RAIS WA BUNGE LA AFRIKA AKUTWA NA HATIA YA UNYANYASAJI KINGONO
> Ripoti ya kamati imeonesha kuwa Nkodo Dang amekutwa na kesi ya kujibu kuhusu unyanyasaji wa kingono kwa watumishi wa kike, matumizi mabaya ya madaraka, upendeleo ndani ya Bunge na kunyanyasa watumishi wa ofisi
> Bunge limeazimia asimamishwe kazi kupisha Umoja wa Afrika ufanye uchunguzi wa kina
Zaidi, soma https://jamii.app/SaxualAbusePAP

TAIWAN YAWA YA KWANZA BARANI ASIA KURUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA
- Wabunge wamepitisha muswada wa ndoa hizo leo, baada ya Mahakama ya Kikatiba kulipa Bunge miaka 2 kubadili Sheria hiyo
- Muswada huo utaanza kutumika ifikapo Mei 24 mwaka huu
Zaidi, soma https://jamii.app/TaiwanSameSexMarriage

MOROGORO: MASHAMBA YALIYOFUTWA NA RAIS KUPITIWA UPYA
- Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amesema Wizara yake itapitia upya mashamba hayo katika wilaya ya Kilosa
- Amesema timu yake itampelekea mapendekezo ya namna ya kutumia mashamba hayo
Zaidi, soma https://jamii.app/MashambaKukaguliwaUpya

SERIKALI INAFANYA MAJADILIANO KUHUSU UMUHIMU WA BANDARI YA BAGAMOYO
> Serikali imesema inaendelea na majadiliano kuhusu kuendelea na ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Mkoani Pwani ili kuona kama inaweza kuwa na tija kiuchumi kwa upande wa Tanzania na si kweli kwamba imeamua kuachana moja kwa moja na mradi
Zaidi, soma https://jamii.app/UjenziBandariBGY

KENYA: WAHITIMU WA KOZI YA UAFISA WA POLISI KULIPWA MSHAHARA SAWA NA MAAFISA WA ZAMANI
- Wahitimu hao wanatakiwa kulipwa hivyo bila kujali kama wamepata shahada yao kabla au baada ya kujiunga Polisi
Zaidi, soma https://jamii.app/MishaharaMaafisaPolisi-KE

MGODI WA ACACIA WAPIGWA FAINI YA TSH. BILIONI 5.6
> Mgodi wa North Mara umepigwa faini hiyo na Serikali kutokana na kosa la uchafuzi wa mazingira katika eneo la Nyamongo baada ya kutolewa kwa taarifa za kitaalamu kufuatia uchunguzi uliofanywa katika mgodi huo
Zaidi, soma https://jamii.app/FainiMgodiAcacia

SERIKALI YAANZA KUSAJILI WAKULIMA NA KUWAANZISHIA BIMA YA MAZAO
> Serikali imeanza kuwasajili wakulima wa mazao yanayosimamiwa na Bodi za Mazao ya Wakulima ambapo hadi Machi 2019 wakulima 1,464,827 wametambuliwa na kusajiliwa nchini
> Wananchi watakiwa kuweka akiba ya chakula kwenye kaya zao, kutokana na baadhi ya maeneo kukosa mvua za kutosha
Soma - https://jamii.app/UsajiliBimaWakulima

MICHEZO: Mtangazaji mahiri wa SuperSportTV, Robert Marawa ametangaza kufukuzwa kazi katika kituo hicho kwa kutumiwa ujumbe mfupi wa maandishi kupitia simu yake ya mkononi
-
Taarifa za kufukuzwa kwake amezitoa mwenyewe kupitia ukurasa wake wa Twitter na mpaka sasa sababu ya kufukuzwa kwake bado haijafahamika

WATU 10 KIZIMBANI KWA WIZI WA TSH. MILIONI 59.9 KATIKA BENKI YA CRDB
- Wanatuhumiwa kula njama ya kutenda kosa la wizi na kuiba Tsh. Milioni 20 mali ya benki hiyo
- Kati yao 8 wanatuhumiwa pia kuiba hela katika ATM ya eneo la Tazara Oilcom
Zaidi, soma https://jamii.app/10KizimbaniWiziCRDB

MADUKA YA KUBADILISHA FEDHA KUFUNGULIWA BAADA YA UHAKIKI KUKAMILIKA
> Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wamiliki wa maduka hayo kuwa watulivu kwasababu baada ya muda mfupi ujao wataruhusiwa kuendelea na biashara hiyo
> Amesema kinachofanywa ni juhudi za Serikali kuboresha mazingira ya utendaji wa taasisi za fedha ambao ni muhimu kufanikisha malengo ya kiuchumi
Zaidi, soma https://jamii.app/UhakikiBureau

NAIBU WAZIRI WA VIWANDA AHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUOMBA RUSHWA
> Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe amesema yupo tayari kuwasilisha ushahidi Bungeni kuwa Mhandisi Stella Manyanya amehusika katika vitendo vya kuomba rushwa
> Ametakiwa kuwasilisha ushahidi huo Bungeni siku ya Jumatatu, Mei 20
Zaidi, soma https://jamii.app/WaziriTuhumaRushwa

UFARANSA: DAKTARI ASHTAKIWA KWA KUWAPA SUMU WATU 17
- Frederic Pechier(47), tayari anachunguzwa kwa mashtaka mengine 7 na sasa anakabiliwa na mashtaka 24
- Anadaiwa kufanya makosa hayo akiwa kama daktari bingwa katika kliniki 2 za binafsi
Zaidi, soma https://jamii.app/DaktariSumuWatu-FRN

PWANI: WATU 2 WAMEFARIKI KATIKA AJALI YA GARI DOGO NA FUSO
- Gari dogo limegongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso leo maeneo ya Mdaula
- Inadaiwa waliofariki walikuwa ktk gari dogo huku dereva wa Fuso na mtu mwingine wakikimbizwa hospitali
Zaidi, soma https://jamii.app/AjaliMdaula-Fuso

RAIS AWAONYA VIONGOZI WENYE MIGOGORO BAINA YAO
> Rais Magufuli amewataka viongozi wa kuteuliwa kuanzia ngazi ya Ukuu wa Mkoa mpaka chini, kujenga ushirikiano na uhusiano mzuri baina yao
> Amewaonya viongozi ambao wamekuwa na migogoro baina yao na hivyo kuathiri utendaji kazi kuwa hatasita kuchukua hatua ikiwa ni pamoja kuwaondoa katika nyadhifa zao
Zaidi, soma https://jamii.app/RaisViongoziMigogoro

SPIKA NDUGAI: MASELE AKIZIDI KUPUUZA WITO WANGU LABDA AWE MKIMBIZI
> Spika Job Ndugai amesema kuwa hajaitwa sababu ya migogoro inayoendelea Bunge la Afrika bali ameitwa sababu ya utovu wa nidhamu maana matendo yake anayofanya yanaliabisha Taifa
> Suala la kuitwa Kamati ya maadili ni haki yake ya kusikilizwa maana hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa bila kuitwa
Zaidi, soma https://jamii.app/SpikaOnyoMasele

SARAFU YA TANZANIA INAYODHANIWA KUTUMIKA MIAKA 1,000 ILIYOPITA YAPATIKANA AUSTRALIA
- Sarafu hiyo kutoka Kilwa imepatikana katika kisiwa cha Wessel
- Hii inaweza kubadili historia kuhusu watu wa kwanza kutoka Ulaya waliofika Australia
Zaidi, soma https://jamii.app/SarafuTZmiaka1000

BASI LA SWEET AFRICA LAPATA AJALI MLIMA KITONGA
> Basi hilo la abiria lilikuwa linatoka Mkoani Njombe kuelekea Dar es Salaam
> Taarifa za awali zinasema hakuna vifo isipokuwa abiria kadhaa wamejeruhiwa akiwemo dereva ambaye amevunjika miguu
> Chanzo cha ajali ni dereva kushindwa kulimudu basi hilo wakati anateremka mlimani hivyo kupoteza mwelekeo
Zaidi, soma https://jamii.app/AjaliBasiKitonga

RAIA WA KENYA ASHTAKIWA AKIDAIWA KUUA WANAWAKE 11 NCHINI MAREKANI
- Billy Kipkorir Chemirmir(46), anadaiwa kufanya mauaji 6 huko Dallas na 5 huko Collin, Texas
- Inadaiwa aliwaua kwa kuwaziba pumzi akitumia mto kisha kuwaibia vitu mbalimbali
Zaidi, soma https://jamii.app/KenyanSerialKiller-US