JamiiForums
31.8K subscribers
37.7K photos
3.05K videos
33.1K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mfumo huo mpya unakuja takriban Miaka 2 tangu Kamati ya Bunge inayohusika na Nishati, mnamo Agosti 2023, ilipopendekeza Wazalishaji Binafsi wa Umeme (IPPs) waruhusiwe kuuza umeme moja kwa moja kwa Wananchi ili kuwapa uhuru wa kuchagua msambazaji mwenye bei nafuu zaidi kati ya kampuni binafsi na Kampuni ya Serikali ya Kenya Power.

Zaidi https://jamii.app/UmemeKampuni

#JamiiForums #Utawala
2
Mdau, umewahi kukutana na changamoto gani kuhusu matumizi ya vipodozi?

Zaidi https://jamii.app/UremboNaVipodozi

#JamiiForums #Maisha
Mdau toa neno kuhusu matokeo mchezo wa Dodoma Jiji dhidi ya Yanga😃

Mjadala unaendelea JF https://jamii.app/YangaDodomaLigiKuu

#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026
MAUDHUI vs AFYA: Je, Passion Inatosha?

Je, Content Creator anayezungumzia masuala ya Afya anapaswa kuwa na mafunzo rasmi, au mapenzi (passion) na 'vibe' kwenye mada husika inatosha?

Afya ni suala pana na nyeti; je, mafunzo ya muda mfupi ni lazima ili kulinda usalama wa wafuasi wanaowafuatilia?

Dondosha maoni yako hapa chini👇

Shiriki mjadala https://jamii.app/ContentAfya

#JamiiForums #JFAfya #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA), John Mnyika ameyasema hayo Mei 13, 2026 nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam baada ya kesi ya maombi madogo Namba 8960 ya Said Issa Mohammed dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama hicho kuahirishwa hadi Mei 20, 2026.

Zaidi bofya https://jamii.app/MnyikaBarua

#JamiiForums #Siasa
Unamshauri Mdau asome kozi gani ambayo itaendana na changamoto anayokumbana nayo?

Zaidi https://jamii.app/NisomeNini

#JamiiForums #JFElimu
SINGIDA: Mdau wa JamiiForums.com amehoji Mamlaka husika ni muda gani Jengo la ghorofa la Hospitali ya Rufaa litakamilika? Akidai huu ni mwaka wa 10 halijakamilika na danadana zimekuwa nyingi.

Zaidi https://jamii.app/HospitaliSingida

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #Uwajibikaji
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Baada ya kusikiliza kero za Wananchi katika Kata ya Sangabu, Mei 12, 2026, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameagiza kusitishwa kwa mikataba ya muda ya Watumishi wa Idara ya Ardhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kutokana na kile alichoeleza kutowajibika kwa Watumishi wa Idara hiyo.

Awali, Aprili 14, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliwasilisha andiko lake akieleza Maafisa wa Idara hiyo wana tabia ya kuzungusha Wananchi na kudai wengi wao wanatengeneza mazingira ya rushwa, pia ni wasumbufu katika kutoa huduma.

Zaidi https://jamii.app/IlemelaUtendaji

#JamiiForums #Uwajibikaji #Governance
Huwezi kuwa mpenzi wa Series za Kikorea halafu ukawa hujakariri hata neno moja, toa list yako uone kama na wengine wanayafahamu😃

Shiriki mjadala https://jamii.app/KikoreaManeno

#JamiiForums #JFEntertainment