Dkt. Sylvanus ametoa wito kwa Wananchi wenye changamoto za tumbo kufika hospitali na kusisitiza kuwa kwa sasa hakuna mlipuko wowote, na pia wanaweza kutoa taarifa kupitia Namba 199 ambayo ni ya bure.
Mdau hali ipoje huko ulipo? Je, umekutana na changamoto hii?
Fuatilia zaidi kupitia https://jamii.app/MlipukoMagonjwaTumbo
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFAfya
Mdau hali ipoje huko ulipo? Je, umekutana na changamoto hii?
Fuatilia zaidi kupitia https://jamii.app/MlipukoMagonjwaTumbo
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFAfya
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, Mei 20, 2026 amewasilisha Bungeni Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2026/27, akiomba jumla ya Tsh. Trilioni 2.564 ili kufanikisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo na shughuli za kawaida za Wizara na taasisi zilizo chini yake.
Zaidi tembelea https://jamii.app/WizaraYaUjenzi
#JamiiForums #Governance #WaziriYaUjenzi
Zaidi tembelea https://jamii.app/WizaraYaUjenzi
#JamiiForums #Governance #WaziriYaUjenzi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (#LHRC), William Maduhu amesema hayo Mei 20, 2026 wakati akihojiwa na kituo cha redio cha Wasafi FM, akidai kwa kauli za Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Taifa (#UWT), Mary Chatanda, anategemea Msajili wa Vyama vya Siasa ataiandikia barua CCM kuionya au kuifuta.
Soma https://jamii.app/MsajiliNaCCM
#JamiiForums #Uwajibikaji #Siasa
Soma https://jamii.app/MsajiliNaCCM
#JamiiForums #Uwajibikaji #Siasa
❤1
IRINGA: Upande wa Mkurugenzi Mtendaji wa #IRUWASA, Mhandisi David Pallangyo amesema amepokea maelekezo ya Waziri Juma Aweso na kuahidi kutekeleza kwa kukamilisha mradi mdogo wa muda mfupi kwa lengo la kuhudumia kaya hizo ambapo mchakato wake umeshaanza.
Zaidi https://jamii.app/IringaUhabaMaji
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #JFHuduma
Zaidi https://jamii.app/IringaUhabaMaji
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #JFHuduma
Baadhi ya hoja zilizowasilishwa na Wadau wa JamiiForums.com waliojitambulisha kuwa ni Watumishi wa Serikali, wakidai kuna changamoto ya kutothibitishwa kazini.
Bofya https://jamii.app/KeroAjiraMpya
#JamiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Bofya https://jamii.app/KeroAjiraMpya
#JamiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
DAR: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA) kimejibu barua ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kikikataa tuhuma zote za ukiukwaji wa Sheria na kuzitaja kama mkakati wa Kisiasa wa kukandamiza upinzani.
Zaidi tembelea https://jamii.app/ChademaMsajili
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
Zaidi tembelea https://jamii.app/ChademaMsajili
#JamiiForums #Demokrasia #Siasa
❤1
Umewahi kukutana na hali kama hii?
Je, kuna haja ya kubadilisha vitasa unapohamia sehemu mpya?🤔
Shiriki mjadala https://jamii.app/MpangajiNaFunguo
#JamiiForums #Maisha #DigitalWorld
Je, kuna haja ya kubadilisha vitasa unapohamia sehemu mpya?🤔
Shiriki mjadala https://jamii.app/MpangajiNaFunguo
#JamiiForums #Maisha #DigitalWorld
❤1😁1
DAR: Mdau amedokeza hatari ya Bandari Kavu kuwekwa kwenye makazi ya Watu kama ilivyo Kigamboni, Magigoni, anadai zinasababisha ugumu wa mazingira kwa vyombo vingine vya moto na si salama kwa Watu.
Je, ana hoja?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/BandariKavu
#JamiiForums #Uwajibikaji
Je, ana hoja?
Fuatilia zaidi https://jamii.app/BandariKavu
#JamiiForums #Uwajibikaji
❤1