Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Kagera, Samuel Mwambungu, amesema hayo Mei 14, 2026 wakati akitoa taarifa wakati wa ziara ya kushuhudia uwekaji wa tabaka la Lami unaoendelea.
Ikumbukwe, mara kadhaa Wadau wa JamiiForums.com wamekuwa wakitoa hoja ya kuchelewa kukamilika kwa barabara hiyo licha ya kuwa ni lango muhimu la Manispaa ya Bukoba.
Zaidi https://jamii.app/BarabaraNyagoyeBukoba
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #Uwajibikaji

FA CUP: Kocha #PepGuardiola anaelekea kuukamilisha msimu wa 2025/26 vizuri licha ya kuwa alianza kwa kusuasua awali, hiyo ni baada ya kubeba taji la pili msimu huu, timu yake ya #ManchesterCity imeshinda goli 1-0 dhidi ya #Chelsea na kubeba Kombe la FA.
Antoine Semenyo ndiye amefunga goli pekee katika dakika ya 71 na kuifanya City kubeba taji la pili baada ya Carabao Cup.
Hivyo, Man City inakuwa imebeba taji la FA kwa mara ya nane, pia ikiwa imecheza fainali yake ya nne mfululizo katika kombe hilo, ikishinda mara mbili.
Zaidi https://jamii.app/CityBingwaFA2026
#JamiiForums #JFSports #JFAFCup2026

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote amesema hayo Mei 16, 2026 baada ya Mkutano wake na Rais Samia, Ikulu Dar es Salaam.
Zaidi https://jamii.app/DangoteRefinery
#JamiiForums #JFMatukio
Zaidi https://jamii.app/DangoteRefinery
#JamiiForums #JFMatukio
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu ameyasema hayo Mei 16, 2026, ameeleza kwa nafasi yake ya Wakili katika kesi za Uhaini, alichambua Hati za Mashtaka 1,651 na hakubaini mtuhumiwa yeyote kutoka nje ya Tanzania katika Matukio ya Oktoba 29.
Zaidi https://jamii.app/MaduhuVijanaNje
#JamiiForums #Uwajibikaji
Zaidi https://jamii.app/MaduhuVijanaNje
#JamiiForums #Uwajibikaji
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MARA: Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi ameyasema hayo Mei 16, 2026 akiwa Kijiji cha Mabui Merafuru, Musoma wakati akishiriki Mazishi ya Boniface Makene ambaye aliwahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu Mohamed Gharib Bilal.
Zaidi https://jamii.app/NchimbiUkweli
#JamiiForums #Utawala
Zaidi https://jamii.app/NchimbiUkweli
#JamiiForums #Utawala
ENGLAND: Chelsea FC imemtangaza Xabi Alonso (44) kuwa Meneja wa timu hiyo ambapo anatarajiwa kuanza majukumu yake Julai 1, 2026, amesaini mkataba wa Miaka minne.
Alonso anajiunga na Chelsea akiwa tayari amepata uzoefu wa kufundisha Bayer Leverkusen na Real Madrid ambapo anakuwa wa kwanza kutajwa na klabu hiyo kuwa Meneja badala ya Kocha wa Timu tangu ilipokuwa hivyo kwa Jose Mourinho Mwaka 2013.
Amefanikiwa kupewa nafasi hiyo baada ya awali Chelsea kuhusishwa kuwawania makocha wengine wakiwemo Andoni Iraola, Marco Silva, Oliver Glasner, Filipe Luis na Cesc Fabregas.
Je, unadhani Xabi atafanya maajabu yoyote kwa Chelsea?
Zaidi https://jamii.app/ChelseaAlonso
#JamiiForums #JFSports

GEITA: Mdau amehoji, "Mbona wenzetu wa Shule ya Msingi walilipwa mapema Fedha za Kujikimu na zilikuwa nyingi?"
Zaidi tembelea https://jamii.app/FedhaZaKujikimuChato
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Zaidi tembelea https://jamii.app/FedhaZaKujikimuChato
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Akijibu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com, Meneja Uhusiano kwa Umma na Masoko wa VETA, Sitta Peter amesema, “Mwanafunzi anayepata mafunzo sahihi kwenye Forklift ya kawaida anaweza kufanya kazi hata kwenye Forklift za kisasa baada ya kupata uzoefu wa mazingira ya kazi."
Zaidi tembelea https://jamii.app/VETATamko
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau
Zaidi tembelea https://jamii.app/VETATamko
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau
LINDI: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka husika kufuatilia Ucheleweshwaji wa Fedha za Kujikimu kwa Watumishi wa Afya Wilaya ya Nachingwea.
Mdau wa "Ajira Mpya” hali ipoje kwenye Halmashauri yako?
Zaidi tembelea https://jamii.app/AjiraMpyaNachingwea
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #Uwajibikaji
Mdau wa "Ajira Mpya” hali ipoje kwenye Halmashauri yako?
Zaidi tembelea https://jamii.app/AjiraMpyaNachingwea
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
KIGOMA: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira ameyasema hayo Mei 16, 2026 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya kichama mkoani humo.
Nini maoni yako?
Zaidi https://jamii.app/WasiraVurugu
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Nini maoni yako?
Zaidi https://jamii.app/WasiraVurugu
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau wa JamiiForums.com amedai baadhi ya Watendaji wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) wanafanya kazi kimazoea Mkoani Arusha, ametoa wito ngazi za juu kufuatilia ofisi hiyo ili kuchukua hatua.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/WatendajiUnunuzi
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Fuatilia zaidi https://jamii.app/WatendajiUnunuzi
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Kwa shuhuda, visa na simulizi nyingi za maisha kama hizi, tembelea JamiiForums.com
Zaidi https://jamii.app/ShemejiChuo
#JamiiForums #Maisha
Zaidi https://jamii.app/ShemejiChuo
#JamiiForums #Maisha