DAR: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa mamlaka husika kuweka taa za barabarani eneo la Chumvini, akidai giza linachangia wahalifu kulitumia eneo hilo kufanya 'yao', pia kuwapa hofu watumiaji wa barabara hiyo.
Zaidi https://jamii.app/ChumviniTaa
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Zaidi https://jamii.app/ChumviniTaa
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau, ukiachana na njia alizotaja mdau wewe huwa unatumia mbinu gani kujenga uhusiano na mtoto ambaye bado hajazaliwa?
Zaidi https://jamii.app/KuongeaNaMtoto
#JamiiForums #Maisha
Zaidi https://jamii.app/KuongeaNaMtoto
#JamiiForums #Maisha
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Jaji Joseph Sinde Warioba ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu aliyasema hayo katika mahojiano yaliyoruka Mei 9, 2026 na Jenerali Ulimwengu pamoja na Khalifa Said wa The Chanzo kuhusu Ripoti ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Oktoba 29, 2025.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/WariobaRipotiYaRais
#JamiiForums #Uwajibikaji
Fuatilia zaidi https://jamii.app/WariobaRipotiYaRais
#JamiiForums #Uwajibikaji
UHISPANIA: Timu ya #FCBarcelona imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uhispania (#LaLiga) kwa staili ya kumchakaza mpinzani wake wa jadi, #RealMadrid kwa magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Camp Nou.
Ushindi huo unaifanya Barcelona kufikisha pointi 91 ikimaanisha hakuna timu inayoweza kufikisha alama hizo, Real Madrid ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 77, timu zote zikiwa zimesaliwa na michezo mitatu kabla ya kukamilisha msimu wa 2025/26 katika ligi hiyo.
Zaidi https://jamii.app/MichezoJF2026
#JFSports #JamiiForums #JFLaLiga2026 #ElClassico

JamiiForums
Mjadala zaidi https://jamii.app/ManufaaNjeKazi #JamiiForums #JFLifestyle
Mdau umepata faida gani kwenye kazi yako?
Anonymous Poll
58%
A) Imenipatia mahusiano
33%
B) Nimepata 'connections
58%
C) Ujuzi zaidi
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Jaji Joseph Sinde Warioba ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu amesema hayo Mei 9, 2026 katika mahojiano na Jenerali Ulimwengu pamoja na Khalifa Said wa The Chanzo kuhusu Ripoti ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Oktoba 29, 2025.
Zaidi https://jamii.app/WariobaVifo
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability
Zaidi https://jamii.app/WariobaVifo
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability
Mdau wa JamiiForums.com ameto wito kwa Mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi kwa umma kinachokwamisha kuanza kutumika kwa Mabehewa ya ghorofa yaliyoletwa nchini kwa ajili ya usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR).
Zaidi https://jamii.app/MabehewaTrc
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #Uwajibikaji
Zaidi https://jamii.app/MabehewaTrc
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #Uwajibikaji
👏1
DAR: Klabu ya Yanga imetozwa faini ya Tsh. Milioni 30 na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (#TPLB) kwa kosa la Wachezaji na Maafisa wake wa Ufundi kukataa kutumia chumba rasmi cha kuvalia kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, badala yake walitumia nyumba iliyo nje ya uwanja katika mchezo dhidi ya Simba, Mei 3, 2026.
Pia, Yanga imepewa Onyo Kali kwa kosa la kuchelewa kuwasili uwanjani hapo kuelekea katika mchezo huo, iliwasili Saa 10:35 Alasiri badala ya Saa 10:30 Alasiri.
Wakati huohuo, Meneja wa Yanga, Walter Harson amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Tsh. Milioni 1 kwa kosa la kumsukuma Clatous Chama, mchezaji wa Simba katika mchezo husika.
Soma https://jamii.app/YangaFaini
#JamiiForums #JFSports #Uwajibikaji

Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba ameyasema hayo Mei 9, 2026 alipokuwa kwenye mahojiano na Jenerali Ulimwengu pamoja na Khalifa Said wa The Chanzo kuhusu Ripoti ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Oktoba 29, 2025.
Zaidi https://jamii.app/Uchaguzi2025Warioba
#JamiiForums #Demokrasia #Governance
Zaidi https://jamii.app/Uchaguzi2025Warioba
#JamiiForums #Demokrasia #Governance
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (#TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema hayo Mei 11, 2026, wakati akiwasilisha uchambuzi wa chama hicho kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu 2025.
Soma https://jamii.app/MwabukusiUtekaji
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability
Soma https://jamii.app/MwabukusiUtekaji
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, leo Mei 11, 2026 amewasilisha Bungeni Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Afya kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, kuomba kuidhinishiwa Tsh. Trilioni 1.8 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara hiyo.
Je, bajeti hiyo inaakisi kupunguza changamoto za Afya nchini? Yapi maoni yako?
Zaidi https://jamii.app/BajetiWizaraAfya
#JamiiForums #Governance #Utawala
Je, bajeti hiyo inaakisi kupunguza changamoto za Afya nchini? Yapi maoni yako?
Zaidi https://jamii.app/BajetiWizaraAfya
#JamiiForums #Governance #Utawala