JamiiForums
32.5K subscribers
37.6K photos
3.03K videos
33K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
Namibia imejiunga kwenye orodha ya mataifa mengine ya Afrika kama Botswana, Mauritius na Msumbiji, ambayo sasa yanaendesha shughuli zao bila kuwa na madeni ya IMF.​

Nini maoni yako Mdau?

Zaidi https://jamii.app/NamibiaImf

#JamiiForums #Diplomacy #Governance
👍2
UJERUMANI: Ndoto za Bayern Munich kucheza Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza baada ya kupita Miaka 6, zimekwama kutokana na kuondolewa na Paris Saint Germain (PSG) katika Nusu Fainali licha ya matokeo ya goli 1-1 ambayo yamefanya  matokeo ya jumla kuwa 6-5.

Matokeo hayo yanamaanisha PSG itaivaa Arsenal katika Fainali mnamo Mei 30, 2026.

Ikumbukwe, mara ya mwisho Bayern ilifika fainali Mwaka 2020 na kubeba kombe kwa kuichapa PSG goli 1-0 ambalo liliwekwa wavuni na Kingsley Coman.

Zaidi https://jamii.app/BayernVsPSG

#JamiiForums #JFSports #JFUEFA2026
MWANZA: Mdau wa JamiiForums.com ametoa mapendekezo kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (#LATRA) kuanzisha ruti ya Ilalila – Kisesa ili kuwasaidia kupunguza gharama kubwa ya nauli.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/RutiIlailaKisesa

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma

Nawe pia unaweza kuwasilisha KERO yako kupitia Whatsapp +255743440000 au FichuaUovu ndani ya JamiiForums.com
DAR: Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Mlalakuwa, Kata ya Makongo, Mtaa wa CCM, ametoa wito kwa Mamlaka kuwapa majibu juu ya malipo ya fidia kwa Wananchi waliopisha Mradi wa Mwendokasi eneo hilo.

Zaidi https://jamii.app/MwendokasiMlalakua

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Mdau ametoa wito kwa mamlaka husika kuongeza ajira kwa Wataalam wa Maabara za Afya, akieleza kuwa idadi ya waliopo kwa sasa haitoshi kukidhi mahitaji ya huduma. Amebainisha kuwa upungufu huo unasababisha baadhi ya Vituo vya Afya kutumia kada nyingine kufanya kazi za maabara, jambo ambalo ni kinyume na misingi ya taaluma ya afya.

Zaidi soma https://jamii.app/AjiraWataalamMaabara

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFHuduma #JFMdau2026
Mdau, unadhani ni kitu gani kimebadilika hadi kizazi cha sasa kushindwa kumudu maisha hayo? Tuambie kwenye comments👇

Shiriki mjadala https://jamii.app/WazeeVijana

#JamiiForums #JFMaisha
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda amesema hayo Mei 6, 2026 alipokuwa akiwasilisha tamko lao kuhusiana na Ripoti ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, iliyowasilishwa na kukabidhiwa kwa Rais Samia, Aprili 23, 2026.

Kwa taarifa zaidi https://jamii.app/SheikhPondaWatawala

#JamiiForums #Uwajibikaji