YANGA YAIFUATA SIMBA KUJITOA MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME
> Sababu waliyoitoa ni kushindwa kuunda kikosi imara kwa muda huu kwa sababu ya wachezaji wengi kumaliza mikataba na wanaoendelea kuwasajili kutomaliza taratibu za mwisho kwenye vilabu vyao
> Michuano hiyo imepangwa kufanyika Julai 7-21, 2019 huko Kigali, Rwanda
Soma > https://jamii.app/YangaYajitoaKagame2019

MAJI YAKATIKA KWA SIKU NNE SEHEMU MBALIMBALI ZA JIJI LA DAR
> Maeneo yanayolalamikiwa kukosa maji ni Kimara, Kibamba, Changanyikeni, Ubungo Riverside, Mbezi Mwisho, Mbezi kwa Msuguli
> Aidha, Majimbo ya Kibamba na Ubungo yametajwa kuathirika zaidi
Soma > https://jamii.app/MajiKibamba

VIONGOZI WAPYA KUAPISHWA LEO, SERIKALI KUPOKEA GAWIO KUTOKA AIRTEL
> Rais Magufuli leo Juni 10, atawaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa, Kamishna Mkuu wa TRA, Dkt. Edwin Mhede na Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Charles Kichere
> Pia atashuhudia tukio la makabidhiano ya kiasi cha Tsh bilioni 5.27 kutoka Airtel kwenda Serikalini
Soma - https://jamii.app/UapishoGawioAirtel

KENYA: MAAFISA WA POLISI WAKAA CHONJO DHIDI YA TUKIO LA UGAIDI
> Tetesi za mipango ya shambulio zimepatikana baada ya kukamatwa kwa watuhumiwa 4 wa ugaidi
> Wanausalama wameripoti kukutwa kwa vifaa vya milipuko ktk barabara ya Narok-Bomet
Soma > https://jamii.app/TetesiUgaidiKenya

IRAN YAZINDUA MFUMO WA KISASA WA MAKOMBORA
> Mfumo huo uliopewa jina la Khordad 15, unaweza kulenga shabaha 6 kwa adui kwa wakati mmoja na una uwezo wa kugundua ndege za kivita na droni kutoka umbali wa kilomita 150 na kuzifuatilia katika umbali wa kilomita 120
Soma - https://jamii.app/Khordad15Launch

CHAMA CHA ACT WAZALENDO CHAIMARISHA SAFU YAKE YA UONGOZI
> Maalim Seif Sharif ameteuliwa kuwa Mshauri Mkuu wa chama hicho
> Kamati Kuu imefanya uteuzi wa safu ya viongozi mbalimbali wa kitaifa yenye mseto wa wanachama waliohamia kutoka CUF
Soma > https://jamii.app/UongoziACT

WAENDESHA BAJAJI NA BODABODA WATAWANYWA KWA MABOMU
> Jeshi la Polisi Dar limetumia mabomu ya Machozi kuwatawanya Waendesha bodaboda na bajaji ktk eneo la Posta mpya karibu na jengo la Benjamin Mkapa baada ya uongozi kuwataka kuondoka kwa madai kuwa hawaruhusiwi kufanya biashara eneo hilo
Soma - https://jamii.app/BajajiBodabodaMabomu

AFYA: YAJUE MAGONJWA YA FANGASI YA NGOZI NA TIBA ZAKE
> Fangasi ni ugonjwa unaoathiri sana ngozi, kucha na nywele. Mara nyingine huathiri mdomo na sehemu za siri
> Kuna fangasi za kichwa, mwili, kucha na miguu ambazo huambukizwa kwa njia ya kugusana au kushirikiana nguo za ndani na taulo
Kwa elimu zaidi pamoja na tiba, fungua => https://jamii.app/UgonjwaFangasi

MRADI WA REA KUTOLIPA WANANCHI FIDIA YA MAKAZI
> Serikali imesema hakuna malipo ya fidia kwenye maeneo ya wananchi yanayopitiwa na mradi wa usambazaji umeme vijijini kwa kuwa Serikali imempunguzia mwananchi mzigo wa gharama za kuunganishiwa nishati ya umeme kwa kugharamia kwa asilimia 100 fedha za ujenzi wa miundombinu pamoja na huduma za kuunganishiwa umeme
Soma - https://jamii.app/FidiaMakaziREA

UINGEREZA: CHAMA CHA 'CONSERVATIVE' CHAFUNGUA MCHAKATO WA KUMTAFUTA MRITHI WA THERESA MAY
> Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Boris Johnson na Waziri wa sasa wa Mazingira, Michael Give wanapigiwa chapuo kushinda kinyang'anyiro hicho
Soma => https://jamii.app/UchaguziConservativeUK

WATUHUMIWA WA AJALI YA WANAFUNZI WA LUCKY VINCENT WAHUKUMIWA FAINI/KIFUNGO
> Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imemuhukumu Mkurugenzi wa Shule ya Lucky Vincent, Innocent Mushi kulipa faini ya milioni 1.5 au kifungo cha miaka 4 na miezi 6
Soma => https://jamii.app/HukumuStVincent

WABUNGE, MADIWANI NA MA-RC KUCHUNGUZWA NA SEKRETARIETI YA MAADILI
> Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma nchini inaanza kufanya shughuli ya uhakiki wa mgongano wa maslahi ya viongozi katika mikoa 12
> Mikoa hiyo ni; Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Geita, Kagera, Mara, Mwanza, Dodoma, Tabora, Singida, Dar es Salaam na Shinyanga
Soma - https://jamii.app/UhakikiViongoziMikoa

MOMBASA, KENYA: KIONGOZI WA KUNDI LA WAHALIFU ALIYEKUWA AKISAKWA AUAWA KWA RISASI
> Dula, kiongozi wa kundi la 'Wakali Wao' alikuwa akisakwa kwa udi na uvumba kwa mwezi 1
> Kundi lake linahusishwa na mauaji ya watu wengi nchini humo
Zaidi, soma => https://jamii.app/DulaAuawaMombasa

SAUDI ARABIA: UWANJA WA NDEGE WASHAMBULIWA NA WAASI
> Kundi la Ansarullah nchini Yemen limetangaza kuushambulia uwanja wa ndege wa Jazan Kusini Magharibi mwa Saudi Arabia kwa kutumia ndege zisizo na rubani
> Wamesema hilo ni jibu la jinai na mauaji yanayoendelea kufanywa na Saudia dhidi ya raia wa Yemen
Soma - https://jamii.app/SaudiaAirportAttack

FAO: WATOTO MILIONI 108 DUNIANI WANATUMIKISHWA
> Shirika la chakula na kilimo duniani limesema kuwa, duniani kote watoto milioni 108 wa kike na wa kiume wanatumikishwa ambapo asilimia 70 wanafanya kazi kwenye sekta za kilimo, ufugaji, misitu, uvuvi na ufugaji wa samaki
> Idadi hiyo imeongezeka kwa watoto milioni 10 tangu mwaka 2012
Soma - https://jamii.app/ChildLabourReport

HOJA: NANI AMERUHUSU MATANGAZO YA MICHEZO YA KUBAHATISHA KWENYE RUNINGA NA REDIO?
> Mdau wa JamiiForums anasema Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ilitangaza kuzuia urushaji wa matangazo ya michezo hiyo kupitia redio na televisheni lakini hakuna taarifa ya kuruhusu
Zaidi, soma => https://jamii.app/MatangazoMichezoBahati
#JFHoja

BABA MATATANI KWA KUMBAKA NA KUMLAWITI BINTI YAKE
> Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemsomea maelezo ya awali mshtakiwa Haruna Abdu(54) mkazi wa Mbagala kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti binti yake wa kumzaa(12)
> Anadaiwa kutenda hayo Januari 2017 hadi Februari 2019
Soma - https://jamii.app/BabaUlawitiBinti

WATOTO WENYE UGONJWA WA SELIMUNDU KUANZA KUTIBIWA BURE
> Serikali imesema imeandaa mpango wa kutoa matibabu ya bure kwa watoto wenye ugonjwa wa Selimundu (Sickle cell)
> Familia zisizojiweza zitahakikiwa na kupewa kibali cha huduma bila malipo kwa kuwa Serikali inaanzisha mpango wa Taifa kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza
Soma - https://jamii.app/TibaSelimunduBure