HALI YA MAMA MARIA NYERERE INAENDELEA KUIMARIKA
- Mke wa Baba wa Taifa, aliugua ghafla akiwa Namugongo, Uganda alipokwenda kwenye hija
- Baada ya madaktari Nchini humo kuona afya imeimarika kidogo, waliruhusu asafiri kuja Dar Juni 5, 2019
Soma > https://jamii.app/MariaNyerereAnaendeleaVyema

GAIRO, MOROGORO: WACHIMBA MADINI WAHOFIWA KUFA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI
> Wachimbaji wadogo 4 wa dhahabu wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi cha mchanga kijijini Iyogwe
> Taarifa hii ya awali ni kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Chama cha Wachimbaji madini mkoani humo

PROF. LIPUMBA: CUF HAITARUDI NYUMA JAPOKUWA INAPIGWA VITA NA VYAMA VINGINE VYA SIASA
- Alisema hayo jana kwenye mkutano wa Chama wa kujiandaa na Uchaguzi wa Serikali za mitaa
- Pia, Naibu Katibu Mkuu wa CUF, amewaasa viongozi kuachana na makundi
Soma > https://jamii.app/CUFInapigwaVita

ZANZIBAR: ALIYEWAHI KUWA RPC AJINYONGA HADI KUFA
> Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, DCP Aziz Juma Mohammed amekutwa amejinyonga nje ya nyumba yake huko Kibweni, Unguja usiku wa kuamkia leo
Zaidi, soma > https://jamii.app/RPCZnZAjinyonga

MOSHI, KILIMANJARO: MWALIMU AHUKUMIWA MIAKA 20 JELA KWA KUMDHALILISHA MTOTO KINGONO
> Ni Mwalimu Fidelis Matemu(60) wa Shule ya Msingi Uru
> Aliyedhalilishwa kingono ni mtoto wa miaka 11, mwanafunzi wa darasa la 6 shule ya msingi Msareni
Soma > https://jamii.app/Jela20UdhalilishajiKingonoMoshi

YANGA YAIFUATA SIMBA KUJITOA MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME
> Sababu waliyoitoa ni kushindwa kuunda kikosi imara kwa muda huu kwa sababu ya wachezaji wengi kumaliza mikataba na wanaoendelea kuwasajili kutomaliza taratibu za mwisho kwenye vilabu vyao
> Michuano hiyo imepangwa kufanyika Julai 7-21, 2019 huko Kigali, Rwanda
Soma > https://jamii.app/YangaYajitoaKagame2019

MAJI YAKATIKA KWA SIKU NNE SEHEMU MBALIMBALI ZA JIJI LA DAR
> Maeneo yanayolalamikiwa kukosa maji ni Kimara, Kibamba, Changanyikeni, Ubungo Riverside, Mbezi Mwisho, Mbezi kwa Msuguli
> Aidha, Majimbo ya Kibamba na Ubungo yametajwa kuathirika zaidi
Soma > https://jamii.app/MajiKibamba

VIONGOZI WAPYA KUAPISHWA LEO, SERIKALI KUPOKEA GAWIO KUTOKA AIRTEL
> Rais Magufuli leo Juni 10, atawaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa, Kamishna Mkuu wa TRA, Dkt. Edwin Mhede na Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe, Charles Kichere
> Pia atashuhudia tukio la makabidhiano ya kiasi cha Tsh bilioni 5.27 kutoka Airtel kwenda Serikalini
Soma - https://jamii.app/UapishoGawioAirtel

KENYA: MAAFISA WA POLISI WAKAA CHONJO DHIDI YA TUKIO LA UGAIDI
> Tetesi za mipango ya shambulio zimepatikana baada ya kukamatwa kwa watuhumiwa 4 wa ugaidi
> Wanausalama wameripoti kukutwa kwa vifaa vya milipuko ktk barabara ya Narok-Bomet
Soma > https://jamii.app/TetesiUgaidiKenya

IRAN YAZINDUA MFUMO WA KISASA WA MAKOMBORA
> Mfumo huo uliopewa jina la Khordad 15, unaweza kulenga shabaha 6 kwa adui kwa wakati mmoja na una uwezo wa kugundua ndege za kivita na droni kutoka umbali wa kilomita 150 na kuzifuatilia katika umbali wa kilomita 120
Soma - https://jamii.app/Khordad15Launch

CHAMA CHA ACT WAZALENDO CHAIMARISHA SAFU YAKE YA UONGOZI
> Maalim Seif Sharif ameteuliwa kuwa Mshauri Mkuu wa chama hicho
> Kamati Kuu imefanya uteuzi wa safu ya viongozi mbalimbali wa kitaifa yenye mseto wa wanachama waliohamia kutoka CUF
Soma > https://jamii.app/UongoziACT

WAENDESHA BAJAJI NA BODABODA WATAWANYWA KWA MABOMU
> Jeshi la Polisi Dar limetumia mabomu ya Machozi kuwatawanya Waendesha bodaboda na bajaji ktk eneo la Posta mpya karibu na jengo la Benjamin Mkapa baada ya uongozi kuwataka kuondoka kwa madai kuwa hawaruhusiwi kufanya biashara eneo hilo
Soma - https://jamii.app/BajajiBodabodaMabomu

AFYA: YAJUE MAGONJWA YA FANGASI YA NGOZI NA TIBA ZAKE
> Fangasi ni ugonjwa unaoathiri sana ngozi, kucha na nywele. Mara nyingine huathiri mdomo na sehemu za siri
> Kuna fangasi za kichwa, mwili, kucha na miguu ambazo huambukizwa kwa njia ya kugusana au kushirikiana nguo za ndani na taulo
Kwa elimu zaidi pamoja na tiba, fungua => https://jamii.app/UgonjwaFangasi

MRADI WA REA KUTOLIPA WANANCHI FIDIA YA MAKAZI
> Serikali imesema hakuna malipo ya fidia kwenye maeneo ya wananchi yanayopitiwa na mradi wa usambazaji umeme vijijini kwa kuwa Serikali imempunguzia mwananchi mzigo wa gharama za kuunganishiwa nishati ya umeme kwa kugharamia kwa asilimia 100 fedha za ujenzi wa miundombinu pamoja na huduma za kuunganishiwa umeme
Soma - https://jamii.app/FidiaMakaziREA

UINGEREZA: CHAMA CHA 'CONSERVATIVE' CHAFUNGUA MCHAKATO WA KUMTAFUTA MRITHI WA THERESA MAY
> Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Boris Johnson na Waziri wa sasa wa Mazingira, Michael Give wanapigiwa chapuo kushinda kinyang'anyiro hicho
Soma => https://jamii.app/UchaguziConservativeUK

WATUHUMIWA WA AJALI YA WANAFUNZI WA LUCKY VINCENT WAHUKUMIWA FAINI/KIFUNGO
> Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imemuhukumu Mkurugenzi wa Shule ya Lucky Vincent, Innocent Mushi kulipa faini ya milioni 1.5 au kifungo cha miaka 4 na miezi 6
Soma => https://jamii.app/HukumuStVincent

WABUNGE, MADIWANI NA MA-RC KUCHUNGUZWA NA SEKRETARIETI YA MAADILI
> Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma nchini inaanza kufanya shughuli ya uhakiki wa mgongano wa maslahi ya viongozi katika mikoa 12
> Mikoa hiyo ni; Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Geita, Kagera, Mara, Mwanza, Dodoma, Tabora, Singida, Dar es Salaam na Shinyanga
Soma - https://jamii.app/UhakikiViongoziMikoa

MOMBASA, KENYA: KIONGOZI WA KUNDI LA WAHALIFU ALIYEKUWA AKISAKWA AUAWA KWA RISASI
> Dula, kiongozi wa kundi la 'Wakali Wao' alikuwa akisakwa kwa udi na uvumba kwa mwezi 1
> Kundi lake linahusishwa na mauaji ya watu wengi nchini humo
Zaidi, soma => https://jamii.app/DulaAuawaMombasa