ITALIA: WABAKAJI WAACHIWA KWA KUWA SURA YA ALIYEBAKWA HAIVUTII
> Waliachiwa baada ya Majaji kuamua kuwa mlalamikaji ana ‘uanaume wa kimaumbile’ na hivyo hamvutii mbakaji
> Hata hivyo, wameshtakiwa tena kwa amri ya Mahakama ya rufaa
Zaidi, soma https://jamii.app/MvutoSuraUbakaji

UCHAGUZI NCHINI ALGERIA WAAHIRISHWA
> Uchaguzi wa urais nchini humo uliotarajiwa kufanyika tarehe 18 mwezi ujao umeahirishwa baada ya Rais Abdelazi Bouteflika kutoa uamuzi huo jana na kusababisha maelfu ya wananchi kuandamana
Zaidi, soma https://jamii.app/AlgeriaElectionDelay

UN: SERIKALI YA RAIS PIERRE NKURUNZIZA YAZIDI KUWA KANDAMIZI
- Hayo yameelezwa kwenye ripoti ya Tume ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi
- Tume hiyo imeeleza kusikitishwa kwa kufungwa ofisi ya UN ya haki za binadamu nchini humo
Zaidi, soma https://jamii.app/SerikaliYatajwaKandamizi-BRND

AUSTRALIA: KADINALI GEORGE PELL AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 6
- Mahakama imemuhukumu kwa kumkuta na hatia ya kuwanyanyasa kingono Wavulana 2
- Pell, aliyekuwa Waziri wa uchumi wa Vatican, anaelezwa kufanya hivyo zaidi ya miaka 20 iliyopita
Zaidi, soma https://jamii.app/CardinalSentenced6Yrs-AUST

PROFESSA LIPUMBA APITISHWA KUGOMBEA UENYEKITI CUF
- Prof. Ibrahimu Lipumba ni miongoni mwa Wanachama watatu waliopitishwa na Baraza Kuu la Chama Cha Wananchi (CUF)
- Wengine waliopitishwa ni Diana Daudi Simba na Zuberi Mwinyi Hamisi
Zaidi, soma https://jamii.app/LipumbaKugombeaUenyekiti-2019

WATUMISHI MBARONI KWA WIZI WA DAWA
> Watumishi watatu wa idara ya afya Wilayani Chato mkoani Geita wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za wizi wa dawa mbalimbali zinazodaiwa kuwa mali ya Serikali
> Wapo waganga wafawidhi 2 na mtunza stoo
Zaidi, soma https://jamii.app/WatumishiWiziDawa

WATAALAMU WA ATOMIKI WAKUTANA, TANZANIA NI MMOJA WA WANUFAIKA
> Wamekutana Arusha kujadili utekelezaji miradi ya matumizi salama ya Sayansi na Teknolojia ya nyuklia Afrika
> Tanzania ilipata Tsh. Bilioni 9 na kununua vifaa tiba vya Saratani
Zaidi, soma https://jamii.app/MatumiziTeknolojiaAtomiki

NIGERIA: JENGO LENYE SHULE LAANGUKA, WENGI WAHOFIWA KUFA
- Jengo la ghorofa 3 lililokuwa na shule ya msingi na makazi limeanguka leo saa nne asubuhi(saa za huko)
- Uokoaji unaendelea na Watu kadhaa wametolewa kwenye vifusi wakiwa na majeraha
Zaidi, soma https://jamii.app/BuildingCollapseNGR-2019

HARRY KITILYA NA WENZAKE WAANZA KUJIBU KESI DHIDI YAO
- Kamishna huyo Mkuu mstaafu wa TRA na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi wameanza kujibu
- Ni katika Mahakama Kuu kitengo cha Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi
Zaidi, soma https://jamii.app/KesiUfisadiKitilyaYaanza

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WATAALAMU WA UJENZI WA UWANJA WA MICHEZO DODOMA
- Utajengwa eneo la Nanenane kando ya barabara ya Dodoma-Morogoro na utachukua Watazamaji 85,000 hadi 100,005
- Unajengwa kwa msaada wa Mfalme wa Morocco, Mtukufu Mohammed VI
Zaidi, soma https://jamii.app/RamaniUwanjaDodoma

MOSHI: MAGARI MADOGO YA ABIRIA YAGOMA KUTOA HUDUMA
- Hiace zitoazo huduma katika maeneo ya KCMC, Soweto, Majengo na Bonite zimegoma kuanzia leo saa 5 asubuhi
- Madereva wanapinga kukamatwa na Polisi kwa kutolipa ushuru wa Tsh. 1000 kila siku
Zaidi, soma https://jamii.app/HiaceZagomaMoshi-Mach2019

PROFESSA LIPUMBA ASHINDA NAFASI YA UENYEKITI CUF
- Ameshinda leo Machi 13 kwenye uchaguzi mkuu wa 7 wa Chama Cha Wananchi(CUF) uliofanyika Jijini Dar
- Amepata kura 516(88.9%), haikuelezwa ni kura ngapi zimepigwa ila kulikuwa na Wajumbe 598
Zaidi, soma https://jamii.app/LipumbaAwaMwenyekiti

MWANAFUNZI AFARIKI WAKATI AKIOGELEA MTONI
> Mwanafunzi wa Chuo cha Ualimu Tukuyu, Samwel James Chacha(25) amefariki wakati akiogelea kwenye Mto Kiwira uliopo Wilaya ya Rungwe, Mbeya
> Chanzo ni uzembe wa kuogelea bila kuchukua tahadhari
Zaidi, soma https://jamii.app/MwanafunziKifoMtoni

BRAZIL: WATU 8 WAUAWA KWA RISASI KWENYE SHULE YA MSINGI
- Vijana wawili wa kiume wa miaka 17 na 25 walivamia shule ya msingi Raul Brazil iliyopo Sao Paulo hapo jana
- Walifyatua risasi na kujeruhi watu wengine 10 na kisha kujiua wenyewe
Zaidi, soma https://jamii.app/8KilledInSchool-BRZ

KAMPUNI YA BOEING YASITISHA MATUMIZI YA BOEING 737 MAX
- Imechukua uamuzi huo baada ya wachunguzi kubaini ushahidi mpya katika eneo ilipoanguka ndege ya Ethiopia Airlines
- Inasitisha usafiri wa ndege zote 371(Max 8 na 9) zinazotoa huduma
Zaidi, soma https://jamii.app/Boeing737MaxGrounded

LISSU: BUNGE LIMEZUIA MSHAHARA NA POSHO ZANGU TANGU JANUARI 2019
- Amebainisha kuwa kitendo hicho kilifanyika kabla hata ya Spika Ndugai kuombwa na kutoa mwongozo
- Amesema ni uthibitisho mwingine wa ukiukaji wa Katiba, Sheria na taratibu
Zaidi, soma https://jamii.app/MshaharaLissuWasitishwa

BURUNDI YAMKATAA SPIKA MPYA WA BUNGE LA EALA
> Burundi imefungua kesi katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) kupinga uchaguzi wa Spika mpya wa Bunge la Afrika Mashariki kwa madai kwamba uchaguzi ulifanyika kinyume na mkataba wa EAC
Zaidi, soma https://jamii.app/BRNVsSpeakerEALA

PWANI: WATU 3 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA AJALINI
- Wanadaiwa kufariki papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya baada ya lori la mchanga kugongana na Suzuki Carry
- Loli lilikuwa likitokea Mkuranga na Carry ilikuwa ikitokea jijini Dar kwenda Vikindu
Zaidi, soma https://jamii.app/AjaliPwani-LoriCarry

UCHAGUZI TLS: MAWAKILI 6 KUWANIA KUMRITHI FATMA KARUME
> Uchaguzi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika unatarajiwa kufanyika Aprili 6 mwaka huu
> Mmojawapo ni Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria Watetezi wa Mazingira(Leat), Dkt. Rugemeleza Nshala
Zaidi, soma https://jamii.app/UchaguziTLS2019

SERIKALI YATAKA WAFUNGWA WATUMIKE KWENYE UJENZI WA CHUO
> Serikali imelitaka Jeshi la Polisi kutumia wafungwa kwenye ujenzi wa mabweni na madarasa ya chuo cha Polisi Kurasini, Dar ili kuokoa Tsh. Milioni 200 zilizotengwa kuwalipa vibarua
Zaidi, soma https://jamii.app/WafungwaUjenziChuo