JamiiForums
32.8K subscribers
37.6K photos
3.02K videos
33K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
DAR: Aprili 30, 2026 mwili huo ulionekana ukielea katika Mto Msimbazi eneo la Kipawa wilaya ya Ilala huku ukiwa hauna kichwa.

Zaidi soma https://jamii.app/PolisiKifoMsimbazi

#JamiiForums #Uwajibikaji #HumanRights
DAR: Baada ya tambo kwa siku kadhaa, hatimaye wababe wa mitaa ya Kariakoo, Simba na Yanga wamekipiga uwanjani na kutoshana nguvu ya magoli 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, leo Mei 3, 2026.

Simba ilitangulia kufunga kupitia kwa Libasse Gueye na Clatous Chama, Yanga ikasawazisha kwa magoli ya Prince Dube na Bakari Mwamnyeyo.

Kutokana na matokeo hayo, Yanga imeendelea kuongoza msimamo wa Ligi ikiwa na alama 48, Simba ni ya pili ikiwa na pointi 43, timu zote zikiwa zimecheza michezo 20.

Zaidi https://jamii.app/SimbaYangaMei3

#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026
👍2
Mdau, ni kitu gani ulishawahi kukisikia na hukuamini, lakini baadaye ukagundua ni kweli?

Zaidi https://jamii.app/UkweliKuamini

#JamiiForums #JFMaisha
1
Mdau wa JamiiForums.com amehoji kuhusiana na ukimya wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (#LATRA) wa kutotoa tamko rasmi au ufafanuzi kuhusu suala la nauli kupanda tangu taarifa hizo zilipoanza kusambaa Mtandaoni na nauli kupanda rasmi kuanzia Mei Mosi, 2026.

Zaidi https://jamii.app/UkimyaLatraNauli

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #Uwajibikaji
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, leo Mei 4, 2026, amewasilisha hotuba ya Bajeti ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027, akiomba Bunge kuidhinisha Tsh. Bilioni 525.3.

Kati ya hizo, kiasi cha Tsh. Bilioni 39.07 kwa ajili ya mishahara, Tsh. Bilioni 28.06 ni matumizi mengineyo, huku Tsh. Bilioni 458.19 zikitengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo.

Kwani nyie Wadau wa Michezo, Habari, Sanaa na Utamaduni mnasemaje?

Soma https://jamii.app/BajetiWizaraHabari

#JamiiForums #Utawala #Governance
1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita amesema hayo Mei 4, 2026 wakati akizungumza na Waandishi wa Habari.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/MchinjitaTumeRisasi

#JamiiForums #Uwajibikaji #HumanRights
Mdau, je, nawe umewahi kujikuta ukijilinganisha au kushindana na watu wengine? Ilikuwaje, na ulijifunza nini kutokana na hilo?

Shiriki mjadala👉🏾 https://jamii.app/KujilinganishaAfyaAkili

#JamiiForums #AfyaYaAkili
ENGLAND: Chelsea FC imebaki nafasi ya 9 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England ikiwa na alama 48 baada ya michezo 35, ikimaanisha haitaweza kufuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) msimu wa 2026/2027.

Upande wa Nottingham Forest, imepata matumaini ya kusalia Ligi Kuu baada ya kufikisha alama 42 katika michezo 35, ikijitenga kwa alama 6 kutoka eneo la kushuka daraja.

Zaidi soma https://jamii.app/ChelseaVsNottinghamForest

#JamiiForums #JFSports #JFEPL2026