UFARANSA: POLISI WAPIGA MARUFUKU RAIA KUANDAMANA
> Jeshi la Polisi mjini Paris limetangaza marufuku ya maandamano ktk jengo la Bunge na Ikulu
> Ni desturi yao kuandamana kila mwisho wa wiki kupinga kupanda kwa bei za bidhaa na Serikali ya Rais Macron
#JFInternational

MAHAKAMA YAIPA USHINDI CHADEMA KATA YA NDALAMBO
> Leo April 12 Mahakama kuu kanda ya Mbeya imemtangaza mgombea wa CHADEMA, Michael Kayange kuwa mshindi kwenye kesi iliyokuwa imefunguliwa kupinga matokeo ya udiwani kata ya Ndalambo
> Matokeo halali ya uchaguzi uliofanyika mwaka 2017, CHADEMA ilipata kura 1,277 na CCM kura 1,044
Soma - https://jamii.app/UshindiNdalamboCDM

ADHABU: MTOTO APIGWA NA KUWEKEWA PILIPILI MACHONI NA SEHEMU ZA SIRI
> Hadija Abdallah (7) mkazi wa mtaa wa Mlenda, Mkoani Tabora amefanyiwa kitendo hicho cha kikatili na wazazi wake ikiwa ni sehemu ya adhabu kwa kosa la kutokujaza maji kwenye diaba
> Wazazi wamemtelekeza mtoto baada ya kukamatwa na kuachiwa kwa dhamana
Soma - https://jamii.app/AdhabuMtotoPilipili

JE, WAJUA KAMA JAMIIFORUMS KUNA JUKWAA LA BIASHARA, UCHUMI NA UJASIRIAMALI?
> Jukwaa hili linatoa fursa kwa Wachumi, wafanyabiashara na Wajasiriamali kubadilishana mawazo na uzoefu
> Aidha, kupitia Jukwaa hili zipo shuhuda na mada za kuelimisha kuhusu masuala mbalimbali ya Uchumi, Biashara na Ujasiriamali
Tafadhali, 'Share' na wengine
Tembelea na ujifunze, fungua > https://jamii.app/JFUchumiBiashara

WACHEZAJI MANCHESTER UNITED KUKATWA MISHAHARA
> Klabu ya Manchester United imeamua kwamba mastaa wake watakatwa mishahara yao kwa asilimia 25 kama wakishindwa kufuzu kutinga katika michuano ya Ligi ya mabingwa wa Ulaya
> Hivi ndivyo ilivyo kwa mujibu wa mikataba yao
#JFMichezo

CAIRO, MISRI: TANZANIA KUJUA HATMA YA KUNDI LAKE LA AFCON 2019 LEO
> Baada ya miaka 39 Tanzania pia imefuzu kushiriki michuano hiyo na leo itashuhudiwa ikipangwa kwenye moja ya makundi
> Je, unaweza kutabiri ni timu gani zinaweza kupangwa kundi moja na Tanzania?
#TotalAFCON2019

TETEMEKO LA ARDHI: Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 6.8 kwa kipimo cha Richa limelikumba eneo la Sulawesi huko Indonesia
> Taharuki imewakumba wakazi wa Sulawesi na wengi wameyakimbia makazi yao
> Aidha, tetemeko hili linaelezwa kuwa linaweza kusababisha Tsunami

AFCON 2019: TANZANIA YAANGUKIA KUNDI C
> Katika kundi hilo Tanzania imepangwa pamoja na Senegal, Algeria na Kenya
#AFCON2019Draw

SUDANI: Waziri wa Ulinzi, Awad Ibn Aouf ametangaza kujiuzulu nafasi ya uongozi wa Serikali Mpito
> Jeshi lilitangaza kuunda Serikali ya mpito baada ya kumpindua Rais Omar al-Bashir
> Amemtangaza Abdel Fatah al-Burhan kuwa kiongozi mpya huku akimuondoa Kamal Abdul Maarouf katika baraza la Uongozi
#SudanUprising

DODOMA: MJI WA KISERIKALI KUZINDULIWA LEO NA RAIS MAGUFULI
> Mji huo ulianza kujengwa katika eneo la Mtumba nje kidogo ya jiji la Dodoma baada ya mwaka jana Wizara ya Fedha kutoa kiasi cha Shilingi Bilioni 23
Zaidi, soma => https://jamii.app/UzinduziMjiDodoma

KYELA: DIWANI AKAMATWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI
> Diwani wa kata ya Lusungo(CCM) mkoani Mbeya, Veronika Kanyanyila anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kupanga njama za kumuua Oliva Kyusa kwasababu ya wivu wa Mapenzi
> Amehusishwa na mauaji hayo kwa vile mara kadhaa alimtuhumu Marehemu Oliva kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na mume wake, Alfred Mwankenja
Soma - https://jamii.app/DiwaniMbaroniMauaji

POLISI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUTAPELI PESA ZA UPATU
> Mrakibu Msadizi wa Polisi (ASP), Lydia Ngua (43) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka 22 ya kujipatia fedha Tsh. 489,615,000 za upatu kutoka kwa watu mbalimbali wakiwemo maofisa wa Jeshi hilo
Soma - https://jamii.app/PolisiKizimbaniUpatu

RAIS AWAPANDISHA VYEO WALIOJENGA MJI WA SERIKALI NA KUTANGAZA AJIRA
> Amempandisha cheo cha kijeshi kiongozi na msimamizi mkuu wa ujenzi huo kutoka Kanali hadi Brigedia Jenerali
> Pia, amemwagiza Mkuu wa Majeshi kupeleka mapendekezo ya kuwapandisha vyeo maafisa wote wa Jeshi walioshiriki
Soma - https://jamii.app/AjiraVyeoJWTZ

TBS YAPIGA MARUFUKU UUZWAJI WA NYAYA ZA MAWASILIANO (DATA CABLE)
> Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limepiga marukufu kuuzwa kwa nyaya hizo baada ya kubainika hazikidhi viwango
> Wenye maduka yaliyokuwa yakiuza nyaya hizo wamepewa muda wa siku 14 kujieleza
> Wanaoingiza bidhaa kutoka nje ya nchi bila kukaguliwa kupitia PVoC, wanatozwa faini ya 15% kulingana na thamani ya mzigo
Soma - https://jamii.app/ZuioNyayaCable