JamiiForums
35.1K subscribers
37.2K photos
2.94K videos
32.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Wadau mbalimbali wa JamiiForums.com kutoka Halmashauri tofauti nchini wanatoa wito kwa mamlaka husika kuwapatia barua za kuwathibitisha kazini, wakidai kuwa wanakosa baadhi ya stahiki za kiutumishi kwa wao kukosa barua za uthibitisho kazini.

Fuatilia mjadala https://jamii.app/UthibitishoWaajiriwaWapya

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji

Nawe pia unaweza kuwasilisha Kero yako kupitia FichuaUovu ndani ya JamiiForums.com 📌
UGANDA: Shabiki wa Arsenal, Eric Kyama amepanga kuishtaki klabu hiyo, wachezaji wa kikosi cha kwanza pamoja na Kocha Mikel Arteta, kufuatia kiwango duni walichokionyesha katika mchezo dhidi ya AFC Bournemouth uliochezwa Aprili 11, 2026, ambapo walifungwa magoli 2–1.

Neno moja kwa shabiki Eric😃

Fuatilia mjadala https://jamii.app/EricKuishtakiArsenal

#JamiiForums #JFSports #EPL2026
Mdau, unamshauri afanye nini kuhusu hili?

Shiriki mjadala https://jamii.app/MpenziTutoke

#JamiiForums #Maisha #JFLifestyle
UPDATES: Aprili 1, 2026, Mdau aliandika “TRA boresheni Kitengo cha ‘Customer Care’, siyo kila kitu hadi kwenda ofisini kwenu”, Aprili 13, 2026, kupitia Akaunti yao ndani ya JamiiForums.com, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema imepokea wito na imeanza utekelezaji na kumwambia Mdau “Tunathamini mrejesho wako, asante kwa kushirikiana nasi.”

Fuatilia mjadala zaidi https://jamii.app/TRAHudumaWateja

Nawe pia unaweza kuwasilisha KERO yako kupitia FichuaUovu ndani ya JamiiForums.com 📌

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #JFHuduma
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mbunge wa jimbo la Tanganyika, Selemani Kakoso ameyasema hayo Bungeni Aprili 13, 2026 wakati akichangia Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu.

Nini maoni yako Mdau?

Shiriki kwenye mjadala huu https://jamii.app/TozoMiamala

#JamiiForums #Governance #Uwajibikaji
Korea Kusini inakuwa nchi ya kwanza kutekeleza mpango wa kuwapatia Wananchi Intaneti bure hata baada ya vifurushi kuisha.

Japo nchi kama Ufilipino, Estonia na Costa Rica tayari zimetambua Intaneti kama haki ya msingi, lakini badala ya kutoa data moja kwa moja kwenye simu, hutoa huduma ya Wi-Fi ya bure katika maeneo ya umma.

Una maoni gani Mdau?

Shiriki kwenye mjadala huu https://jamii.app/KoreaKusiniIntaneti

#JamiiForums #DigitalRights #HakiZaDigitali
1
DAR: Mdau wa JamiiForums.com anasema Barabara inayopita Kimara, Mavurunza, Bonyokwa mpaka Kinyerezi wakati wa awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete liliwekwa jiwe la msingi na barabara hiyo kuitwa Kikwete Road, lakini hadi sasa ujenzi wake haujatekelezwa.

Mdau, barabara ya mtaani kwako inapitika vizuri kipindi hiki cha mvua?

Shiriki mjadala https://jamii.app/MkandarasiHayupoSite

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
DAR: Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa ni Mfanyakazi katika Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka ameomba Uongozi uboreshe maslahi yao katika mikataba na kuwalipa malipo ya muda wa ziada (overtime) waliyostahili kulipwa Mei hadi Oktoba 2025.

Jitihada za kutafuta Mamlaka inayosimamia mradi huo upande wa mabasi zinaendelea.

Fuatilia zaidi mjadala huu https://jamii.app/MwendikasiMaslahi

#JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
MALAWI: Jeshi la Polisi limemkamata aliyekuwa Waziri wa Fedha, Simplex Chithyola kwa tuhuma za utakatishaji fedha na matumizi mabaya ya ofisi. Chithyola, ambaye kwa sasa ni Kiongozi wa Upinzani bungeni, alijikabidhi mwenyewe Polisi Aprili 12, 2026 baada ya kuwekwa kwenye orodha ya wanaosakwa na wachunguzi wa makosa ya jinai.

Fuatilia mjadala huu https://jamii.app/ChithyolaMalawi

#JamiiForums #Uwajibikaj #Accountability