BURUDANI: Wadau wa Jukwaa la Entertainment ndani ya JamiiForums.com wanasema Nyimbo za kale (Bendi) hazichuji na zinavutia hadi sasa
Wewe ni shabiki wa Bendi? Ni 'Classic' gani zinakuburudisha mpaka leo?
Zaidi, Tembelea - https://jamii.app/MuzikiBendi
#JFBurudani

UREMBO/MITINDO: Unakumbuka Nguo au Mitindo gani ya 'Fashion' ya zamani ambayo kwasasa inaonekana kuwa Kituko ukivaa?
Wadau wa JamiiForums.com wametaja baadhi ikiwemo Chupi za VIP ambazo ilikuwa ikikatika inapanda juu. Viatu vya Raizon, Suruali za Kitambaa cha Mchele Mchele pamoja na Viatu vya utanikoma Saa 6
Mjadala zaidi - https://jamii.app/OldFashion

Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imeiamuru #Uganda kuilipa DRC dola milioni 325 kama fidia kwa kuingilia mgogoro wa Jimbo la Ituri Miaka ya 1990
ICJ imesema mapigano yaliyofanywa na Majeshi ya Uganda Nchini #DRC yalikiuka Sheria ya Kimataifa
Soma - https://jamii.app/ICJUGvsDRC
#JFDiplomasia

UGANDA: Mwandishi Kakwenza Rukirabashaija ambaye aliwekwa chini ya ulinzi kwa takriban mwezi mmoja akituhumiwa kumkosoa Rais Yoweri Museveni amekimbia Nchini humo
Wakili wake amesema mazingira yalikuwa magumu kwa Kakwenza kuendelea kukaa
Soma - https://jamii.app/KakwenzaUG
#PressFreedom

LIBYA: MSAFARA WA WAZIRI MKUU WASHAMBULIWA KWA RISASI
Shambulio dhidi ya Abdulhamid Dbeibah Jijini Tripoli linakuja wakati kuna mvutano mkali kuhusu udhibiti wa Serikali
Uchaguzi Mkuu ulipangwa kufanyika Desemba 2021 lakini uliahirishwa
Soma - https://jamii.app/ShambulioPM
#JFSiasa

MALEZI: ONESHA UMAKINI PALE UNAPOZUNGUMZA NA MTOTO WAKO
Mtoto huumizwa Kisaikolojia pale ambapo utaonesha kutokuwa makini wakati unazungumza naye. Unatakiwa kuhakikisha Macho yako hayatazami kwengine zaidi ya Uso wa Mtoto wako
Msikilize kwa makini na utumie Lugha rahisi kumwelewesha. Wataalamu wa makuzi wanaeleza, Watoto wanaosikilizwa hujengeka na kuwa Watu wazima wanaoheshimu mawazo ya wengine
Soma - https://jamii.app/ListenChild
#JFMalezi #Parenthood

FAIDA ZA KUTUMIA ILIKI KIAFYA
> Matumizi ya Iliki husaidia kuipa uwezo mzuri Figo wa kuondoa Takamwili, huku ikisaidia kuweka sawa mfumo wa umeng'enyaji Chakula
> Iliki inasaidia kuondoa hali ya Kiungulia/Gesi na tatizo la kukosa Choo. Saga kisha tumia Unga wake kijiko 1 cha Chakula ktk Maji moto kwa muda wa Wiki 2
> Kwa kinywa kinachotoa harufu au vidonda tumia Unga uliochanganywa kwenye Maji ya vuguvugu kisha sukutua kila siku kwa Wiki 3
Fahamu zaidi - https://jamii.app/FaidaIlikiAfya
#JFAfya

SERIKALI YAYAFUNGULIA MAGAZETI MANNE YALIYOFUNGWA
Katika Kikao na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Waziri wa Habari, Nape Nnauye amesema Leseni zitatolewa kwa Magazeti ya Mwanahalisi, Mawio, Mseto na Tanzania Daima akisisitiza "Kifungo kimetosha"
Soma https://jamii.app/LeseniMagazeti4

PAKISTAN: MJAMZITO AGONGELEWA MSUMARI NA MGANGA ILI AZAE MTOTO WA KIUME
Msako unaendelea Nchini #Pakistan kumtafuta Mganga wa Kienyeji anayedaiwa kushindilia Msumari wa 5cm kwenye kichwa cha Mwanamke Mjamzito kwa Imani atajifungua Mtoto wa Kiume
Soma - https://jamii.app/PregnantNailPakst

MDAU: UTAWALA BORA HUFANIKISHA USTAWI WA WANANCHI
Anasema hakuna namna maisha ya Waafrika yatabadilika bila ya kila Taifa kukubali na kutumia dhana ya #UtawalaBora, kwasababu ni nyenzo muhimu kufanikisha ajenda kuu
Soma - https://jamii.app/UtawalaSOC
#StoriesOChange #UtawalaBora #Governance

UJASIRIAMALI: #Biashara ya kuoka Mikate, Maandazi na Keki inakua kwa kasi kutokana na ukubwa wa Soko lake
Vifaa vya muhimu ni Jiko la kuokea Mikate (Oven), Prover kwa ajili ya kuumulia Unga wa Ngano, Mixer ya kuchanganyia mahitaji, Slicer ya Mkate, meza pamoja na mikebe ya Oven
Jifunze uzalishaji, masoko na changamoto za Bakery - https://jamii.app/BiasharaMikate
#JFBiashara

BUNGENI: Mbunge wa Kinondoni, Tarimba Abbas amehoji ikiwa Serikali haioni ni muda wa kulifumua Shirika la Umeme (TANESCO) ili kuwe na Kampuni 3 kwa ajili ya Uzalishaji, Usafirishaji na Ugawaji Umeme
Waziri Mkuu asema kutolewa maeneo hayo kwa watu tofauti kunaweza kuleta athari kwenye Usalama wa Nchi
Soma - https://jamii.app/TANESCOBungeni

CHAMA KIMOJA PEKEE KIMEWASILISHA JINA LA MGOMBEA UNAIBU SPIKA
Bunge limesema zoezi la uteuzi limekamilika, na hadi kufikia muda huo CCM ndiyo imewasilisha jina
Litawasilishwa mbele ya Wapiga Kura kesho Februari 11, 2022 kwa taratibu za Uchaguzi
Soma - https://jamii.app/NaibuSpikaBunge
#Democracy

KATAVI: MWALIMU WA MAFUNDISHO AKAMATWA KWA KULAWITI WATOTO 4
Jeshi la Polisi limemkamata Mwalimu wa Mafundisho ktk Kanisa la Katoliki Mpanda Mjini, Joseph John(27)
Alikuwa akiwalaghai Watoto wamsindikize kwenye shughuli za Biashara
Soma - https://jamii.app/MwlRCUlawiti
#JFMatukio #GBV

TANZIA: DKT. MWELE MALECELA AFARIKI DUNIA
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR), Dkt. Mwele Malecela amefariki Dunia akiwa Geneva - Uswisi
Enzi za Uhai wake, Dkt. Mwele aliwahi kujitangaza kusumbuliwa na Maradhi ya Saratani
#JFLeo

Kati ya Mwaka 2030 hadi 2050 Mabadiliko ya TabiaNchi yanatarajiwa kusababisha takriban vifo 250,000 zaidi kwa mwaka
Shirika la Afya Duniani(WHO) limetaja Mabadiliko hayo kuwa tishio kubwa zaidi la kiafya linalowakabili Binadamu
Soma https://jamii.app/AfyaTabiaNchi
#ClimateChange #JFAfya

#COVID19: Namna Bara la Afrika linavyokabiliana na janga hilo imetajwa kubadilika, lakini kasi zaidi katika Chanjo inahitajika ili kudhibiti maambukizi
Mkurugenzi wa WHO-Afrika asema jitihada inapaswa kuwa kwenye kuhamasisha watu kuchanjwa
Soma https://jamii.app/ChanjoAfrica
#UVIKO3 #JFAfya

Ripoti ya Faharasi ya #Demokrasia imeonesha Demokrasia kushuka Mwaka 2021
45.7% ya Watu Duniani waliishi ktk aina fulani ya Demokrasia pungufu ya 49.4% Mwaka 2020
Ni 6.4% pekee ya Watu ndiyo wanaishi ktk mazingira ya Demokrasia kamili
Soma https://jamii.app/DemocracyFall

ANGOLA YADAI KUREJESHA ZAIDI YA DOLA BILIONI 11.5 ZILIZOIBWA SERIKALINI
Waziri wa Sheria asema ndani ya miaka mitatu iliyopita Serikali imerejesha Mali na Fedha zinazofikia Dola za Marekani Bilioni 11.5 zilizoibwa na kufichwa Mataifa mbalimbali
Soma - https://jamii.app/AssetsAngola
#JFUwajibikaji

SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE NA WASICHANA KATIKA SAYANSI
Ushiriki kamili wa Wanawake na Wasichana kwenye Sayansi na Teknolojia ni muhimu zaidi wakati huu ambapo Dunia inaendelea kukabiliana na COVID-19 na janga la Mabadiliko ya TabiaNchi
Ni wakati wa kupinga Ubaguzi dhidi ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi
Soma - https://jamii.app/WomenGirlsScience
#WomenInScience