alijeruhiwa Juni 7 na siku iliyofuata alifariki wakati akitibiwa hospitali ya Tumbi
Soma - https://jamii.app/MwanafunziKifoJiwe

MAHAKAMA YAOMBWA KUTENGUA HUKUMU YA SHEIKH PONDA
> Serikali imeiomba Mahakama ya Rufani kutengua hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyomhukumu kifungo cha nje katibu wa Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda
> Mei 9, 2013 Mahakama ya Kisutu ilimpa adhabu ya kifungo cha nje cha mwaka 1 Sheikh Ponda kwa kosa la kuingia kijinai katika eneo la ardhi ya kampuni ya Agritanza Ltd, eneo la Chang’ombe Malkazi
Soma - https://jamii.app/UtenguziHukumuPonda

BOTSWANA: MAHAKAMA YAHALALISHA MAPENZI YA JINSIA MOJA
> Mahakama imesema kifungu cha sheria kilichokuwa kikitoa hukumu ya kifungo cha hadi miaka 7 jela kwa watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia kuwa kinakiuka katiba ya nchi hiyo
Zaidi, soma => https://jamii.app/BotswanaVsLGBTQ

MHASIBU WIZARA YA AFYA MATATANI KWA UBADHIRIFU WA FEDHA
> Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), mkoani Kilimanjaro inamshikilia Yahya Athuman kwa tuhuma za kufanya ubadhirifu wa zaidi ya Tsh. milioni 34 katika fedha za chanjo ya Rubella baada ya kumdanganya mwajiri wake
Soma - https://jamii.app/MhasibuUbadhilifuFedha

SUDAN KUSINI: MCHUMI AFUNGWA JELA KWA KUFANYA MAHOJIANO NA WANAHABARI
> Msomi Peter Biar Ajak amehukumiwa miaka 2 jela kwa hatia ya kuvunja amani
> Ajak alifanya mahojiano na vyombo vya kimataifa alipokuwa akituhumiwa kwa uhaini
Zaidi, soma => https://jamii.app/AjakHukumu

WAZIRI LUKUVI: WADAIWA SUGU LIPENI MADENI YENU KUEPUKA FEDHEHA
> Amewataka wadaiwa sugu wa kodi ya pango la ardhi kulipa madeni yao kabla ya Juni 21, 2019
Amewataka wafanye hivyo ili waepuke aibu, fedheha pamoja na hatua za kisheria
Zaidi, soma => https://jamii.app/LukuvuKodiArdhi

KENYA: MWANAFUNZI ALIYEJARIBU KUINGIA IKULU APIGWA RISASI
> Aliyepigwa risasi ni Brian Bera ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta (JKUAT)
> Alijaribu kuingia Ikulu Jijini Nairobi kinyume cha sheria
Soma > https://jamii.app/KijanaIkuluKE

ZITTO KABWE AKAMATWA NA KUSHIKILIWA NA UHAMIAJI ZANZIBAR
> Katibu wa Uenezi wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema Zitto anashikiliwa tangu saa 8 mchana wa leo
> Zitto amekamatwa kwa madai kuwa haruhusiwi kusafiri kwenda nje ya nchi
Soma => https://jamii.app/ZittoUhamiajiZNZ

UPDATE: ZITTO KABWE AACHIWA HURU: Taarifa zinaeleza kuwa Kiongozi huyo wa Chama cha ACT Wazalendo ameachiwa baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi Zanzibar tangu saa 8 mchana wa leo
> Aidha, inaelezwa kuwa simu na 'Laptop’ yake vinaendelea kushikiliwa
#JFLeo

WAZALISHAJI WA BIDHAA ZA CHUPA ZA PLASTIKI WATAKIWA KUSHIRIKI KUZIKUSANYA BAADA YA MATUMIZI
> Kwa mujibu wa Kanuni za Sheria inayohusika na usimamizi wa Mazingira inaeleza kuwa wazalishaji/msambazaji wa bidhaa hizo atapaswa kushiriki mchakato wa kukusanya kwa ajili ya kuzilejeleza(Recycling)
> Waziri wa Wizara ya Mazingira, January Makamba amepanga kuonana na wazalishaji na wasambazaji wa bidhaa za chupa za plastiki ili kutoa maelezo ya zoezi hilo
Soma => https://jamii.app/ChupaPlastiki