ZANZIBAR: AAFP YAAHIDI KUWATOLEA MAHARI VIJANA
> Mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya AAFP, Said Soud Said amesema atahakikisha vijana wanaoa na mahari itatolewa na Serikali
> Amesema hatua hiyo itapunguza tabia ya ubakaji
Tazama https://youtu.be/khS5kPLW2AA
#Uchaguzi2020

PROF. LIPUMBA: NITATEUA MA-DC WATAKAOSIMAMIA MAENDELEO YA WANANCHI, SIO WANASIASA
> Endapo atachaguliwa, Mgombea huyo wa Urais kupitia CUF amesema atahakikisha Wakuu wa Wilaya wanapoteuliwa wanakuwa na vigezo vyote vya Utumishi wa Serikali
Soma https://jamii.app/LipumbaUteuziDCs
#TZ2020

JE, SHERIA YA UCHAGUZI INASEMA NINI KUHUSU MGOMBEA KUFARIKI?
> Endapo Msimamizi wa Uchaguzi atajiridhisha kuwa Mgombea amefariki kabla ya muda wa mwisho wa upigaji kura, basi atasitisha Uchaguzi katika Jimbo
Zaidi, soma > https://jamii.app/MgombeaKufariki
#Uchaguzi2020 #TZ2020

DKT. BENHAJJ: ELIMU YA UENDESHAJI WA MASHAURI YA UCHAGUZI ILETE MABADILIKO CHANYA
> Jaji wa Mahakama Kuu amesema, Wananchi wanaamini Mahakamani ni mahali pa kupata #Haki
> Amewaomba Watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia mwongozo wa #Sheria
Soma https://jamii.app/ElimuUchaguzi

DKT. KALEMANI: TANESCO HAKIKISHENI UMEME HAUKATIKI WAKATI WOTE WA UCHAGUZI
> Amewataka Mameneja wa TANESCO kuhakikisha umeme haukatiki
> Amesisitiza zaidi usikatike Oktoba 28, kwasababu wanataka wananchi wapige kura kwa uhuru na uhakika
Soma - https://jamii.app/UmemeUchaguzi

DKT. MAGUFULI: WANAOTAKA MUANDAMANE WAMESHAKATA TIKETI ZA KWENDA ULAYA
> Amesema "Vijana msidanganywe na vitu vya bure vya kuambiwa mjipange barabarani. Usijiangalie wewe tu, mwangalie mdogo/mama yako kama ataweza kukimbia kama wewe"
Soma - https://jamii.app/JPMBagamoyo

CECILIA MWANGA: KATIKA UONGOZI WANGU SITAWAACHA SALAMA WABAKAJI
> Mgombea Urais kupitia Demokrasia Makini amesema, atahakikisha watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wanapewa adhabu kali kwasababu vitendo hivyo vinasababisha mmomonyoko wa Maadili
Soma https://jamii.app/CeciliaKampeniPwani

RAIS MSTAAFU KIKWETE: DKT. MAGUFULI ATASHINDA, SINA WASIWASI
> Amesema, "Utashinda sana na Chama chetu kitashinda na kitaendelea kuongoza Taifa letu"
> Ameeleza kuwa, wananchi wanatambua mengi yaliyofanyika na wataonyesha shukrani Oktoba 28
Soma https://jamii.app/JPMBagamoyo

DKT. MWINYI: NIPO TAYARI KUFANYA KAZI NA WAZANZIBARI WOTE WAKIWEMO DIASPORA
> Mgombea Urais #Zanzibar kupitia CCM amesema analenga kufanya Mapinduzi ya kiuchumi
> Ametoa wito kwa Diaspora walio tayari kurudi nyumbani kufanya hivyo haraka
Soma - https://jamii.app/MwinyiDiasporaZnz

MEMBE: NATAKA KUFUNGA BAO DAKIKA YA 89 KUTOKA BENCHI. WATANZANIA MKAE MACHO
> Mgombea Urais wa JMT kupitia ACT-Wazalendo amesema amejipanga, amefanya kazi na atakuwa na nguvu za kutosha ktk dakika za lala salama ili kujipatia ushindi
Soma https://jamii.app/Membe2020Uchaguzi

MEMBE: #ZANZIBAR WANAHOJI, KWANINI WAPEWE SIKU 2 ZA KUPIGA KURA ILA TANZANIA BARA SIKU 1?
> Amesema zoezi la upigaji kura likifanyika kwa siku 2 linatoa mwanya wa kufanyika figisufigisu na inaweza kuleta fujo kama ilivyotokea #Zimbabwe
Soma https://jamii.app/Membe2020Uchaguzi
#Uchaguzi2020
> Amesema zoezi la upigaji kura likifanyika kwa siku 2 linatoa mwanya wa kufanyika figisufigisu na inaweza kuleta fujo kama ilivyotokea #Zimbabwe
Soma https://jamii.app/Membe2020Uchaguzi
#Uchaguzi2020
QUEEN SENDIGA: NIKICHAGULIWA KUWA RAIS NITAMPA DKT. MAGUFULI UWAZIRI WA UJENZI
> Atafanya hivyo kutokana na jinsi Magufuli alivyoimudu sekta hiyo akiwa Waziri
> Atahakikisha Wagombea waliowania Urais wanapata uongozi ndani ya Serikali yake
Soma https://jamii.app/QueenUwaziriJPM

UNAWEZA KUTUMIA KITAMBULISHO MBADALA IWAPO UMEPOTEZA KADI YAKO YA MPIGA KURA
> Wapiga Kura waliopoteza kadi zao wanaruhusiwa kutumia Pasi za Kusafiria, Kitambulisho cha Taifa au Leseni za Udereva kupiga kura
Soma > https://jamii.app/VitambulishoUchaguzi

MEMBE: MIMI NI MGOMBEA HALALI WA ACT WAZALENDO NA NITAKIPELEKA CHAMA KWENYE UCHAGUZI
> Amesema βNadharia ktk bara la Afrika kwamba vyama vikiungana vinaweza kukiondoa Chama tawala haijawahi kufanikiwa. Ni lazima Chama tawala kipasuke kwanzaβ
Soma https://jamii.app/Membe2020Uchaguzi
#TZ2020
> Amesema βNadharia ktk bara la Afrika kwamba vyama vikiungana vinaweza kukiondoa Chama tawala haijawahi kufanikiwa. Ni lazima Chama tawala kipasuke kwanzaβ
Soma https://jamii.app/Membe2020Uchaguzi
#TZ2020
RAIS WA TAMUFO AWATAKA WASANII KUHAMASISHA AMANI
> Rais wa Umoja wa Wanamuziki Tanzania amesema, Wanamuziki ni watu muhimu ktk kupeleka ujumbe haraka kwa wananchi kupitia nyimbo zao ili wajitokeze kupiga kura na kulinda amani ya nchi
Soma https://jamii.app/WasaniiAmani

DKT. MAGUFULI: WANAOHUBIRI CHUKI HAWAJALI MAISHA YA WANANCHI MASIKINI
> Amesema, wanachotaka ni utajiri wa Tanzania na wapo radhi watu wote wafe ili wachume dhahabu
> Ameeleza kuwa, anapenda kumaliza kipindi chake nchi ikiwa na amani
Soma https://jamii.app/JPMBagamoyo
#Uchaguzi2020
> Amesema, wanachotaka ni utajiri wa Tanzania na wapo radhi watu wote wafe ili wachume dhahabu
> Ameeleza kuwa, anapenda kumaliza kipindi chake nchi ikiwa na amani
Soma https://jamii.app/JPMBagamoyo
#Uchaguzi2020
MAGU: WALIMU WALIOLAWITI WATOTO WATAKIWA KUJISALIMISHA
> Katika Shule ya Msingi Ilungu, Mwalimu mmoja amelawiti watoto kwa miaka 7 na kuwapa ujauzito wanafunzi 3
> Mwalimu mwingine anatuhumiwa kukaa kinyumba na Mwanafunzi wa darasa la 4
Soma https://jamii.app/WalimuWalawitiMagu

KUELEKEA UCHAGUZI 28 OKTOBA 2020: MAMBO YA KUFAHAMU KUHUSU SANDUKU LA KURA
> Sanduku la kura linatakiwa kutengenezwa kwa namna ambayo inamruhusu mpiga kura kuweza kuweka karatasi ya kura bila kuweza kuitoa
Kwa elimu zaidi, soma > https://jamii.app/SandukuKura

#UGANDA: WASAFIRI WAKAMATWA WAKIWA NA VYETI BANDIA VYA #COVID19
> Nchini humo, wasafiri hutakiwa kuwa na vyeti vya kupima #CoronaVirus saa 120 kabla ya safari
> Abiria wanaoingia hutakiwa kuwa na cheti kinachothibitisha wamepimwa ndani ya 72
Soma https://jamii.app/COVID19UGWasafiri

HESLB: ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA MIKOPO BADO HAIJATOKA
> Bodi ya Mikopo imesema mchakato wa uchambuzi wa maombi bado unaendelea na taarifa zinazosambaa mitandaoni zikiwaelekeza waombaji kupakua 'App' ili kuona orodha hiyo sio sahihi
Soma https://jamii.app/OrodhaMikopoHESLB