HOJA: VITUO VYA AFYA VILIVYO KARIBU NA MAKAZI YA WATU VIDHIBITIWE
Mshiriki wa #StoriesOfChange amezungumzia utupaji taka holela na uwepo wa matanuri duni ya kuteketeza taka hatarishi, hali anayosema inaleta athari kwa wakazi wa maeneo jirani
Ashauri kuwepo Mwongozo wa kudhibiti taka Pia kuwe na mafunzo ya mara kwa mara kwa Watumishi wa Afya
Soma zaidi - https://jamii.app/VituoVyaAfya

TANZANIA KUPOKEA DOZI 115,200 ZA JOHNSON & JOHNSON KUTOKA UBELGIJI
Chanjo hizo zinatarajiwa kupokelewa Desemba 03, 2021
Ubelgiji iliahidi kusambaza angalau Chanjo Milioni 4 kwa Nchi za kipato cha kati na chini kufikia mwisho wa mwaka 2021
Soma https://jamii.app/JnJ115200
#UVIKO3

Katika ukusanyaji wa Mapato ya Ndani ya Mashirika ya Umma, baadhi ya mapungufu yaliyopelekea upotevu wa Tsh. Bilioni 35.96 ni kama;
1) Upotevu wa Tsh. Bilioni 20.17 kutokana na kufutwa kwa madeni ya wakopaji pasipo kuwa na idhini ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na Wizara ya Fedha na Mipango
2) Upotevu wa makusanyo yenye thamani ya Tsh. Bilioni 7.23 yaliyokusanywa nje ya mfumo wa malipo ya Serikali GePG na hayakupelekwa Benki
Soma - https://jamii.app/CAGMashirikaUmma
#JFUwajibikaji

KENYA: BABA AMSHTAKI MTOTO AKITAKA AKATWE 20% YA MSHAHARA NA KUPEWA YEYE
Gideon Kisira Cherowo (73) amemfungulia kesi Mtoto wake, Washington Chepkombe akitaka akatwe mshahara ili apewe yeye kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya Familia
Cherowo ana Watoto 4 lakini mwenye kazi ni Washington pekee
Soma - https://jamii.app/BabakesiMtoto

TANZANIA YAOMBA KUANDAA KOMBE LA DUNIA
Waziri wa Michezo, Innocent Bashungwa aomba Shirikisho la Soka la Afrika kwa Watu Wenye Ulemavu(FAAF) kuifikiria Tanzania kuandaa Kombe la Dunia
Asema kuna mazingira wezeshi ya kuendesha mashindano makubwa
Soma - https://jamii.app/KombeFAAF

TAKWIMU: Mwaka 2021 Watoto 1,390,825 waliandikishwa Shule za Awali ambapo watoto 535,076 sawa na 38% waliandikishwa wakiwa na zaidi ya miaka 5
Hii inaonesha wazazi huchelewa kuandikisha watoto japo 89.48% ya Shule za Awali zinamilikiwa na Serikali
Soma - https://jamii.app/ShuleZaAwali

MAENEO HATARISHI KWA RUSHWA YA NGONO
1. Taasisi za Elimu: Taasisi za Elimu kuanzia ngazi ya Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo Vikuu ni eneo ambalo Walimu huomba Ngono kwa kubadilishana na alama za ufaulu
2. Maeneo mengine ya Huduma: Rushwa ya Ngono inaweza kutokea katika maeneo mengine ya utoaji huduma kama vile Hospitalini, Mahakamani nk.
Soma - https://jamii.app/HatariRushwaNgono
#16DaysofActivism2021

MASUMBWI: Bondia wa DR-Congo, Tshimanga Kitompa (aliyempiga Dullah Mbabe) atapambana na bondia kutoka JWTZ, Selemani Kidunda ‘Mtu Mbaya’ Desemba 26, 2021
> Watapigania mkanda wa WBF International, raundi 10 uzito wa kilo 76
Soma https://jamii.app/SuleimanKidunda
#JFSports

MIKOA 6 KUPATA MVUA KUBWA KWA SIKU 3. WANANCHI WATAHADHARISWA
TMA imesema Mvua itaanza leo, Jumamosi mpaka Jumatatu ambapo inaweza ikaleta madhara
Mikoa iliyotajwa ni Dar es Salaam, Tanga, Pwani (ikiwemo Mafia), #Zanzibar, Morogoro na Lindi
Soma - https://jamii.app/Mikoa6Mvua

RAIS SAMIA: CORONA ISIWE KIGEZO CHA MIRADI KUCHELEWA
Asema kwa muda mrefu kumekuwa na changamoto ya miradi kuchelewa, hivi karibuni kisingizio kimekuwa #COVID19
Amesema kwa sasa tumeshaizoea hivyo isiwe tena kigezo cha miradi kuchelewa
Soma - https://jamii.app/UVIKO3Miradi

DAR: Rais Samia amesema ndani ya Serikali kuna makundi yanayofanya wanayoyajua, na kulaumu ufisadi umerudi Awamu ya Sita
Asema mambo ya ovyo hayajafanyika Awamu ya Sita, bali yamefanyika huko nyuma. Asisitiza hatakubali, yeye atasimama na Wananchi
Soma - https://jamii.app/SamiaWananchi

Rais Samia amewakumbusha Viongozi kutoa elimu kwa Wananchi juu ya umuhimu wa kuchanja chanjo ya #COVID19
> Awali, RC Amos Makalla alisema Dar wanaongoza kwa kuwa na watu wengi waliochanja, suala ambalo Rais amelikanusha
Soma https://jamii.app/ElimuChanjo

Rais Samia amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)
> Pia, ameagiza Wizara kuichukulia hatua bodi ya manunuzi kwa kutoa tenda kwa madalali badala ya kampuni iliyosajiliwa
Soma https://jamii.app/TPAMSCL
#JFLeo

#GAMBIA: Wananchi wanapiga kura ktk Uchaguzi wa kihistoria, ambao kwa mara ya kwanza Rais wa zamani, Yahya Jammeh hayumo kwenye kinyang'anyiro hicho
Rais wa sasa, Adama Barrow aliyechaguliwa 2016 ana matumaini ya kushinda muhula wa 2
Soma - https://jamii.app/GambiaElection
#GambiaDecides

#ETHIOPIA: Wizara ya Elimu imetangaza kufungwa kwa Shule zote za Sekondari kwa wiki moja, ili Wanafunzi wasaidie kuvuna Chakula Mashambani
Inakadiriwa zaidi ya Wanafunzi Milioni 1.2 hawapo Shuleni kutokana na mapigano yanayoendelea
Soma - https://jamii.app/SchoolsClosedEth

Watu wa umri wa miaka 15 na kuendelea wanaojiajiri(tafsiri ya kitaifa) kwa shughuli zisizohusika na kilimo wapungua kwa 3.9%
Kwa takwimu za NBS, waliokuwa wanafanya shughuli binafsi zisizo za Kilimo 2014 ni 26.6% ya walioajiriwa, na 2021 ni 22.7%
Soma - https://jamii.app/Kujiajiri2021

TAKWIMU: Vitabu vya Biashara kwa Wanafunzi wa Kidato cha 5 na 6 ni vichache ikilinganishwa na masomo mengine
Mwaka 2021, kulikuwa na vitabu 378 vya Accountancy, 392 Commerce na 4,057 Economics. Shule za Serikali zina vitabu vingi zaidi vya Kemia
Soma - https://jamii.app/VitabuBiashara

SERIKALI: HATUJABAINI KIRUSI CHA OMICRON MPAKA SASA
Yasema Maabara ya Taifa imekuwa ikichunguza mabadiliko ya kirusi kuangalia uwepo wa anuai zinazotokana na mabadiliko ya #COVID19, ikiwemo Omicron
Wananchi wasisitizwa kuchukua tahadhari
Soma https://jamii.app/OmicronTZ

UCHAGUZI GAMBIA: Mamlaka zimemtangaza Rais Adama Barrow kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu, akipata takriban 53% ya Kura huku Mpinzani Ousainou Darboe akipata 28%
Awali, Darboe na Wagombea wengine walisema wasingekubali matokeo ya Uchaguzi
Soma - https://jamii.app/BarrowGambia

INDIA: WANANCHI WACHOMA MAGARI YA JESHI BAADA YA WENZAO KUUAWA KIMAKOSA
Kiongozi wa Jimbo la Nagaland, Neiphiu Rio ameamuru kufanyika uchunguzi wa haraka
Wanajeshi walililenga kwa risasi lori moja na kusababisha vifo vya Watu 6
Soma - https://jamii.app/JeshiLauaRaia
#HumanRights