JamiiForums
52.8K subscribers
34.3K photos
2.43K videos
31.3K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
MBEYA: MBARONI KWA KUKUTWA NA LAINI 141 ZA SIMU

- Ally Mwakila (32), amekutwa na laini za Halotel 13, laini za Tigo 29, laini moja ya TTCL, laini 78 za VodaCom na laini 20 za Airtel

- Pia, alikutwa na simu ya Itel (3), Oking (1) na Hotwave (1)

Zaidi, soma https://jamii.app/MbaroniLaini141Simu
UNASHAURIWA KUZINGATIA HAYA KATIKA KUFANYA SHUGHULI ZA KILIMO

> Mtoa mada ndani ya JamiiForums anasema ni vizuri sana kujua vipimo halisi vya shamba lako katika vipimo vya mita na si miguu kama wengi walivyozoea kufanya

> Jali kilimo kama ajira au kazi zingine. Usifanye kilimk baada ya kushindwa kazi zingine hapa duniani au kwa ajili ya kujiburudisha tu

> Epuka kufanya kilimo cha simu. Hata kama unaishi mbali ni vizuri kwenda shambani kwako mara kwa mara hasa kwenye hatua muhimu za upandaji na sio kusubiri siku ya kuvuna

> Epuka kilimo cha kutegemea mvua tu. Mazao mengi au karibu yote, yana uhitaji maalumu wa kiwango cha maji hivyo tumia umwagiliaji pia

Tembelea - https://jamii.app/ZingatioKilimo

#JFKilimo
JACOB ZUMA: TUHUMA ZA RUSHWA DHIDI YANGU NI NJAMA ZA KUNIMALIZA KISIASA

- Amesema madai ya ufisadi ni njama ambayo imekuwepo kwa muda mrefu ili kumuharibia jina

- Amedai mpango huo umetekelezwa na wasimamizi wa chama chake cha ANC

Zaidi, soma https://jamii.app/ZumaAkanaUfisadi
TETESI ZA SOKA: Inadaiwa kuwa Manchester United imekubaliwa kumnunua Mchezaji wa Leicester City, Harry Maguire kwa ada ya Paundi Milioni 80 (Tsh. 230,542,519,200)

Iwapo Maguire ambaye pia anawaniwa kwa karibu na Manchester City atajiunga rasmi na Man. Utd kwa ada ya kiasi hicho basi akuwa ndiye beki ghali zaidi dunia katika historia ya soka
WALIOUA WATANZANIA 9 MPAKANI MWA MSUMBIJI WAKAMATWA

> Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amesema, watu 5 wanaoshukiwa kuhusika katika tukio la mauaji ya Watanzania 9 wamekamatwa na mmoja kati yao amefariki

> IGP Sirro amesema mpango wa utekelezaji wa tukio hilo ulifanyika Tanzania, huku utekelezaji wake ukifanyika Msumbiji

Soma - https://jamii.app/WahusikaMauajiWatz9
Vacancy: Content Production Manager (1) needed at JamiiForums

Deadline for Applications: 27.07.2019

Responsibilities, Qualifications and Mode of Application >> jamii.app/JFVacancyCPM
Vacancy: Content Monitoring and Evaluation Manager (1) needed at JamiiForums

Deadline for Applications: 27.07.2019

Responsibilities, Qualifications and Mode of Application >> jamii.app/JFVacancyCMEM
Vacancy: Content Manager/Moderator (6) needed at JamiiForums

Deadline for Applications: 27.07.2019

Responsibilities, Qualifications and Mode of Application >> jamii.app/JFVacancyCMMOD
Vacancies: Social Media Engagers (4) needed at JamiiForums

Deadline for Applications: 27.07.2019

Responsibilities, Qualifications and Mode of Application >> jamii.app/JFVacancySME
Vacancy: Administrative Assistant (1) needed at JamiiForums

Deadline for Applications: 27.07.2019

Responsibilities, Qualifications and Mode of Application >> jamii.app/JFVacancyAA
Vacancies: Interns (4) needed at JamiiForums

Deadline for Applications: 27.07.2019

Responsibilities, Qualifications and Mode of Application >> jamii.app/JFVacancyIntern
Vacancies: Transcribers (2) needed at JamiiForums

Deadline for Applications: 27.07.2019

Responsibilities, Qualifications and Mode of Application >> jamii.app/JFVacancyTrscrb
Vacancies: Field Reseach Assistants (4) needed at JamiiForums

Deadline for Applications: 27.07.2019

Responsibilities, Qualifications and Mode of Application >> jamii.app/JFVacancyFRA
UTEUZI: WAKURUGENZI WATENDAJI WA MAMLAKA ZA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA

- Waziri wa Maji, Professa Makame Mbarawa amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira wa Tabora, Kahama na Bukoba

Zaidi, soma https://jamii.app/UteuziMamlakaMajisafi
TANZANIA YATAKIWA KUWALIPA FIDIA FAMILIA ZA WAFUNGWA 10 WA KENYA

> Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu imeiamuru Serikali ya Tanzania kuzilipa fidia familia za raia 10 wa Kenya waliohukumiwa kifungo nchini hapa

> Ni kutokana na kesi yao kuendeshwa kwa muda mrefu tofauti na ilivyotakiwa na haki zao kukiukwa

Soma - https://jamii.app/TzFidiaWafungwaKE
Vacancies: Content Quality Controllers (2) needed at JamiiForums

Deadline for Applications: 27.07.2019

Responsibilities, Qualifications and Mode of Application >> jamii.app/JFVacancyCQC
VYUO VILIVYOKUWA VIMEFUNGIWA KUDAHILI VYAPEWA RUHUSA YA KUDAHILI

> Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, imesema vyuo hivyo vimeruhusiwa kufanya udahili baada ya kukidhi vigezo vilivyotakiwa

> Ni Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU),  Chuo kikuu kishiriki cha Marian cha Bagamoyo, Chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala (KIU) na Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo (AMUKTA)

Soma - https://jamii.app/RuhusaUdahiliVyuo
TETESI ZA SOKA: JE, SAMATTA KUTIMKIA UTURUKI?

- Mwandishi wa SkySports, Kaveh Solhekol amedai Maafisa wa klabu ya Galatasaray wapo Ubelgiji kufanya majadiliano na klabu ya Genk ili kumsajili Mbwana Samatta

- Inadaiwa anaweza kununuliwa kwa Tsh. 28,651,500,000
WIZARA YA UJENZI YAPEWA SIKU 7 KUSAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA

> Rais Magufuli ameipa Wizara na Wakala wa Barabara Tanzania muda wa wiki moja kuanzia Julai 15 kutia saini makubaliano ya mkataba wa ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi lenye urefu wa Km 3.2

> Daraja hilo litagharimu zaidi ya Tsh bilioni 700 na litaunganisha Wilaya za Misungwi na Sengerema

Soma - https://jamii.app/UjenziDarajaZiwaVictoria
MSEKWA: MALALAMIKO YA KINANA NA MAKAMBA KUPELEKWA NGAZI YA JUU

- Katibu wa Baraza la Ushauri la viongozi Wastaafu wa CCM , Pius Msekwa amesema malalamiko ya Wazee hao kuhusu Cyprian Musiba yatafika hadi kwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Magufuli

Zaidi, soma https://jamii.app/MalalamikoKinanaMakamba
WASANII IRENE UWOYA NA STEVE NYERERE WAITWA BASATA

- BASATA imewataka Wasanii hao kufika katika ofisi za Baraza hilo siku ya kesho, Julai 17 kufuatia kitendo chao cha kuwarushia fedha Waandishi wa Habari wakati wa Kikao jana Julai 15

Zaidi, soma https://jamii.app/UwoyaSteveBasata