Mdau, je, nawe umewahi kujikuta ukijilinganisha au kushindana na watu wengine? Ilikuwaje, na ulijifunza nini kutokana na hilo?
Shiriki mjadala👉🏾 https://jamii.app/KujilinganishaAfyaAkili
#JamiiForums #AfyaYaAkili
Shiriki mjadala👉🏾 https://jamii.app/KujilinganishaAfyaAkili
#JamiiForums #AfyaYaAkili
ENGLAND: Chelsea FC imebaki nafasi ya 9 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England ikiwa na alama 48 baada ya michezo 35, ikimaanisha haitaweza kufuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) msimu wa 2026/2027.
Upande wa Nottingham Forest, imepata matumaini ya kusalia Ligi Kuu baada ya kufikisha alama 42 katika michezo 35, ikijitenga kwa alama 6 kutoka eneo la kushuka daraja.
Zaidi soma https://jamii.app/ChelseaVsNottinghamForest
#JamiiForums #JFSports #JFEPL2026

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
KENYA: Mahojiano hayo yaliyofanyika Aprili 30, 2026, kupitia Citizen TV Kenya kuhusu Vijana, Siasa na Uongozi.
Nini maoni yako?
Zaidi tembelea https://jamii.app/KumpendaRais
#JamiiForums #Governance #AfricanPolitics
Nini maoni yako?
Zaidi tembelea https://jamii.app/KumpendaRais
#JamiiForums #Governance #AfricanPolitics
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Rais Samia amesema hayo alipokuwa akihutubia Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Kenya lililofanyika Mei 4, 2026 katika Ukumbi wa JNICC, limehudhuriwa pia na Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto, pamoja na ujumbe kutoka nchini humo.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/SamiaGenZMikwaju
#JamiiForums #Utawala #Uwajibikaji #AfricanPolitics
Fuatilia zaidi https://jamii.app/SamiaGenZMikwaju
#JamiiForums #Utawala #Uwajibikaji #AfricanPolitics
👎4
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania amesema hayo Aprili 29, 2026, wakati baraza hilo lilipozungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Ripoti ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi wa Oktoba 29, 2025.
Soma zaidi jamii.app/SheikhKundecha
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMatukio
Soma zaidi jamii.app/SheikhKundecha
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMatukio
Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa mamlaka zinazohusika kuacha tabia ya kuruka baadhi ya shule za umma zinazostahili kupokea fedha za kuendesha taasisi hizo kwa kuwa hali hiyo inaathiri uendeshaji wa shughuli za kila siku.
Zaidi https://jamii.app/PesaZaElimu
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #JFElimu
Zaidi https://jamii.app/PesaZaElimu
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #JFElimu
DAR: Awali, Wananchi kadhaa wa Mbagala Rangitatu walidai ubomoaji huo uliofanyika Jumapili Mei 3, 2026 hakuwa wa haki kwa kuwa suala hilo bado lipo mahakamani, wakidai walipewa taarifa ya kutakiwa kuondoka saa chache kabla ya zoezi hilo kufanyika.
Zaidi https://jamii.app/UbomoajiRangiTatu
#JamiiForums #JFMdau2026 #Governance
Zaidi https://jamii.app/UbomoajiRangiTatu
#JamiiForums #JFMdau2026 #Governance
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) Taifa, Kenani Kihongosi ameyasema hayo Mei 4, 2026 wakati akizungumza na Waandishi wa Habari - Makao Makuu ya chama.
Shiriki mjadala https://jamii.app/KenaniMtajiKisiasa
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #Siasa
Shiriki mjadala https://jamii.app/KenaniMtajiKisiasa
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #Siasa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Rais wa Kenya, William Ruto amesema hayo Mei 5, 2026, wakati akihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Zaidi https://jamii.app/RutoMaadui
#JamiiForums #Diplomasia
Zaidi https://jamii.app/RutoMaadui
#JamiiForums #Diplomasia
❤1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
MWANZA: Akizindua Kampeni ya Jua Namba Yako, Mei 4, 2026, katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sokou - Toure, Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ametoa maelekezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kufanya Uchunguzi wa vifo katika Hospitali ya Mloganzila iliyopo Dar es Salaam.
Zaidi https://jamii.app/MchengerwaMloganzila
#JamiiForums #Uwajibikaji #PublicHealth #JFAfya
Zaidi https://jamii.app/MchengerwaMloganzila
#JamiiForums #Uwajibikaji #PublicHealth #JFAfya
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Kila Mtu anatamani kipato kinachompa uhuru wa kifedha, lakini uhalisia ni tofauti. Wapo wanaofanikisha na wengine bado wanapambana.
Toa maoni yako na jinsi unavyokabiliana na changamoto za kifedha.
Soma https://jamii.app/MshaharaMahitaji
#JamiiForums #Uchumi #Maisha
Toa maoni yako na jinsi unavyokabiliana na changamoto za kifedha.
Soma https://jamii.app/MshaharaMahitaji
#JamiiForums #Uchumi #Maisha
DAR: Akijibu hoja, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Jomaary Satura amesema “Afisa wa Idara ya Fedha badala ya kufungua foda la kuwalipa Wastaafu, alifungua foda ambalo limeshalipwa, akawakalipa mara mbili (Walimu).”
Ameongeza “Wastaafu walivyokuja kufuatilia madai yao, ikabidi kufuatilia na kubaini hilo kosa, kwakuwa si kosa la Watumishi hao, wamepangiwa kulipa taratibu kupitia mshahara, walilipwa jumla ya Tsh. Milioni 83.”
Ameeleza baadhi yao wameshaanza kurejesha, mpaka sasa imerejeshwa Tsh. Milioni 14 na kwamba haikuwa nauli kwa kuwa Mtumishi mpya hapewi nauli anapewa Posho ya Kujikimu ambayo tayari wameshalipwa.
Zaidi https://jamii.app/WatumishiTemeke
#JamiiForums #JFMdau2026