MUHEZA: KIJANA AUAWA KWA KUKATWA NA JEMBE SHINGONI
> Kijana aliyekuwa akifanya kibarua cha kulima, Fadhili Rashidi (35), ameuawa kwa kukatwa na jembe shingoni usiku wa kuamkia jana katika Kitongoji cha Mgombezi
> Mtuhumiwa wa mauaji hayo ni Joseph Lukas, ambaye waligombana kwa kudaiana Tsh. 20,000
Soma - https://jamii.app/MauajiKijanaShambani

UGANDA: ZAIDI YA WATU 30 WAHOFIWA KUFARIKI KATIKA MATOPE
> Zaidi ya watu 30 wa Wilaya ya Bududa wanahofiwa kufariki kutokana na kufukiwa na matope yaliyosababishwa na mafuriko kufuatia mvua kali ya saa 5 mfululizo
> Yamesababisha Barabara nyingi kujaa maji jambo lililosababisha harakati za uokoaji kuwa ngumu
Soma - https://jamii.app/DeadFreshMudslides

CHADEMA WASHTUSHWA NA SUMAYE KUTUMIA NEMBO YA TAIFA
- Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje (CHADEMA), John Mrema amesema kuwa ameshtushwa kuona barua yenye Nembo ya Taifa inatumika kuitisha mkutano wa kiongozi wao
Zaidi, soma > https://jamii.app/SumayeVsCDM
#JFLeo

FREDRICK SUMAYE AJIONDOA CHADEMA
- Amesema ni baada ya kutafakari kwa kina na kuona wakubwa wamewashawishi watu wa Kanda ya Pwani kumpigia kura ya Hapana
- Amesema hajiungi na chama chohote ila yupo tayari kutoa ushauri kwa chama chochote hata CHADEMA akihitajika
Soma > https://jamii.app/SumayeVsChadema

HOJA: BEI ZA VYAKULA KWA WASAFIRI WA MABASI IANGALIWE NA MAMLAKA HUSIKA
> Mdau wa JamiiForums.com anasema bei ya chakula kwenye hoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri haiendani na huduma wanayopewa
> Anasema, Kiuhalisia sahani ya wali nyama ni 1500 - 2000 lakini kwenye hiyo migahawa wali nyama wanauza 5000 - 6000. Mbaya zaidi wahudumu wana nyodo/dharau
> Anauliza, Kwanini mamlaka hazidhibiti hili suala?
Kwa mjadala zaidi, tembelea - https://jamii.app/GharamaChakulaWasafiri
#JFHoja

UMOJA WA NATO KUFANYA MKUTANO ILI KUWEKA SAWA TOFAUTI ZINAZOJITOKEZA
> Viongozi mbalimbali kutoka Mataifa yanayounda Jeshi la pamoja la kujilinda (NATO) wameonekana kutofautiana kuhusu majukumu yao katika Jeshi hilo hasa kuhusu operesheni za kiusalama dhidi ya makundi ya kigaidi kama Islamic State
Soma - https://jamii.app/NATOLondonSummit

KENYA: JIJI LA NAIROBI LAKUMBWA NA MAFURIKO NA KUSABABISHA KERO KWA WATUMIAJI WA BARABARA
> Huduma za Usafiri wa Treni maarufu SGR zimelazimika kusitishwa kufuatia kujaa kwa maji katika vituo vyake vya Makadara na Daima
Zaidi, soma > https://jamii.app/NairobiFloods
#NairobiFloods

BRAZIL: MAMA AMUUA MTOTO WAKE KWA KUJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA
> Tatiana Pereira amehukumiwa jela miaka 25 na miezi 8 kwa kumuua makusudi mwanae wa kiume aitwaye Lozano (17) kutokana na kutopendezwa na tabia yake ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Soma - https://jamii.app/MomKillsSonSexuality

NJIA ZA KUONDOA SUMU MBALIMBALI MWILINI
> Fanya moja ya mlo wako kwa siku uwe ni matunda pekee bila kuchanganya na chakula kingine
> Kunywa maji mengi kila siku bila angalau glasi 8 mpaka 10 kila siku ili kusafisha damu na mwili kwa ujumla kila siku
> Namna nyingine rahisi ya kuondoa au kupunguza sumu mwilini ni kufunga kula kabisa kutwa nzima
> Pata usingizi wa kutosha kila siku angalau kwa kulala masaa 7 mpaka 8 kwa siku
Fahamu zaidi - https://jamii.app/KuondoaSumuMwilini
#JFAfya

UN: IDADI YA WATU WANAOHITAJI MSAADA DUNIANI YAONGEZEKA
> Umoja wa Mataifa umesema mtu 1 kati ya watu 45 duniani ambao ni sawa na milioni 168, watahitaji msaada wa kibinadamu ifikapo mwaka 2020
> Nchi zilizo na hali mbaya zaidi ni Yemen, Syria, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Somalia, Sudan Kusini na Sudan
Soma - https://jamii.app/OngezekoWahitajiMsaada

JamiiForums
Photo
TAHADHARI: UWEZEKANO WA KUTOKEA VIMBUNGA PACHA BAHARI YA HINDI
> TMA inatoa taarifa ya uwezekano wa kutokea kwa vimbunga pacha magharibi mwa Bahari ya Hindi upande wa kaskazini na kusini mwa Ikweta na hivyo kuwa na uwezekano wa kuathiri mifumo ya hali ya hewa nchini
> Migandamizo hiyo midogo pacha inaelekea kuimarika na kuwa vimbunga katika Pwani ya Somalia (Upande wa Kaskazini mwa Ikweta ) na Kaskazini Mashariki mwa Kisiwa cha Madagascar (Kusini mwa Ikweta)
> Aidha, mgandamizo mdogo wa hewa uliopo kusini magharibi mwa bahari ya Hindi (karibu na kisiwa cha Madagascar) unatarajiwa kuimarika na kuelekea kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar, na hivyo unatarajiwa kusababisha ongezeko la mvua pamoja na vipindi vya mvua kubwa hususan katika baadhi ya maeneo ya Pwani ya Kaskazini ya nchi yetu kati ya terehe 5 na 6 Disemba 2019
> Mamlaka imeendelea kutoa tahadhari ya vipindi vifupi vya mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es salaam na Pwani na angalizo la mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba, Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe na Ruvuma
> Kwa upande mwingine, mgandamizo mdogo wa hewa katika pwani ya Somalia unatarajiwa kuendelea kuwa mbali na pwani ya Tanzania na hautarajiwi kuwa na madhara katika nchi yetu
#weatheralert

AZAKI KUISHTAKI TANZANIA KWA KUTAKA KUJITOA KWENYE ITIFAKI YA MAHAKAMA YA AFRIKA
> Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wanatafakari kuishtaki Tanzania katika Kamisheni ya Umoja wa Afrika kwa kutaka kujitoa kwenye itifaki ya Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika
> Wasema jambo hilo litasababisha gharama kubwa kwa wananchi kupeleka kesi zao Tume ya Haki za Binadamu ya Afrika nchini Gambia
Soma - https://jamii.app/AZAKIKesiTZMahakamaAfrika

UGANDA: MLINZI AMPIGA RISASI MWANAFUNZI WA CHUO CHA KAMPALA
> Polisi nchini Uganda wanachunguza tukio la Mlinzi wa Usalama kumpiga Risasi Isaac Katagwa (mwaka 3) kutoka Chuo Kikuu cha Kampala, Tawi la Jinja
> Isaac alipigwa risasi mgongoni na kupoteza maisha papo hapo usiku wa Jumatano
Soma - https://jamii.app/MlinziAuaRisasiMwnfz

MVUA, MAFURIKO NA MAPOROMOKO ZAATHIRI WATU MILIONI 3 AFRIKA MASHARIKI
> Watu milioni 3 Afrika Mashariki wameathiriwa na mvua, mafuriko na maporomoko ya matope huku zaidi ya 200 wakifariki tangu kuanza kwa msimu wa mvua hizo
> Mvua hizo zinasababishwa na viwango vya juu vya joto katika Bahari ya Hindi na kupanda kwa digrii 2 Celsius
Soma - https://jamii.app/FloodsDisasterEAC

HUKUMU YA JAMAL MALINZI KUTOLEWA LEO
> Mahakama ya Kisutu inatarajia kutoa Hukumu ktk kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa TFF, Jamal Malinzi na wenzake 4
> Wanakabiliwa na mashtaka ya kula njama, kughushi, kujipatia fedha kidanganyifu na utakatishaji fedha
Soma - https://jamii.app/HukumuMalinziKisutuDec5

NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA 1 ZATOKA, MIKOA 13 YAFAULISHA WANAFUNZI WOTE
> Wanafunzi 701,038 (92.27%) waliofaulu Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2019 wamechaguliwa kuendelea na Kidato cha 1
> Wanafunzi 58,699 wamekosa nafasi kutokana na uhaba wa madarasa
Soma - https://jamii.app/MajinaUfauluKidato1

USHAURI: MISAFARA YA VIONGOZI INACHOSHA, INATESA. IGP PELEKA WATU SWEDEN WAKAJIFUNZE
- Mdau wa JamiiForums anasema akiwa njia ya Bagamoyo eneo la Mbezi Tangi Bovu, walisimamishwa karibu dakika 30 kupisha msafara wa Kiongozi fulani
Zaidi, soma > https://jamii.app/MisafaraViongozi

USHAURI WA KANUNI BORA ZA KILIMO CHA MIGOMBA
> Kiasi cha chini cha mvua kifaacho ni 100mm kwa mwezi au 1200mm kwa mwaka. Mwinuko ni kutoka usawa wa bahari hadi mita 1800 juu ya usawa wa bahari. Kiasi cha joto ni nyuzi joto za 25'C hadi 30'C
> Machipukizi mazuri yanayofaa kwa mbegu ni yale yenye majani membamba, Mgomba (shina) wenye afya nzuri na Mgomba wenye sifa ya kuzaa mikungu mikubwa
-
Wakati unaofaa kupanda machipukizi ni mwanzoni mwa msimu wa mvua
Fahamu zaidi - https://jamii.app/KilimoMigombaNdizi
#JFKilimo

MABORESHO YA BIMA YA AFYA KUJUMUISHA MAGONJWA YENYE GHARAMA KUBWA
> Wizara ya Afya kwa kushirikiana na NHIF inaendelea kuboresha vifurushi vya bima kwa kuweka magonjwa yenye gharama kubwa kama Moyo, Figo, Saratani, Kisukari na mengineyo
> Aidha, huduma ya uzazi itaendelea kuboreshwa kwa kupunguzwa muda wa kusubiri matumizi
Soma - https://jamii.app/MaboreshoMagonjwaBima