WAZIRI KALEMANI: MAGARI MAPYA YA WIZARA YA NISHATI YATATUMIA GESI BADALA YA MAFUTA
> Amesema lengo la uamuzi huo ni kubana matumizi ya mafuta, kutunza mazingira na kuhamasisha wizara nyingine na watu binafsi kutumia gesi
> Aidha, Aprili 2019, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania, lilianza mazungumzo na mradi wa mabasi yaendayo kasi ili kuyawezesha mabasi hayo kutumia nishati ya gesi
Soma https://jamii.app/MagariYaGesi

MAREKANI KUCHUNGUZA MITANDAO YA KIJAMII YA WANAOOMBA ‘VISA’
- Hii ni kulingana na Sheria Mpya za Idara ya Maswala ya Kigeni
- Waombaji watatakiwa kutoa majina ya akaunti wanazotumia, anwani za miaka mitano, pamoja na namba za simu
Soma https://jamii.app/USSocialMediaInfo

IKULU: RAIS MAGUFULI KUFANYA MKUTANO NA WAFANYABIASHARA WAKUBWA WA 5 KUTOKA KILA WILAYA
- Mkutano huo utafanyika tarehe 7 Juni, 2019 kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kikwete, kuanzia saa 8:00 asubuhi
- Wakuu wa Mikoa kupendekeza majina ya wafanyabiashara hao
Soma https://jamii.app/MagufuliNaWafanyabiashara

SERENGETI: HIFADHI BORA BARANI AFRIKA KWA MWAKA 2019
- Tuzo hiyo imetolewa jana nchini Mauritius na Taasisi ya World Travel Awards
- Mwaka jana pia Serengeti ilishinda tuzo hiyo kupitia mtandao wa safari za utalii wa safaribookings
Zaidi, soma https://jamii.app/SerengetiHifadhiBora-2019

HASHIM RUNGWE ATAKIWA KURIPOTI KITUO CHA POLISI KESHO
> Wito huo ni baada ya mkutano wa viongozi wa vyama 8 vya upinzani na Waandishi wa habari
> Katika mkutano huo, viongozi wa vyama hivyo wametangaza kutoshiriki uchaguzi wa marudio kwenye Kata 32
Zaidi, soma https://jamii.app/PolisiVsRungwe

WATU 10 WAMEUAWA KATIKA SHAMBULIO LA KUJITOA MUHANGA
- Na wengine 20 wamejeruhiwa siku ya Jumamosi katika shambulio hilo la bomu la kujitoa muhanga mjini Raqa, ngome ya zamani ya Wanamgambo wa Dola la Kiislamu, Kaskazini mwa Syria
Zaidi, soma https://jamii.app/10WalipuliwaRaqqa

WANAOFANYA MIAMALA YA FEDHA KWA MTANDAO WATAKIWA KUTOA TAARIFA KABLA
> Kanuni mpya za kudhibiti utakatishaji fedha, zinataka taarifa za mtu anayefanya muamala wa fedha zenye thamani ya Dola za Marekani 10,000(zaidi ya Tsh mil. 20) au zaidi, kutoa taarifa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu kabla ya kufanya muamala huo
Soma - https://jamii.app/KanuniMiamalaFedha

KHARTOUM, SUDAN: KAMBI YA WAANDAMANAJI YAVAMIWA, MABOMU NA RISASI ZARINDIMA
- Jeshi limeziba barabara kuzuia Waandamanaji wanaotaka Jeshi likabidhi utawala kwa raia
- Mtu mmoja ameripotiwa kufariki huku raia kadhaa wakiwekwa chini ya ulinzi
Zaidi, soma https://jamii.app/GunfireProtestorsKhartoum

KIPINDUPINDU, DAR: WATATU WAFARIKI, 55 WALAZWA
- Temeke vifo ni 2 na Wagonjwa 34; Ilala, kifo kimoja na wagonjwa 19 na Kinondoni kuna wagonjwa 2
- Waziri Ummy ametaja baadhi ya maeneo korofi kuwa ni Keko, Tandika, Buza, Kariakoo, Mchikichini, Kivule na Vingunguti
Zaidi, soma https://jamii.app/KipindupinduChaua-Dar

SERIKALI KUTOBADILI VYUO VYA MAENDELEO KUWA VYA UFUNDI STADI
> Naibu Waziri wa Elimu, William Ole Nasha amesema Serikali haina mpango wa kuvibadili Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi kuwa Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) bali imejikita katika kuboresha vyuo hivyo kwa kuvikarabati na kuviongezea vifaa ili viweze kutoa mafunzo bora
Soma - https://jamii.app/VyuoMaendeleoVeta

BUNGENI: MAONI YA UPINZANI KUHUSU WIZARA YA FEDHA, YAZUILIWA
- Spika Ndugai amedai hotuba hiyo ina makosa na imejaa maneno yasiyofaa
- Sababu nyingine ni Mbunge Halima Mdee aliyesimamishwa kuhudhuria mikutano 2 kushiriki kuandaa hotuba hiyo
Zaidi, soma https://jamii.app/HotubaFedhaUpinzaniYafutwa

MITAA YOTE KWENYE MAJIJI KUWEKEWA UMEME IFIKAPO JUNI 30
> Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania kuhakikisha mitaa yote kwenye majiji, inapatiwa umeme ifikapo Juni 30, mwaka huu ili maeneo hayo yafanane na hadhi ya jiji
Soma - https://jamii.app/UmemeMitaaJiji

IKULU, DAR: ASKOFU GWAJIMA AKUTANA NA RAIS MAGUFULI
- Rais Magufuli amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Dkt. Josephat Gwajima leo Juni 3, 2019 Ikulu jijini Dar
Zaidi, soma https://jamii.app/GwajimaMagufuli-Ikulu

SERIKALI: ONGEZEKO LA DENI LA TAIFA NI KUTOKANA NA MIKOPO MIPYA YA MIRADI
> Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema kuongezeka kwa deni la Taifa kutoka Tsh. trilioni 49.86 Aprili 2018 hadi Tsh. trilioni 51.03 Aprili 2019, kunatokana na kupokelewa kwa mikopo mipya kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa jengo la tatu la kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julius Nyerere
Soma - https://jamii.app/MikopoDeniTaifa

KENYA: VIJANA SITA MBARONI WAKIDAIWA KUTEKA NA KUUA
- Polisi Kaunti ya Kakamega inawashikilia Vijana hao wanaodaiwa kumteka mtoto wa miaka 9 na baadaye kumuua baada ya kukosa kiasi cha Ksh. 50,000(Tsh. 1,134,542) walichodai ili kumuachia
Zaidi, soma https://jamii.app/WatuhumiwaUtekajiMbaroni-KE

MLINZI ALIYEMUUA MWANAFUNZI WA SCOLASTICA AHUKUMIWA KIFO
> Mahakama Kuu imemhukumu kunyongwa hadi kufa Hamis Chacha kwa kosa la kumuua Humprey Makundi Novemba 6, 2017
> Mmiliki wa shule hiyo na Mwalimu wa nidhamu wamehukumiwa kifungo cha miaka 4 kila mmoja kwa kuficha taarifa za mauaji ya mwanafunzi huyo
Soma - https://jamii.app/HukumuMkinziKifo

DIWANI WA VITI MAALUM(ACT-WAZALENDO) AFARIKI DUNIA
- Diwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, Tumaini Bigilimana amefariki leo katika Hospitali ya Rabininsia Jijini Dar
- Taarifa za mazishi zitatolewa baadaye na ndugu wa Marehemu
Zaidi, soma https://jamii.app/DiwaniACTAfariki-Kibondo

RAIA WA SWEDEN WAKUTWA NA HATIA YA KUFANYA KAZI NCHINI BILA KIBALI
> Mkurugenzi wa Kampuni ya Biabana, Anna Kristina Edler, (54) na mumewe Anders Svensson (58) wamenusurika kifungo cha mwaka mmoja na nusu jela, baada ya kufanikiwa kulipa faini ya Tsh. milioni 20 kwa kosa la kuajiri raia wa nje na kujihusisha na kazi nchini bila kibali cha Uhamiaji
Soma - https://jamii.app/JelaKibaliKazi

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA SOKO LA SAMAKI, FERRY
- Amezungumza na Wauza Samaki umuhimu wa kutumia mifuko mbadala na kuachana na mifuko ya plastiki
- Pia, amezungumza na wauza kahawa na kuagiza kuboreshwa kwa sehemu ya biashara hiyo kuanzia kesho
Zaidi, soma https://jamii.app/MagufuliAtembeleaFerry