JamiiForums
32.8K subscribers
37.6K photos
3.02K videos
33K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) Taifa, Kenani Kihongosi ameyasema hayo Mei 4, 2026 wakati akizungumza na Waandishi wa Habari - Makao Makuu ya chama.

Shiriki mjadala https://jamii.app/KenaniMtajiKisiasa

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #Siasa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Rais wa Kenya, William Ruto amesema hayo Mei 5, 2026, wakati akihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Zaidi https://jamii.app/RutoMaadui

#JamiiForums #Diplomasia
1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MWANZA: Akizindua Kampeni ya Jua Namba Yako, Mei 4, 2026, katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sokou - Toure, Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ametoa maelekezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kufanya Uchunguzi wa vifo katika Hospitali ya Mloganzila iliyopo Dar es Salaam.

Zaidi https://jamii.app/MchengerwaMloganzila

#JamiiForums #Uwajibikaji #PublicHealth #JFAfya
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kila Mtu anatamani kipato kinachompa uhuru wa kifedha, lakini uhalisia ni tofauti. Wapo wanaofanikisha na wengine bado wanapambana.

Toa maoni yako na jinsi unavyokabiliana na changamoto za kifedha.

Soma https://jamii.app/MshaharaMahitaji

#JamiiForums #Uchumi #Maisha
DAR: Akijibu hoja, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Jomaary Satura amesema “Afisa wa Idara ya Fedha badala ya kufungua foda la kuwalipa Wastaafu, alifungua foda ambalo limeshalipwa, akawakalipa mara mbili (Walimu).”

Ameongeza “Wastaafu walivyokuja kufuatilia madai yao, ikabidi kufuatilia na kubaini hilo kosa, kwakuwa si kosa la Watumishi hao, wamepangiwa kulipa taratibu kupitia mshahara, walilipwa jumla ya Tsh. Milioni 83.”

Ameeleza baadhi yao wameshaanza kurejesha, mpaka sasa imerejeshwa Tsh. Milioni 14 na kwamba haikuwa nauli kwa kuwa Mtumishi mpya hapewi nauli anapewa Posho ya Kujikimu ambayo tayari wameshalipwa.

Zaidi https://jamii.app/WatumishiTemeke

#JamiiForums #JFMdau2026
1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA), Dkt. Rugemeleza Nshala amesema hayo leo Mei 5, 2026, alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari, akichambua Ripoti ya Jaji Chande iliyochunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Soma zaidi https://jamii.app/NshalaUchunguziVifo

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #Sheria
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
ENGLAND: Mshindi wa jumla atatinga fainali kukutana na mshindi wa jumla kati ya Paris Saint-Germain na Bayern Munich katika fainali itakayopigwa Jumamosi, Mei 30, 2026, kwenye Uwanja wa Puskás Aréna, Budapest, nchini Hungary.

Soma https://jamii.app/AtleticoVsArsenalUCL

#JamiiForums #JFSports #JFUEFA2026
Wadau wa filamu za vichekesho, kuna ya kufikia hata kwa mbali viwango vya Mind Your Language au hii bado ndiyo GOAT? Dondosha yako bora kwenye comment tuone👇

Kushiriki tembelea https://jamii.app/ComedyMovies

#JamiiForums #JFBurudani
DAR: Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imesema Watumishi waliohamishwa katika Kituo cha Afya Mbande kuanzia Oktoba 2024 – 2026 ni 8 na si 12, na kwamba uhamisho unafanyika kwa ajili ya msawazo wa Watumishi ili kuboreshwa kwa Vituo na kufunguliwa kwa vituo vipya.

Taarifa ya Manispaa imeeleza Uhamisho huu umegusa Wataalam ambao ni Muuguzi wa usingizi, Tabibu wa meno, Daktari, Daktari Msaidizi, Mfamasia, Muuguzi, Afisa Muuguzi Msaidizi na Afisa Tabibu.

Awali, Mei 3, 2026, Mdau alitoa wito uchunguzi ufanyike Kituoni hapo akidai kuna matumizi mabaya ya madaraka, uonevu, ukiukwaji wa Haki za Watumishi na kwamba Watumishi 12 wamehamishwa katika mazingira yanayoashiria kuwepo kwa shinikizo, hila na vitisho.

Zaidi tembelea https://jamii.app/TemekeMbande

#JamiiForums #JFAfya #Uwajibikaji #JFMdau2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema hayo Mei 4, 2026 alipokuwa mkoani Mwanza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya 'Jua Namba Zako'.

Zaidi tembelea https://jamii.app/MchengerwaIcu

#JamiiForums #Uwajibikaji #PublicHealth
ENGLAND: Timu ya #Arsenal imefanikiwa kuingia Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuiondoa #AtleticoMadrid kwa jumla ya magoli 2-1 baada ya ushindi wa goli 1-0 katika mchezo wa pili uliopigwa kwenye Uwanja wa Emirates.

Timu hiyo ya London sasa inasubiri mshindi wa mchezo wa Bayern Munich dhidi ya Paris Saint-Germain FC kwa ajili ya Fainali inayotarajiwa kupigwa Mei 30, 2026.

Arsenal ambayo haijawahi kutwaa taji hilo ilifika Fainali mara ya mwisho Msimu wa 2005/6 ikiwa chini ya Kocha Arsene Wenger na kupoteza dhidi ya FC Barcelona kwa  magoli 2-1 ambapo straika wa Barca, Samuel Eto’o akipata Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mechi.

Zaidi https://jamii.app/AtleticoVsArsenalUCL

#JamiiForums #JFSports #JFUEFA2026
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta zilizoanza kutumika leo Mei 6, 2026, Petroli imeongezeka kutoka Tsh. 3,820 hadi 4,115 kwa Lita, huku Dizeli kutoka Tsh. 3,806 hadi 4,248 kwa Dar es Salaam.

EWURA imeeleza mabadiliko ya bei hayo yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na vita inayoendelea eneo la Mashariki ya Kati, ikihusisha Marekani, Israel na Iran, pamoja na kufungwa kwa Mlango Bahari wa Hormuz unaopitisha takriban 20% ya mafuta yote yanayosafirishwa Duniani kumeathiri upatikanaji na gharama za mafuta katika soko la kimataifa.

Baadhi ya mikoa ambayo bei ya Petroli ipo juu zaidi ni Mwanza, Kigoma, Geita, Kagera na Katavi. ambapo ni zaidi ya Tsh. 4,300.

Soma zaidi https://jamii.app/NishatiBeiMei

#JamiiForums #JFMatukio #BeiMpyaMafuta #IsraelIranWar #JFUchumi
Mdau, mtaani kwako kuna baa, mtu, sehemu ya starehe, kikundi au familia inayofungulia mziki kwa sauti kubwa bila kuwa na miundombinu ya kudhibiti sauti hali inayosababisha kuwa kero kwa majirani?

Zaidi https://jamii.app/BarMzikiMkubwa

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Rais Samia amesema hayo Mei 6, 2026 katika hafla ya uapisho wa viongozi aliowateua illiyofanyika Ikulu Chamwino.

Zaidi https://jamii.app/SamiaWhoAreYou

#JamiiForums #Uwajibikaji