ASASI ZA KIRAIA ZAIKUMBUSHA SERIKALI KUHUSU UTEKELEZAJI WA KATIBA MPYA
> Asasi za Kiraia nchini, zimeikumbusha Serikali kutimiza ahadi yake ya upatikanaji wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano, kabla ya mwaka 2021
> Tanzania ilikubali kufanyia kazi mapendekezo 133 ya haki za binadamu ikiwemo Katiba Mpya, mbele ya mkutano wa nchi mwanachama wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2016
Soma - https://jamii.app/AZAKIKatibaMpya

MKURUGENZI AJENGA UKUMBI WA SHEREHE SHULENI, APEWA SAA 4 KUSITISHA UJENZI
> Waziri Mkuu ametoa muda wa saa 4 kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa awe ameandika barua ya kusitisha ujenzi wa ukumbi wa mikutano na sherehe katika eneo la shule ya msingi Gangilonga
> Amesema maeneo yote ya taasisi za elimu nchini hayaruhusiwi kujengwa miradi ambayo haihusiani na masuala ya elimu
Soma - https://jamii.app/UkumbiShereheShuleni

SERIKALI YAKIPA KIWANDA CHA DANGOTE SIKU 7
- Kimepewa muda huo kuwasilisha taarifa ya utendaji wake katika Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)
- Waziri wa Uwekezaji, Angellah Kairuki amesema taarifa hizo hazijawasilishwa kwa miaka mitatu
Zaidi, soma https://jamii.app/SerikaliDangoteSiku7

MLIMA KILIMANJARO: MTALII AFARIKI BAADA YA PARACHUTI KUGOMA KUFUNGUKA
- Raia wa Canada, Justin Kyllo (51), amefariki baada ya parachuti alilokuwa akitumia kuruka kutoka kilele cha Mlima Kilimanjaro Mkoani Kilimanjaro kugoma kufunguka
Zaidi, soma https://jamii.app/MtaliiAfarikiKLM

MAREKANI YAWATAHADHARISHA RAIA WAKE WANAOTAKA KUJA TANZANIA
- Yadai kuna ongezeko la Uhalifu, tishio la Ugaidi na sintofahamu ktk Masuala ya Afya
- Yadai unyanyasaji wa kijinsia & uporaji ni kawaida na Polisi wanaweza kukosa rasilimali za kupambana
Zaidi, soma https://jamii.app/USTravelAdvisory-TZ

BUTIKU: TANZANIA SIO YA VYAMA BALI YA WATANZANIA, TUFUATE MISINGI YA KATIBA
-
Joseph Butiku, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwl. Nyerere, amevitaka vyama vya siasa kufuata misingi ya Katiba ili kuirudisha nchi kwenye mstari ulionyooka
> Amesema Taifa limetetereka katika kutumia Katiba na Sheria na ndio maana tulipojitahidi kurekebishika ilikua ngumu
Soma - https://jamii.app/ButikuKatibaSheria

YEMEN: WAASI WA HOUTHI WADAI KUWAKAMATA WANAJESHI WA SAUDI ARABIA
- Wanadai wamekamata Wanajeshi hao baada ya shambulio kubwa karibu na mpaka kati ya mataifa hayo
- Wamesema wote waliokamatwa wataoneshwa hadharani leo katika chaneli yao
Zaidi, soma https://jamii.app/WahouthiWanajesgiSaudia

TABORA: ABIRIA WABAINI GARI KUWA NA KUNGUNI, WAGOMA KUSAFIRI
- Abiria waliokuwa wakisafiri na basi la Arizona kutoka Kigoma kwenda Dar, wamegoma kuendelea na safari baada ya kufika Tabora na kubaini uwepo wa Kunguni katika viti vya basi hilo
Zaidi, soma https://jamii.app/KunguniBasiArizona

ITALIA: MBARONI AKIDAIWA KUTUMIA BANGI KAMA KIUNGO CHA CHAKULA
- Mpishi wa hotelini, Carmelo Chiaramonte amekamatwa na Polisi baada ya kukutwa na bangi nyumbani kwake
- Amekutwa na mvinyo uliochanganywa na bangi, zaituni, kahawa, na samaki
Zaidi, soma https://jamii.app/MpishiMbaroniBangi

CHINA YAGUNDUA ENEO LENYE TANI BILIONI 1 ZA MAFUTA
> Shirika la Mafuta la China (CNPC) limefanya utafiti na kugundua hifadhi mpya ya gesi na mafuta yenye tani bilioni 1 za mafuta katika eneo la Kaskazini Magharibi mwa China
> Jumla ya tani 640,000 za mafuta zinatarajiwa kuzalishwa ktk eneo hilo kwa mwaka huu, na litafikia tani milioni 3 kwa mwaka siku zijazo
Soma - https://jamii.app/DiscoverOilDeposit

RAIS MAGUFULI KUPOKEA TAARIFA YA WAHUJUMU UCHUMI KUOMBA MSAMAHA
> Leo, Rais John Magufuli anatarajiwa kupokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa wa kuwasamehe watuhumiwa wa Uhujumu Uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha na mali walizotafuna
> Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP) ndiye atakayewasilisha taarifa hiyo
Soma - https://jamii.app/RipotiMsamahaWahujumu

UGANDA YAZINDUA KIPIMO CHA KUPIMA UKIMWI KWA MDOMO
> Kifaa hicho kimetengenezwa na ‘Orasure Technologies’ mahususi kwa vijana kuanzia miaka 18 hadi 24 na wafanyabiashara ya ngono
> Hakihusishi damu wakati wa upimaji bali kinahitaji mate ambayo kama mtu ameathirika na VVU yanakuwa na tishu ambazo kifaa cha kupimia kitazisoma
Soma - https://jamii.app/NewHIVTestKit

KENYA: TAKRIBANI WATU 3 WASADIKIWA KUFARIKI BAADA YA GARI KUZAMA BAHARINI
> Watu hao akiwemo mtoto mdogo wanasadikiwa kufariki baada ya gari walilokuwemo kuteleza kwa nyuma kutoka kwenye kivuko na kuzama majini Jumapili jioni katika eneo la Mombasa
> Shughuli za uokoaji zinaendelea
Soma - https://jamii.app/CarSlidoffFerry

SAUDI ARABIA: KITUO CHA TRENI YA MWENDOKASI CHA AL-HARAMAIN CHAUNGUA MOTO
> Kituo hicho kinaunganisha Miji Mitakatifu ya Mecca na Medina pamoja na mji wa Jeddah kwenye Bahari ya Shamu
> Takriban watu 5 wamejeruhiwa ktk ajali hiyo na Serikali imesitisha safari za Treni mpaka taarifa zaidi zitakapotolewa
Soma - https://jamii.app/FireBreaksoutAl-Haramain

UPDATE: AJALI YA GARI KUZAMA BAHARINI KUTOKA KWENYE KIVUKO
- Mariam Kigenda(35) na mwanae(4) wamefariki baada ya gari lao kuteleza kutoka kwenye kivuko na kuzama baharini katika Feri ya Likoni
- Walikuwa ndani ya gari hilo wakati wakivuka bahari kwa kutumia kivuko cha MV Harambee
Zaidi, soma https://jamii.app/CarSlidoffFerry

IRINGA: VIONGOZI WA KAMATI YA MAJI KUWEKWA RUMANDE KWA UBADHIRIFU
> Waziri Mkuu ameagiza kukamatwa na kuwekwa ndani Viongozi wa Kamati ya Watumiaji Maji wa Mradi wa Matunguru Tungamalenga kwa tuhuma za ubadhirifu wa Tsh. milioni 7
> Ni baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi
Soma - https://jamii.app/KamatiMajiUbadhirifu

NAMNA YA KUPANGILIA MFUMO WA ULAJI BORA KWA AFYA THABITI
> Mlo kamili hutokana na kuchanganya angalau chakula kimoja kutoka katika kila kundi la vyakula na viliwe kwa kiasi cha kutosha
> Ulaji wa mbogamboga na matunda husaidia kuimarisha mfumo wa kinga mwilini na kujikinga na maradhi mbalimbali
> Epuka vyakula vyenye mafuta mengi kwani husababisha madhara kama vile unene kupita kiasi, magonjwa ya moyo, kisukari na shinikizo la damu
Zaidi, soma - https://jamii.app/AfyaUlajiBora
#JFAfya

CHINA: MOTO WALIPUKA KWENYE KIWANDA NA KUUA WATU 19 NA KUJERUHI WENGINE 9
> Moto ulilipuka kwenye kiwanda kimoja kilichopo Mashariki mwa nchi ya China katika Jimbo la Ninghai
> Majeruhi wamekimbizwa Hospitali kwa ajili ya matibabu na uangalizi
Soma > https://jamii.app/MotoKiwandaChina