JamiiForums
52.7K subscribers
34.4K photos
2.45K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI KUAMUA KUHUSU KESI YA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI

> Sheria inayolalamikiwa ilipitishwa na Bunge, Februari 2, 2016 na kusainiwa na Rais Magufuli Februari 13

> Kifungu cha 18 kinaelezwa kinakiuka Mkataba wa EAC

Soma > https://jamii.app/KesiAfrikaMashariki
MAHOJIANO YA MAALIM SEIF YAFUTWA

> Mahojiano yalipangwa kufanyika katika kipindi cha asubuhi cha Clouds 36O

> Imeelezwa kuwa mahojiano hayo hayatakuwepo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao(Clouds Tv)

Soma > https://jamii.app/MaalimuClouds360
IKULU, DAR: BALOZI WA TANZANIA NCHINI CUBA AAPISHWA

- Rais Magufuli amemuapisha Kamishna Valentino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba

- Aidha, Balozi Mlowola amekula kiapo cha uadilifu mbele ya Jaji

Soma https://jamii.app/KuapishwaBaloziRipotiTAKUKURU
TANZANIA YATAKIWA KUHAKIKISHA VIFUNGU VYA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI VINAENDANA NA MKATABA WA EAC

> Hii ni baada ya Mahakama kukubaliana na waleta maombi kwamba vifungu vya Sheria ya Huduma za Habari, 2016 vinakiuka Mkataba wa EAC

Zaidi, soma > https://jamii.app/TanzaniaVsEACJ
IKULU, DAR: Baadhi ya nukuu za alichokisema Rais Magufuli wakati akimuapisha Balozi mteule, Valentino Mlowola anayekwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba
MANCHESTER UNITED YAMPA OLE GUNNAR SOLSKJAER MKATABA WA KUDUMU

- Amepewa mkataba wa miaka mitatu baada ya kukabidhiwa timu hiyo kama kocha wa muda Desemba 2018 alipotimuliwa Jose Mourinho

- Tangu akabidhiwe timu hiyo ameshinda michezo 14 kati ya 19 aliyoiongoza

#JFLeo
TUNDU LISSU AANDIKA BARUA YA KUDAI POSHO NA MSHAHARA WAKE

> Amemwandikia barua Katibu wa Bunge akitaka malipo hayo yafanyike ndani ya siku 14 vinginevyo ataenda Mahakamani

> Katibu wa Bunge, Stephen Kigaigai akana kupokea barua hiyo

Soma > https://jamii.app/LissuVsKatibuBunge
JE, WAIJUA HISTORIA YA NENO DALADALA?

> Miaka 1980 kulikuwa na shida ya usafiri Dar, nauli ikaongezeka na kufikia shilingi 5

> Makondakta walianza kuita 'Kariakoo dala dala!' maana shilingi 5 ilikuwa sawa na dola 1 ya Marekani

Soma > https://jamii.app/HistoriaDaladala

#JFHistoria
RAIS MAGUFULI ATEMBELEA NDEGE YA SERIKALI INAYOPAKWA RANGI YA ATCL

- Ndege hiyo aina ya Foker 50 iliyokuwa inabeba Viongozi inabadilishwa iwe ya ATCL na ianze kubeba abiria

- Mapema leo akiwa Ikulu, Rais amesema kuwa upakaji rangi wa ndege hiyo umegharimu Tsh. Milioni 5
KESI YA MEMBE DHIDI YA MUSIBA YAPIGWA KALENDA

- Bernad Membe amefika Mahakama Kuu kwa ajili ya kesi ya madai ya fidia ya Tsh. Bilioni 10 dhidi ya Cyprian Musiba

- Imeahirishwa baada ya Musiba kuomba muda wa kuwasilisha majibu dhidi ya Membe

Soma https://jamii.app/KesiMembe-MusibaYaahirishwa
DURBAN, AFRIKA KUSINI: MAGARI 7 YATEKETEZWA NA MOTO KATIKA GHASIA ZA MGOMO WA MADEREVA

> Mgomo wa madereva wa magari ya mizigo ulianza Jumapili ktk viunga vya KwaZulu-Natal

> Madereva wazawa wanadai wageni wanachukua kazi zao

Soma > https://jamii.app/MgomoMaderevaSA
BURUDANI: JE, NI NINI KIMESABISHA MUZIKI WA DANSI USHUKE?

> Kuanzia miaka ya 1970 hadi miaka ya katikati ya 2000 muziki wa dansi ulisikika na kujizolea mashabiki kila kona ya nchi

> Lakini kwa sasa bendi nyingi zimesambaratika ama wanamuziki wake kufanya kazi ya kuimba kwenye baa ili kupata pesa ya kujikimu

#JFBurudani