JamiiForums
52.8K subscribers
34.4K photos
2.44K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
SENETA APIGWA KWA UBAGUZI WA DINI

> Seneta Fraser Anning wa Queensland, Australia amepigwa na yai na kijana mmoja baada ya kudai Waislamu wanaohamia New Zealand ndio chanzo cha shambulio lililotokea Msikini na kuua watu 49

Soma > https://jamii.app/NZSenator

#JFInternational
SHAMBULIO LA KIGAIDI, NEW ZEALAND: IDADI YA WALIOFARIKI YAFIKIA 50

- Idadi hiyo inafikiwa huku majeruhi wawili wakiwa katika hali mbaya

- Aidha, waliojeruhiwa pia ni 50 huku 36 miongoni mwao wakiwa bado wamelazwa hospitalini

Zaidi, soma https://jamii.app/DeathTollRises50-NWZLND
PAPUA, INDONESIA: TAKRIBANI WATU 50 WAMEFARIKI KWA MAFURIKO

- Maafisa wa Serikali wamesema idadi hiyo inaweza kuongezeka wakati uokoaji ukiendelea

- Mafuriko hayo yaliyosababishwa na mvua kubwa na maporomoko ya ardhi yamejeruhi watu wengine 50

Zaidi, soma https://jamii.app/FloodsIndonesia-Machi2019
ARDHI KUSAJILIWA KIELEKTRONIKI KWA SHILINGI 5,000

- Wizara ya Ardhi imezindua mpango wa kusajili kila kipande cha ardhi na kutoa leseni au hati ya kieletroniki itakayodumu miaka mitano

- Kuanza Dar es Salaam na kisha kuendelea mikoa yote

Zaidi, soma https://jamii.app/ElectronicLandLicence
MARA: MALIGHAFI ZISIZO NA KIBALI ZA KUTENGENEZEA POMBE ZAKAMATWA

- Kituo cha Forodha Sirari kimekamata mapipa 386 ya lita za ujazo 96,500 yenye malighafi ya thamani ya Tsh. Milioni 246.6

- Yalikuwa yakisafirishwa kinyemela kwenda Kenya

Zaidi, soma https://jamii.app/MalighafiZakamatwaSirari
NASSARI ASEMA ATAENDA MAHAKAMANI ASIPOPATA HAKI YAKE

- Asema hakuhudhuria Bunge la Novemba 2018 na Januari 2019 kutokana na mke wake kuwa na matatizo ya kiafya

- Asema alimtaarifu Spika kupitia anuani aliyopewa na Msaidizi wa Spika

Zaidi, soma https://jamii.app/NassariAongeaKuvuliwaUbunge
TANZIA: WAKILI SHUKURU MLWAFU AFARIKI

- Amefariki dunia leo nyumbani kwake jijini Dodoma baada ya kuugua kwa muda mrefu

- Alikuwa akifundisha sheria UDOM na ndiye aliyefungua kesi kupinga Wafanyakazi kukatwa 15% ya mshahara na HESLB

Zaidi, soma https://jamii.app/WakiliMlwafuAfariki
SERIKALI YAAHIDI KUMALIZA MALIPO YA KOROSHO KABLA YA MACHI 31, 2019

> Yasema uhakiki umekamilika kwa kiasi kikubwa ikiwemo kuwabaini 'Kangomba' wote

> Hadi sasa Tani 222,684 zimekusanywa na Sh. Bilioni 596.9 kati ya Bilioni 723 zimeshalipwa

Zaidi, soma https://jamii.app/MalipoKoroshoMachi31
TAKRIBANI WATU 150 WAMEFARIKI KUTOKANA NA KIMBUNGA

- Mamia wengine hawajulikani walipo baada Kimbunga Idai kuzikumba nchi za Malawi, Msumbuji na Zimbabwe

- Aidha, zaidi ya watu Milioni 1.5 wameathiriwa na Kimbunga hicho katika nchi hizo tatu

Zaidi, soma https://jamii.app/KimbungaChauaZimbabwe
GEITA: UKUSANYAJI WA MADUHULI SEKTA YA MADINI WAONGEZEKA

- Kati ya mwaka 2011 hadi 2018 ukusanyaji wa maduhuli katika sekta ya madini umetoka Tsh. Bilioni 24 hadi Tsh. Bilioni 114.7

- Moja ya sababu ni mabadiliko ya kisheria yenye manufaa

Zaidi, soma https://jamii.app/UkusanyajiMaduhuliMadiniWapanda
KENYA: WAKILI AMPIGA RISASI MWANAE NA KUMUUA

- Wakili Assa Kibagedi anasema alimpiga mwanae risasi kwa bahati mbaya akiwa anaihifadhi silaha ndani ya gari walimokuwepo wote

- Wakili huyo kwa sasa yupo kituo cha Polisi huku tukio hilo likiendelea kuchunguzwa zaidi

Zaidi, soma https://jamii.app/WakiliAuaMwanaeKNY
WATUMISHI 12 NJOMBE KUKAMATWA KWA TUHUMA ZA UBADHILIFU

> Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka ameagiza kukamatwa kwa watumishi 12 akiwemo Mkurugenzi wa Halmashauri kwa ubadhilifu wa Tsh bilioni 5.5 za ujenzi wa kituo cha mabasi

Soma - https://jamii.app/WatumishiKamatwaUbadhilifu
#JFLeo
GEITA YAPATA SOKO LA MADINI, WATOROSHAJI KUADHIBIWA KISHERIA

> Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa tahadhari kwa wadau wote wa madini kuwa atakayekamatwa anatorosha madini, atachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo utaifishaji wa madini atakayokuwa akiyatorosha

> Ametoa tahadhari hiyo jana wakati akifungua soko la madini la Mkoa wa Geita ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Magufuli la kuitaka mikoa yote ianzishe masoko ya madini

Soma - https://jamii.app/SokoMadiniGeita
#JFLeo
MAHAKAMA KUU YAMTAMBUA PROF LIPUMBA KAMA MWENYEKITI HALALI WA CUF

> Kesi ilifunguliwa na Bodi ya Wadhamini wa chama hicho wanaomuunga mkono Maalim Seif baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa kudai anamtambua Lipumba kama Mwenyekiti halali

Soma > https://jamii.app/MahakamaKuuLipumba

#JFLeo
MALI ZA MANJI ZAZUILIWA KUTOKANA NA DENI LAKE NBC

> Mahakama Kuu imezuia mali za mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuph Manji kutokana na madeni anayodaiwa na Benki ya NBC

> Anadaiwa zaidi ya Tsh bilioni 25 ambazo hajazirejesha kwa wakati

Soma - https://jamii.app/ZuioManjiNBC
#JFLeo
JESHI LA POLISI LAUA MTU MMOJA AKIDAIWA KUWA JAMBAZI

> Jeshi la Polisi Wilayani Muheza Mkoani Tanga limemuua kwa kumpiga risasi Mkazi wa Dar es Salaam, Mwinyiheri Nuhu, akidaiwa alikuwa akijihusisha na ujambazi

> Yeye na wenzake walivamia nyumba ya Mfanyabiashara Ally Nassoro Wilayani Muheza wakiwa na bunduki juzi usiku na kupora Tsh. milioni moja

Soma - https://jamii.app/JambaziKifoPolisi
#JFLeo
MWANAFUNZI WA DARASA LA 5 AJIUA KWA KUJINYONGA

> Ktk Kijiji cha Shaviringa ndogo ya makuchi, Kenya, mvulana (13) amejitoa uhai kwa kujinyonga na kamba

> Ni baada ya wazazi wake kumuadhibu kwa kosa la kuchukua kitu cha jirani yao

Soma - https://jamii.app/MwanafunziAjinyongaKE
#JFInternational
MAALIM SEIF ATANGAZA KUJIUNGA NA ACT-WAZALENDO

> Mwanasiasa mkongwe na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF ametangaza kukihama chama hicho na kuhamia ACT Wazalendo

> Maalim Seif ametangaza uamuzi huo mchana huu

Zaidi, soma => https://jamii.app/MaalimACT

#JFLeo
ATHARI ZA KULA MATUNDA NA MAJI TU KWA MUDA MREFU

> Matumizi ya matunda na maji kama chakula ndani ya mwezi mzima itasababisha upungufu wa Vitamin za aina zote ila kwa kiasi kikubwa Vitamin B12 ambayo haipatikani kwenye tunda lolote lile

> Upungufu wa B12 unaweza kusababisha matatizo ya kinyurologia, ikiwamo matatizo ya akili (psychosis) na kuharibika kwa Kongosho, ambapo kwa kiasi kikubwa utapata kansa

Zaidi, soma - https://jamii.app/AthariMatundaMajiTu
#JFAfya