JamiiForums
35.2K subscribers
37.2K photos
2.94K videos
32.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
PREMIER LEAGUE: Timu ya #ManchesterCity imeshinda Magoli 3-0 dhidi ya #Chelsea, matokeo yanayoifanya kufikisha alama 64 katika mechi 31, ikiwa nafasi ya pili nyuma ya Arsenal yenye alama 70 katika michezo 32.

Mchezo ujao wa City itaivaa #Arsenal mnamo Aprili 19, 2026, ambapo mshindi wa hapo atakuwa na nafasi mzuri katika mbio za ubingwa msimu huu wa 2025/2026.

Baada ya matokeo hayo, Chelsea imebaki nafasi ya 6 ikiwa na alama 48 katika mechi 32.

Zaidi https://jamii.app/ChelseaVsManCityEPL

#JamiiForums #JFSports #JFEPL2026
Mdau, una utaratibu gani kuhusu matumizi ya simu wakati wa chakula?

Shiriki kwenye mjadala huu👉🏾 https://jamii.app/SimuChakula

#JamiiForums #JFTechnology #Maisha
Aprili 13, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com usiku huu📌📌

Fuatilia zaidi mjadala👉🏾 https://jamii.app/ViktorAshindwaUchaguzi

#JamiiForums #HungaryElection
Eti Mdau, huwa unatumia msemo gani kujifariji?😃

Shiriki mjadala kupitia https://jamii.app/KutumiaPesaStarehe

#JamiiForums #Maisha
PWANI: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuchukua hatua dhidi ya kundi la Vijana linalojihusisha na matukio ya uhalifu katika eneo la Misugusugu Wilaya ya Kibaha, akidai Wananchi wanateseka kwa kuporwa mali zao na kutishiwa maisha.

Fuatilia mjadala https://jamii.app/VibakaMisugusugu

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #CivilRights
Kauli ya Rais #DonaldTrump inakuja siku moja baada ya Papa Leo XIV wakati wa ibada Aprili 11, 2026 katika Kanisa la Mtakatifu Petro mjini Vatican, kukosoa vita inayoendelea kati ya Marekani, Israel na Iran, akisema Viongozi wanaolewa sifa za madaraka na nguvu za kijeshi ndiyo wanaochochea vita hiyo.

Shiriki mjadala https://jamii.app/TrumpPapaMarekani

#JamiiForums #JFDiplomacy #Governance
Mdau wa JamiiForums.com anashauri Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ifanye maboresho kwenye Kitengo cha Huduma kwa Wateja, hasa eneo la mawasiliano ya njia ya simu.

Mdau, umewahi kukumbana na changamoto hii?

Shiriki mjadala https://jamii.app/TRAHuduma

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #JFHuduma
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR ES SALAAM: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa Viongozi wanaohusika kukarabati barabara iliyopo Darajani Kimara Mwisho, ameonesha hali ilivyo, leo Aprili 13, 2026 ikiwa haipitiki kiurahisi na kuwa adha kwa Watumiaji.

Mdau, hali ya barabara eneo lako ikoje kipindi hiki cha mvua?

Shiriki kwenye mjadala https://jamii.app/KimaraBarabara

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mbunge wa Jimbo la Bariadi, Masanja Kadogosa ameyasema hayo leo Aprili 13, 2026 alipokuwa akichangia hoja Bungeni.

Yapi maoni yako

Shiriki mjadala https://jamii.app/GesiMafuta

#JamiiForums #Governance
Ikumbukwe mapema Aprili 13, 2026, Rais Donald Trump kupitia ukurasa wake wa Truth Social, alimtaja Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV kuwa ni Papa dhaifu katika kukemea masuala ya uhalifu na kudai kuwa alichaguliwa na Kanisa Katoliki kwa makusudi ili apambane na utawala wake.

Fuatilia mjadala https://jamii.app/PapaLeoTrump

#JamiiForums #Utawala #Governance #JFDiplomacy
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Bonnah Ladislaus Kamoli ameyasema hayo leo Aprili 13, 2026 wakati akichangia Hotuba ya Waziri Mkuu Bungeni ambapo amegusia hali ya miundombinu kuelekea michuano ya #AFCON2027 ambapo Tanzania itakuwa mwenyeji kwa kushirikia na Kenya na Uganda.

Nini maoni yako Mdau?

Fuatilia mjadala https://jamii.app/BarabaraDarAFCON

#JamiiForums #Governance #Uwajibikaji
2