JamiiForums
52.4K subscribers
34.4K photos
2.47K videos
31.4K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
CHADEMA: HATUNA IMANI NA UCHUNGUZI WA POLISI

- Wamesema hawana imani na uchunguzi wa Polisi kuhusiana na tukio la Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe

- Wamesema "Ajitokeze daktari aliyempokea Mbowe na kumpima ulevi na Polisi itoe ushahidi"

Soma https://jamii.app/CDMPolisiMbowe
#JFSiasa
URUSI: WAKUSANYA KURA ZA MAONI KUBADILI KATIBA ILI PUTIN AENDELEE KUWA RAIS

> Mamlaka imefungua vituo vya kupigia kura Juni 25 ili kuepusha mikusanyiko

> Putin ni kiongozi aliyetawala kwa kipindi kirefu zaidi tangu Joseph Stalin

Soma https://jamii.app/UraisUrusi2036
#JFLeo
SERIKALI YAZITAKA SHULE BINAFSI KUTOWEKA ONGEZEKO LA ADA

- Imesema ada zilipwe kulingana na makubaliano yaliyofanyika mwanzoni mwa mwaka wa masomo

- Wazazi wametakiwa kuzingatia kuwa ada hukadiriwa kwa kuzingatia gharama za uendeshaji wa shule

Soma https://jamii.app/AdaShuleBinafsi
#JFElimu
KIGOMA: POLISI JAMII MBARONI KWA KUPOKEA RUSHWA YA TSH 40,000

> TAKUKURU imemfikisha Mahakamani Mandela Batromeo (36) kwa tuhuma za kuomba Tsh. 300,000 na kupokea Tsh. 40,000

> Aliomba hela hiyo ili kufuta kesi ambayo mlalamikaji aliifungua

Soma https://jamii.app/KigomaPolisiJamii
#JFLeo
DODOMA: TAKUKURU WAMRUDISHIA MILIONI 10 MSTAAFU ALIYEDHULUMIWA

> Frida Nahamani (62) alikopa Tsh. Milioni 15, Swahili Trust Microfinance na kuacha kadi yake ya Benki

> Uchunguzi ulionesha Taasisi hiyo ilizidisha Tsh. Milioni 10 katika marejesho

Soma https://jamii.app/Milioni10Mstaafu
#JFLeo
TANGA: MENEJA WA BANDARI YA KIPUMBWI MBARONI KWA KUOMBA RUSHWA

- TAKUKURU inamshikilia Meneja wa Bandari ya Kipumbwi, Stephen Elly Mbakweni kwa kuomba na kushawishi Hongo ya Tsh. 900,000 kutoka kwa mteja wake ili aweze kumruhusu kusafirisha mzigo

Soma https://jamii.app/MenejaKipumbwi
MATAIFA 40 YAICHANGIA SUDAN DOLA BILIONI 1.8

- Mataifa hayo yameahidi mchango wa Dola Bilioni 1.8 ikiwemo Dola Milioni 400 kutoka Benki ya Dunia kuisaidia Sudan inayoandamwa na hali mbaya ya uchumi, tangu kung'olewa madarakani Rais Omar al-Bashir

Soma https://jamii.app/SudanDolaBilioni
#JFSiasa
WAKILI TEMBA AUNGANISHWA KWENYE UPOTEVU WA BILIONI 8 TPA

> Aliyekuwa Meneja wa TPA, Japhet Jiroro na Wakili Arnold Temba wamejumuishwa katika sakata la wizi wa Tsh. Bilioni 8

> Pia, Tsh. Milioni 10 itatolewa kwa mwenye taarifa za Chrispine Iranque

Soma https://jamii.app/Bil8TAKUKURU
#JFLeo
MWANACHAMA WA 30 WA CCM ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS ZANZIBAR

- Kada wa CCM, Mussa Aboud Jumbe amechukua fomu kuwania kuteuliwa kugombe Urais wa Zanzibar kupitia CCM Oktoba 2020

- Mussa Aboud Jumbe ni mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Aboud Jumbe

Soma https://jamii.app/MussaJumbeZNZ
#Uchaguzi2020
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
IRINGA: MADEREVA WA MABASI WALIOKUWA WANAKIMBIZANA WACHUKULIWA HATUA

> Kamanda Muslimu amesema Sheria inamruhusu kuwaondolea sifa ya kuendesha magari ya mizigo na biashara kwa miezi 6

> Aidha, amesema wanamtafuta mtu aliyekuwa anahamasisha

Soma https://jamii.app/MaderevaWamebeti
#COVID19 KENYA: MAAMBUKIZI YAFIKIA 5,533

> Kenya imetangaza maambukizi mapya 149 ya #COVID19 na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 5,533

> Watu 48 zaidi wamepona na idadi ya jumla imefikia 1,905. Waliofariki wamefikia 137

Soma https://jamii.app/COVID19KE5533
#JFCOVID19_Updates
WATU KUTOKA NCHI 11 ZA AFRIKA WANATARAJIA KURUHUSIWA KUINGIA ULAYA KUANZIA JULAI

- Orodha ya awali inadaiwa kuonesha raia wa Msumbiji, Angola, Namibia, Ethiopia, Zambia, Rwanda, Uganda, Misri, Tunisia, Algeria na Morocco wataruhusiwa kuingia nchi za EU

Soma https://jamii.app/Nchi11Afrika-EU
MAKUNDI MANNE YA DAWA ZA KULEVYA NA MADHARA YAKE

> #DawaZaKulevya zipo katika makundi 4 ambayo ni Vipumbaza, Vichangamsho, Vileta njozi na Viyeyushi

> Dawa hizi huleta uraibu (Utegemezi), kuharibu mfumo wa fahamu na utendaji kazi wa Ubongo

Soma https://jamii.app/DawaKulevya2020
#JFLeo
DAR: POLISI WAUA WATUHUMIWA 2 WA UJAMBAZI NA KUKAMATA BASTOLA 2

> Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar limewaua watuhumiwa hao katika matukio mawili tofauti

> Matukio yote yalihusisha watuhumiwa kuanza kurusha risasi kwa Polisi

Soma https://jamii.app/PolisiDarSilaha
JENISTA MHAGAMA: UINGIZAJI WA DAWA ZA KULEVYA UMEPUNGUA KWA 90%

> Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 73,920 tangu 2015 hadi Juni 2020

> Waziri huyo ameitaka jamii kuendeleza ushirikiano kupiga vita biashara hii

Soma https://jamii.app/DawaZaKulevya90
#JFLeo
FACEBOOK YAPOTEZA MTEJA WAKE MKUBWA WA MATANGAZO

> Kampuni ya Unilever imeacha kutumia hela kutangaza bidhaa zake Facebook na Instagram

> Ilifikia uamuzi huo baada ya Facebook kutochukua hatua dhidi ya maudhui ya chuki ya Rais Trump

Soma https://jamii.app/FBAdsCustomer
NEC: TUNASUBIRI TANGAZO LA KUVUNJWA BUNGE TUTANGAZE TAREHE YA UCHAGUZI

- Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC) imesema inasubiri tangazo kwenye gazeti la Serikali la kuvunjwa kwa Bunge ili iweze kuweka tarehe rasmi ya Uchaguzi Mkuu

Soma https://jamii.app/NECBungeUchaguzi
#Uchaguzi2020
LINDI: WANNE MBARONI KWA TUHUMA ZA RUSHWA KATIKA KUWANIA UBUNGE

> Mtia nia ya Ubunge, Ally Chinumba na wenzake 4 wanashikiliwa na TAKUKURU

> Ally alikutwa na Tsh. 841,000 na bahasha zilizohisiwa kuandaliwa kuweka hela za kuwapa Wajumbe wa CCM

Soma https://jamii.app/UbungeRushwa2020
MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAKULIMA (AAFP) ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS ZANZIBAR

- Said Soud amechukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea Urais #Zanzibar kupitia chama hicho

- Amesema akipata ridhaa atazingatia amani, utulivu na maendeleo ya Zanzibar

Soma https://jamii.app/SaidAAFP-ZNZ
#Uchaguzi2020
MALAWI: MUTHARIKA AWATAKA WAFUASI WAKE KUPUUZA MATOKEO YA AWALI

> Matokeo ya awali ya Uchaguzi wa pili uliofanyika yameonesha Lazarus Chakwera anaongoza kwa kupata kura 59%

> Rais Mutharika awaambia wafuasi wake kusubiri matokeo ya jumla

Soma https://jamii.app/UchaguziMalawi2020