Wadau wa JamiiForums.com kutoka Bagamoyo na Chang'ombe wakerwa na namna ya utoaji huduma kwenye Ofisi za NIDA.
Mdau, changamoto gani ulipata kwenye kufuatilia kitambulisho cha NIDA?
Zaidi https://jamii.app/NIDABagamoyo
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #JFHuduma
Mdau, changamoto gani ulipata kwenye kufuatilia kitambulisho cha NIDA?
Zaidi https://jamii.app/NIDABagamoyo
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #JFHuduma
Ulipofuata maelekezo ya mapishi yanayoelekezwa mitandaoni ulifurahia chakula hicho?
Zaidi https://jamii.app/VideoMapishiMtandaoni
#JamiiForums #Maisha #JFMapishi
Zaidi https://jamii.app/VideoMapishiMtandaoni
#JamiiForums #Maisha #JFMapishi
NJOMBE: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Serikali kuingilia kati kuinua bei ya soko la parachichi kwani imekuwa chini kiasi cha kumtia hasara Mkulima kulingana na gharama anazotumia shambani.
Mdau, Serikali ifanye nini kuboresha soko la mazao kunufaisha Wakulima badala ya Watu wa Kati?
Zaidi https://jamii.app/KilimoParachichi
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau, Serikali ifanye nini kuboresha soko la mazao kunufaisha Wakulima badala ya Watu wa Kati?
Zaidi https://jamii.app/KilimoParachichi
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau anasema Filamu ya 'Polygamist' imeikumbushia jamii kuwa UKIMWI bado upo na magonjwa ya zinaa.
Wewe umejifunza nini baada ya kutazama filamu hii?
Soma https://jamii.app/ThePolygamistSomo
#JamiForums #JFEntertainment #JFLifestyle
Wewe umejifunza nini baada ya kutazama filamu hii?
Soma https://jamii.app/ThePolygamistSomo
#JamiForums #JFEntertainment #JFLifestyle
❤3
Juni 20, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com wakati huu📌
Fuatilia zaidi https://jamii.app/SkhMwaipopoMnmn77
#JamiiForums
Fuatilia zaidi https://jamii.app/SkhMwaipopoMnmn77
#JamiiForums
❤1
Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa mamlaka husika kuimarisha udhibiti wa vipodozi visivyokidhi viwango ili kulinda afya na usalama wa watumiaji.
Mdau, unahisi nini kinafanya biashara ya vipodozi visivyokidhi viwango ishamiri kwa kasi?
Kushiriki mjadala huu tembelea https://jamii.app/UdhibitiVipodozi
#JamiiForums #JFAfya #Uwajibikaji
Mdau, unahisi nini kinafanya biashara ya vipodozi visivyokidhi viwango ishamiri kwa kasi?
Kushiriki mjadala huu tembelea https://jamii.app/UdhibitiVipodozi
#JamiiForums #JFAfya #Uwajibikaji
Katika kusherehekea siku hii ya Baba Duniani, tunawatakia kina Baba wote Heri na Baraka tele, asanteni kwa Upendo, Juhudi na Kujitoa kwenu.
Siku ya leo ina maana gani kwako na kwa Baba yako? Funguka kwenye comments👇
Shiriki mjadala https://jamii.app/SikuBaba26
#JamiiForums #HappyFathersDay #FathersDay2026
Siku ya leo ina maana gani kwako na kwa Baba yako? Funguka kwenye comments👇
Shiriki mjadala https://jamii.app/SikuBaba26
#JamiiForums #HappyFathersDay #FathersDay2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mwanasiasa Mkongwe, Prof. Anna Tibaijuka, aliyasema hayo Juni 19, 2026, katika mahojiano na The Chanzo.
Nini maoni yako?
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/AnnaLissu
#JamiiForums #Demokrasia
Nini maoni yako?
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/AnnaLissu
#JamiiForums #Demokrasia
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mwanasiasa mkongwe, Prof. Anna Tibaijuka ameyasema hayo Juni 19, 2026 katika mahojiano na The Chanzo. Kauli yake inakuja kufuatia Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar kuwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali ya 2026/27, akieleza Deni la Serikali hadi Machi 2026 lilikuwa ni Tsh. Trilioni 114.34.
Zaidi tembelea https://jamii.app/TibaijukaDeni
#JamiiForums #Utawala
Zaidi tembelea https://jamii.app/TibaijukaDeni
#JamiiForums #Utawala
❤3
MWANZA: Fainali ya CRDB Bank Federation Cup 2026 inatarajiwa kuzikutanisha #Simba dhidi ya Azam FC, hiyo ni baada ya #AzamFC kuichapa #Yanga Magoli 3-2 katika Nusu Fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.
Katika mchezo huo ambao umechezwa kwa dakika 120, baada ya matokeo ya 2-2 katika dakika 90, muda mwingi Azam FC ilicheza pungufu kutokana na mchezaji wao mmoja kutolewa kwa kadi nyekundu.
Mdau, unadhani kombe litaelekea Msimbazi au Chamazi?
Zaidi https://jamii.app/YangaAzamCRDB
#JamiiForums #JFSports

👎1😁1
Mdau, umewahi kukutana na hili? Ulichukuliaje? 🙂
Shiriki mjadala https://jamii.app/ChaleMwilini
#JamiiForums #Maisha
Shiriki mjadala https://jamii.app/ChaleMwilini
#JamiiForums #Maisha