IRINGA: Upande wa Mkurugenzi Mtendaji wa #IRUWASA, Mhandisi David Pallangyo amesema amepokea maelekezo ya Waziri Juma Aweso na kuahidi kutekeleza kwa kukamilisha mradi mdogo wa muda mfupi kwa lengo la kuhudumia kaya hizo ambapo mchakato wake umeshaanza.
Zaidi https://jamii.app/IringaUhabaMaji
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #JFHuduma
Zaidi https://jamii.app/IringaUhabaMaji
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #JFHuduma
Baadhi ya hoja zilizowasilishwa na Wadau wa JamiiForums.com waliojitambulisha kuwa ni Watumishi wa Serikali, wakidai kuna changamoto ya kutothibitishwa kazini.
Bofya https://jamii.app/KeroAjiraMpya
#JamiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Bofya https://jamii.app/KeroAjiraMpya
#JamiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
DAR: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA) kimejibu barua ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kikikataa tuhuma zote za ukiukwaji wa Sheria na kuzitaja kama mkakati wa Kisiasa wa kukandamiza upinzani.
Zaidi tembelea https://jamii.app/ChademaMsajili
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
Zaidi tembelea https://jamii.app/ChademaMsajili
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
❤1
Umewahi kukutana na hali kama hii?
Je, kuna haja ya kubadilisha vitasa unapohamia sehemu mpya?🤔
Shiriki mjadala https://jamii.app/MpangajiNaFunguo
#JamiiForums #Maisha #DigitalWorld
Je, kuna haja ya kubadilisha vitasa unapohamia sehemu mpya?🤔
Shiriki mjadala https://jamii.app/MpangajiNaFunguo
#JamiiForums #Maisha #DigitalWorld
❤1😁1
DAR: Mdau amedokeza hatari ya Bandari Kavu kuwekwa kwenye makazi ya Watu kama ilivyo Kigamboni, Magigoni, anadai zinasababisha ugumu wa mazingira kwa vyombo vingine vya moto na si salama kwa Watu.
Je, ana hoja?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/BandariKavu
#JamiiForums #Uwajibikaji
Je, ana hoja?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/BandariKavu
#JamiiForums #Uwajibikaji
❤1
Kocha mkongwe Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ alikuwa ni mmoja wa wasaidizi katika Benchi la Ufundi la Timu ya Taifa ya Tanzania “#TaifaStars” wakati ikifuzu kucheza Michuano ya AFCON 2025.
Tanzania imeshiriki AFCON kwa mara ya nne katika historia, Mwaka 1980 nchini Nigeria, 2019 (Misri), 2023 (Ivory Coast) na 2025 (Morocco). Mwaka 2027 itashiriki ikiwa mmoja wa Nchi mwenyeji.
Nini maoni yako Mdau wa Soka?
Shiriki mjadala https://jamii.app/NukuuYaJulio
#JamiiForums #JFSports #JFNukuu

DODOMA: Baada ya Mdau kueleza Waajiriwa Wapya hawajui mwelekeo wao na kuhisi Mwajiri wao amewasahau, VETA imetoa taarifa ikisema “Mafunzo elekezi yamepangwa kufanyika kuanzia tarehe 21-22 Mei 2026, Dodoma ambapo baada ya mafunzo hayo wataelekea katika vituo vya kazi walivyopangiwa.”
Zaidi tembelea https://jamii.app/AjiraMpyaVETA
#JamiiForums #JFMdau #Uwajibikaji
Zaidi tembelea https://jamii.app/AjiraMpyaVETA
#JamiiForums #JFMdau #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu ameyasema hayo akihojiwa na kituo cha redio cha Wasafi FM Mei 20, 2026.
Nini maoni yako?
Zaidi tembelea https://jamii.app/MaduhuHojaZaKisiasa
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
Nini maoni yako?
Zaidi tembelea https://jamii.app/MaduhuHojaZaKisiasa
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
❤3
DAR: Mdau anatoa wito kwa mamlaka zinazohusika kukamilisha ujenzi wa Barabara hiyo, akidai imekuwa kero kwa Watumiaji wake kutokana na matope hasa wakati wa mvua.
Je, barabara ya mtaani kwako ina hali gani wakati huu?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/SinzaMadukaniBarabara
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Je, barabara ya mtaani kwako ina hali gani wakati huu?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/SinzaMadukaniBarabara
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026