Akizungumzia kuhusu mfumo huo, Mkurugenzi wa Muungano wa Kupambana na Rushwa Uganda (ACCU), Marlon Agaba amesema kuwa mkataba wa Mwaka 1 utamaliza "kubweteka" kwa Watumishi wanaojiona wana usalama wa ajira hata wasipofanya kazi na kuongeza kuwa mapendekezo hayo yanaakisi mapendekezo ya muda mrefu ya wanaharakati wa kupambana na Rushwa.
Mdau, unaonaje pendekezo hili likifanyika nchini?
Toa maoni yako kupitia https://jamii.app/UgandaWatumishi
#JamiiForums #Governance #Utawala #Accountability
Mdau, unaonaje pendekezo hili likifanyika nchini?
Toa maoni yako kupitia https://jamii.app/UgandaWatumishi
#JamiiForums #Governance #Utawala #Accountability
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR ES SALAAM: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Mwenge - Tegeta kumwaga maji kwani vumbi limekuwa kero kwa watumiaji wa barabara na wenye makazi maeneo ya jirani.
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/BarabaraMwengeTegeta
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/BarabaraMwengeTegeta
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Ayub Rioba ameyasema hayo Aprili 14, 2026 alipokuwa akihojiwa na East Africa Radio.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/RiobaDemokrasia
#JamiiForums #Demokrasia
Fuatilia zaidi https://jamii.app/RiobaDemokrasia
#JamiiForums #Demokrasia
UEFA: Timu ya #FCBarcelona imetupwa nje ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2025/2026 licha ya kushinda magoli 2-1 dhidi ya #AtleticoMadrid ambayo imefuzu Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 3-2.
Mchezo mwingine Paris Saint-Germain (#PSG) imeingia Nusu Fainali pia kwa kuifunga #Liverpool goli 2-0, ushindi wa jumla ukiwa ni magoli 4-0.
Zaidi https://jamii.app/LiverBarcaUefa
#JamiiForums #JFSports #JFUEFA2026
Mchezo mwingine Paris Saint-Germain (#PSG) imeingia Nusu Fainali pia kwa kuifunga #Liverpool goli 2-0, ushindi wa jumla ukiwa ni magoli 4-0.
Zaidi https://jamii.app/LiverBarcaUefa
#JamiiForums #JFSports #JFUEFA2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba ameyasema hayo Aprili 14, 2026 alipokuwa akihojiwa na East Africa Radio.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/RyobaGenzMaandamano
#JamiiForums #Demokrasia
Fuatilia zaidi https://jamii.app/RyobaGenzMaandamano
#JamiiForums #Demokrasia
Aprili 15, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com usiku huu📌
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/WatangazajiKyelaFMPls
#JamiiForums #DigitalRights #PressFreedom #UhuruWaHabari
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/WatangazajiKyelaFMPls
#JamiiForums #DigitalRights #PressFreedom #UhuruWaHabari
Mdau, ukiwa shule ulifanya kosa gani ambalo lilisababisha uadhibiwe mbele ya Wanafunzi wenzako mstarini? 😃
Kushiriki mjadala huu: https://jamii.app/WanafunziAssemble
#JamiiForums #JFChitchat #JFElimu
Kushiriki mjadala huu: https://jamii.app/WanafunziAssemble
#JamiiForums #JFChitchat #JFElimu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
LINDI: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Mamlaka husika kufanya matengenezo ya Barabara ya Mchinga 2 hadi Kijiji cha Ruvu, akieleza kuwa inategemewa na vijiji takriban saba ila iko katika hali mbaya na hivyo kuwa kero kwa Wananchi hao.
Mdau, barabara za kijiji ulipo zinapitika kwa urahisi wakati huu wa mvua?
Shiriki kwenye mjadala huu https://jamii.app/BarabaraMchinga2
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Mdau, barabara za kijiji ulipo zinapitika kwa urahisi wakati huu wa mvua?
Shiriki kwenye mjadala huu https://jamii.app/BarabaraMchinga2
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
MBEYA: Wanahabari wa kitu cha Redio, Kyela FM, Tumsifu Katina na Emmy Eliud, wameachiliwa kwa dhamana asubuhi ya Aprili 15, 2026, baada ya kushikiliwa na Polisi tangu Aprili 14, 2026 mchana. Meneja wa kituo hicho, Lamso Malongo, amethibitisha kuwa wako huru na taratibu za kuwasafirisha kutoka Mbeya kuelekea Wilayani Kyela kuungana na familia zao zinaendelea.
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/WatangazajiKyelaFm
#JamiiForums #HumanRights #JFMatukio
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/WatangazajiKyelaFm
#JamiiForums #HumanRights #JFMatukio
MAREKANI: CNN imeripoti kuwa kabla ya Wabunge hao kujiuzulu, Teresa Leger Fernández wa New Mexico na Anna Paulina Luna wa Florida walikuwa tayari wamewaonya wajiuzulu wenyewe kufikia Saa 8 Mchana Aprili 14, 2026, vinginevyo wangefukuzwa Bungeni na hivyo kupoteza stahiki na mafao yao.
Fuatilia zaidi mjadala huu https://jamii.app/WabungeMarekani
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #Governance
Fuatilia zaidi mjadala huu https://jamii.app/WabungeMarekani
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #Governance
❤1