JamiiForums
32.1K subscribers
37.7K photos
3.04K videos
33K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Mdau anatoa wito kwa Waziri wa Ardhi kutatua changamoto ya mgogoro wa ardhi kwa wakazi wa Yespa, akidai kuna taarifa kuwa baadhi ya Watumishi upande wa Ardhi Manispaa ya Morogoro wanataka kutengeneza "mazingira" ionekane Wananchi walivamia viwanja 70 kisha eneo hilo akabidhiwe kiongozi aliyejitokeza Mwaka 2026 kudai ni eneo lake.

Zaidi https://jamii.app/YespaMigogoroArdhi

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #CivilRights
Unakubaliana na hoja ya mdau?

Mjadala huu unaendelea ndani ya JamiiForums.com

Jiunge na wadau wengine kwa kubofya https://jamii.app/KitiMguuMmoja

#JamiiForums #JFMaisha #JFLifestyle
TABORA: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa mamlaka husika kutatua changamoto ya umeme kukatika katika eneo la Malabi, akidai Watu wengi wameyumba kiuchumi kutokana na kero ya kukatika mara kwa mara na kuharibu vitega uchumi vyao.

Zaidi https://jamii.app/MalabiUmeme

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #JFHuduma
DAR: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa mamlaka husika kuweka taa za barabarani eneo la Chumvini, akidai giza linachangia wahalifu kulitumia eneo hilo kufanya 'yao', pia kuwapa hofu watumiaji wa barabara hiyo.

Zaidi https://jamii.app/ChumviniTaa

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
Mdau, ukiachana na njia alizotaja mdau wewe huwa unatumia mbinu gani kujenga uhusiano na mtoto ambaye bado hajazaliwa?

Zaidi https://jamii.app/KuongeaNaMtoto

#JamiiForums #Maisha
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Jaji Joseph Sinde Warioba ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu aliyasema hayo katika mahojiano yaliyoruka Mei 9, 2026 na Jenerali Ulimwengu pamoja na Khalifa Said wa The Chanzo kuhusu Ripoti ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Oktoba 29, 2025.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/WariobaRipotiYaRais

#JamiiForums #Uwajibikaji
UHISPANIA: Timu ya #FCBarcelona imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uhispania (#LaLiga) kwa staili ya kumchakaza mpinzani wake wa jadi, #RealMadrid kwa magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Camp Nou.

Ushindi huo unaifanya Barcelona kufikisha pointi 91 ikimaanisha hakuna timu inayoweza kufikisha alama hizo, Real Madrid ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 77, timu zote zikiwa zimesaliwa na michezo mitatu kabla ya kukamilisha msimu wa 2025/26 katika ligi hiyo.

Zaidi https://jamii.app/MichezoJF2026

#JFSports #JamiiForums #JFLaLiga2026 #ElClassico