MALAWI: Jeshi la Polisi limemkamata aliyekuwa Waziri wa Fedha, Simplex Chithyola kwa tuhuma za utakatishaji fedha na matumizi mabaya ya ofisi. Chithyola, ambaye kwa sasa ni Kiongozi wa Upinzani bungeni, alijikabidhi mwenyewe Polisi Aprili 12, 2026 baada ya kuwekwa kwenye orodha ya wanaosakwa na wachunguzi wa makosa ya jinai.
Fuatilia mjadala huu https://jamii.app/ChithyolaMalawi
#JamiiForums #Uwajibikaj #Accountability
Fuatilia mjadala huu https://jamii.app/ChithyolaMalawi
#JamiiForums #Uwajibikaj #Accountability
DAR ES SALAAM: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kufanya matengenezo ya 'lifti' tatu zilizoharibika ambazo hazitumiki katika jengo la RITA Tower akidai imekuwa kero kwa Watu wengi na kwamba Mtu anaweza kusubiri kwa nusu saa au zaidi kusubiria zamu ya kupanda.
Nini maoni yako Mdau?
Shiriki kwenye mjadala https://jamii.app/RitaLift
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #JFHuduma
Nini maoni yako Mdau?
Shiriki kwenye mjadala https://jamii.app/RitaLift
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #JFHuduma
❤1
Je, unakubaliana na hoja kuwa wazazi wanapaswa kujipanga wenyewe kwa Maisha ya uzeeni badala ya kutegemea Watoto?
Toa maoni yako 👇 na washirikishe wazazi wako kupata mitazamo yao https://jamii.app/WatotoMsaadaWazazi
#JamiiForums #JFMaisha #JFUwajibikaji
Toa maoni yako 👇 na washirikishe wazazi wako kupata mitazamo yao https://jamii.app/WatotoMsaadaWazazi
#JamiiForums #JFMaisha #JFUwajibikaji
Akizungumzia kuhusu mfumo huo, Mkurugenzi wa Muungano wa Kupambana na Rushwa Uganda (ACCU), Marlon Agaba amesema kuwa mkataba wa Mwaka 1 utamaliza "kubweteka" kwa Watumishi wanaojiona wana usalama wa ajira hata wasipofanya kazi na kuongeza kuwa mapendekezo hayo yanaakisi mapendekezo ya muda mrefu ya wanaharakati wa kupambana na Rushwa.
Mdau, unaonaje pendekezo hili likifanyika nchini?
Toa maoni yako kupitia https://jamii.app/UgandaWatumishi
#JamiiForums #Governance #Utawala #Accountability
Mdau, unaonaje pendekezo hili likifanyika nchini?
Toa maoni yako kupitia https://jamii.app/UgandaWatumishi
#JamiiForums #Governance #Utawala #Accountability
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR ES SALAAM: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Mwenge - Tegeta kumwaga maji kwani vumbi limekuwa kero kwa watumiaji wa barabara na wenye makazi maeneo ya jirani.
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/BarabaraMwengeTegeta
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/BarabaraMwengeTegeta
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Ayub Rioba ameyasema hayo Aprili 14, 2026 alipokuwa akihojiwa na East Africa Radio.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/RiobaDemokrasia
#JamiiForums #Demokrasia
Fuatilia zaidi https://jamii.app/RiobaDemokrasia
#JamiiForums #Demokrasia
UEFA: Timu ya #FCBarcelona imetupwa nje ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2025/2026 licha ya kushinda magoli 2-1 dhidi ya #AtleticoMadrid ambayo imefuzu Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 3-2.
Mchezo mwingine Paris Saint-Germain (#PSG) imeingia Nusu Fainali pia kwa kuifunga #Liverpool goli 2-0, ushindi wa jumla ukiwa ni magoli 4-0.
Zaidi https://jamii.app/LiverBarcaUefa
#JamiiForums #JFSports #JFUEFA2026
Mchezo mwingine Paris Saint-Germain (#PSG) imeingia Nusu Fainali pia kwa kuifunga #Liverpool goli 2-0, ushindi wa jumla ukiwa ni magoli 4-0.
Zaidi https://jamii.app/LiverBarcaUefa
#JamiiForums #JFSports #JFUEFA2026
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba ameyasema hayo Aprili 14, 2026 alipokuwa akihojiwa na East Africa Radio.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/RyobaGenzMaandamano
#JamiiForums #Demokrasia
Fuatilia zaidi https://jamii.app/RyobaGenzMaandamano
#JamiiForums #Demokrasia
Aprili 15, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com usiku huu📌
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/WatangazajiKyelaFMPls
#JamiiForums #DigitalRights #PressFreedom #UhuruWaHabari
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/WatangazajiKyelaFMPls
#JamiiForums #DigitalRights #PressFreedom #UhuruWaHabari