MAMBOSASA: WANAODAI MSAIDIZI WA MEMBE AMETEKWA NI WAONGO
> Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa, amesema Jerome Luanda ambaye ni Msaidizi wa Mgombea Urais wa JMT, Bernard Membe yuko mikononi mwa Polisi na ni mzima wa afya
Soma https://jamii.app/JeromeHakutekwa
#JFLeo

MAREKANI YAKANA KUHUSIKA NA JASUSI ALIYEKAMATWA VENEZUELA
> Marekani imesema raia wa Marekani, Matthew John Heath hakutumwa na Serikali ya Marekani
> Jasusi huyo anatuhumiwa kupanga kulipua Viwanda vya OPEC na Mifumo ya Umeme ya Venezuela
Soma https://jamii.app/MarekaniYamkanaJasusi

VISIWA VYA BARBADOS VYATANGAZA NIA YA KUMUONDOA MALKIA WA UINGEREZA KAMA KIONGOZI WAO
> Zoezi linatarajiwa kukamilika ktk Kumbukumbu ya Miaka 55 ya Uhuru mnamo Novemba 2021
> Waziri Mkuu amesema raia hao wanataka kuongozwa na kiongozi mzawa
Soma https://jamii.app/BarbadosVsUingereza

PROF. LIPUMBA: TANZANIA INAHITAJI RAIS MCHUMI NA MWENYE HURUMA NA WATANZANIA
> Amesema idadi ya watu masikini imeongezeka kutoka watu Mil. 12.3(2011) mpaka Mil. 14(2018)
> 74% ya Watoto wa Tanzania wanaishi ktk mazingira ya umasikini
Soma https://jamii.app/LipumbaRaisMchumi
#Uchaguzi2020

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
UCHAGUZI 2020: BAADA YA ZANZIBAR, MGOMBEA URAIS WA JMT KUPITIA ADC ATUA JIJINI TANGA
> Queen Sendiga akiwa Pemba aliahidi kuhakikisha wananufaika na zao la karafuu endapo atachaguliwa
> Leo ameanza Kampeni kwenye Masoko Jijini Tanga
Angalia > https://youtu.be/6kzqOIsbNGc

UPDATE: MSAIDIZI WA MEMBE ANASHIKILIWA KWA UTAKATISHAJI FEDHA
> SACP Lazaro Mambosasa amesema Jerome Luanda anahojiwa, na yupo salama
> Kamanda Mambosasa hajataja kituo kinachomshikilia ila amesema anayetaka kuthibitisha aende Polisi
Soma https://jamii.app/JeromeHakutekwa
#JFLeo
> SACP Lazaro Mambosasa amesema Jerome Luanda anahojiwa, na yupo salama
> Kamanda Mambosasa hajataja kituo kinachomshikilia ila amesema anayetaka kuthibitisha aende Polisi
Soma https://jamii.app/JeromeHakutekwa
#JFLeo
AFRIKA KUSINI YALEGEZA MASHARTI, MAAMBUKIZI YA #COVID19 YAPUNGUA
> Kuanzia Septemba 20 amri ya kutotembea usiku itapunguzwa, pombe zitauzwa na mikusanyiko itaruhusiwa
> Sheria za kukaa mbali na uvaaji wa barakoa zitaendelea
Soma https://jamii.app/SARelaxesCurfew
#JFCOVID19_Updates

WASAMBAZAJI WA MAFUTA KASKAZINI WATAKIWA KUNUNUA MAFUTA BANDARI YA TANGA
> EWURA imeamuru hilo ili kuwasaidia wafanyabiashara wanaoshusha mafuta Tanga
> Watakaokaidi watalipa faini isiyopungua milioni 100 au kifungo kisichopungua miaka 10
Soma https://jamii.app/EWURAKaskazini

JE, ILANI YA CHAUMMA INASEMA NINI KUHUSU ELIMU NA MALEZI YA TAIFA?
- Itabadili mitaala kuanzia Elimu ya Msingi hadi Vyuo Vikuu ili kuipa ubora wa hali ya juu
- Itahakikisha mitaala yote nchini ni ile tu yenye manufaa na maana
Soma > https://jamii.app/IlaniCHAUMMA
#Uchaguzi2020 #Siasa

DKT. MAGUFULI: MAENDELEO HAYANA CHAMA LAKINI UNACHAGUA CHAMA NA KIONGOZI KWA MAENDELEO
> Ameyasema hayo alipokuwa Kasulu na ameahidi kujenga lami ili Kigoma iwe kama Ulaya
> Ameongeza kuwa, ametenga Tsh. bilioni 402 za kuiendeleza Kigoma
Soma https://jamii.app/MaendeleoChama
#JFSiasa

JE, ILANI YA CUF INASEMA NINI KUHUSU ELIMU?
- CUF itatumia si chini ya asilimia 25 ya bajeti yake kila mwaka kuboresha Sekta ya Elimu kwa ujumla
- Lishe kwa wanafunzi: Utafiti unaonyesha kuwa watoto wenye njaa hawafundishiki
Soma > https://jamii.app/IlaniCUF
#Uchaguzi2020 #TZ2020

NJOMBE: TAKUKURU YAMSHTAKI RAIA ALIYETOA USHAHIDI WA UONGO
> Inadaiwa, awali Eliezer Lutumo aliieleza TAKUKURU kuwa alitoa Tsh. 10,000 na kumpa Bryson Lupenza
> Alipoitwa Mahakamani mbele ya Hakimu Mkazi, Lutumo alikana maelezo hayo
Soma https://jamii.app/KizimbaniUshahidi

KILIMANJARO: TAKUKURU YAREJESHA TSH. MILIONI 2.6 ZA SHULE
> Aliyekuwa Mkuu wa Shule na Mhasibu walizitumia kwa matumizi yao
> Fedha hizo zilitolewa na wafadhili kwa ajili ya chakula cha mchana kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu
Soma https://jamii.app/PCCBtsh2b

NI KOSA KUBANDIKA PICHA YA MGOMBEA JUU YA PICHA YA MGOMBEA MWINGINE
> Hayo yameainishwa kwenye Maadili ya Uchaguzi ya mwaka 2020
> Pia, kuzidisha muda, kukiuka ratiba ya kampeni na kutoa Lugha ya matusi na kashfa vimezuiwa
Soma https://jamii.app/MaadiliUchaguzi
#TZ2020

DAR: 5 WAHUKUMIWA KUNYONGWA KWA MAUAJI YA DKT. SENGONDO MVUNGI, 1 AACHIWA HURU
> Dkt. Mvungi alivamiwa nyumbani kwake Novemba 3, 2013
> Aliwahi kugombea Urais wa JMT 2005 kupitia NCCR-Mageuzi na alikuwa Mjumbe wa Tume ya Katiba ya Jaji Warioba
Soma https://jamii.app/HukumuWauajiDrMvungi

SINGIDA: MIAKA 30 JELA KWA KUMBAKA MTOTO WAKE
> Hamisi Mtanda (37) amekutwa na hatia ya kumbaka mwanaye wa kike wa kumzaa wa miaka 11
> Katika kujitetea, mshtakiwa alisema mtoto huyo alifanya ngono na mwalimu bila kutaja ni mwalimu yupi
Soma https://jamii.app/BabaAmbakaMwanaye

DIAMOND PLATNUMZ ASHIRIKISHWA KWENYE ALBUM YA ALICIA KEYS
> Alicia Keys ametoa Album mpya inayoitwa 'Alicia' ambapo Msanii kutoka Tanzania, Naseeb Abdul amepata nafasi ya kushirikishwa kwenye wimbo wenye jina Wasted Energy
Soma https://jamii.app/DiamondAliciaKeys
#JFBurudani #Entertainment

❤1
DKT. MAGUFULI ATOA WITO KWA WASIOAMINI MUNGU WAJE KUJIONEA TANZANIA
> Dkt. John Magufuli ametoa wito kwa wasioamini Mungu waje wajionee Mungu alivyoifukuza #CoronaVirus Tanzania
> Pia amesema, hata wale waliobeza awali na kusema watu milioni 4 wangekufa kwa #COVID19, hawana la kusema sasa
Soma https://jamii.app/WitoKuaminiMungu

IGP SIRRO AONGEZEWA MWAKA 1 ZAIDI KUIONGOZA EAPCCO
> Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika wamemtaka IGP Simon Sirro kuendelea kuwa Mwenyekiti wao
> IGP Sirro amesema watahakikisha wanabadilishana uzoefu na kufanya mafunzo ya pamoja
Soma https://jamii.app/IGPSirroEAPCCO

JE, ILANI YA NCCR-MAGEUZI IMEZUNGUMZA NINI KUHUSU AFYA NA USTAWI WA JAMII?
> Itaimarisha afya ya Mama na Mtoto kwa kusogeza Huduma za Afya karibu na makazi ya watu
- Itaongeza mishahara na marupurupu kwa watumishi wa Sekta ya Afya
Soma https://jamii.app/IlaniNCCR