JamiiForums
35.2K subscribers
37.2K photos
2.93K videos
32.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
DJIBOUTI: Rais Ismael Omar Guelleh (78) aliyemrithi mjomba wake Mwaka 1999, ametangaza ushindi wake kupitia Mtandao wa X kwa kuandika “RÉÉLU”. Ushindi huo uliotabiriwa, umechagizwa na chama chake kudhibiti taasisi nyingi za kitaifa, huku Bunge likiwa limefuta ukomo wa umri wa wagombea Urais pamoja na sharti la Kura ya maoni ya kubadili Katiba.

Fuatilia zaidi mjadala huu https://jamii.app/RaisGuelleh

#JamiiForums #DjiboutiElection2026 #AfricanPolitics
👎2
Ni maneno gani mengine hukukera yanapoandikwa kwa mtindo huo?

Bofya kuona maoni ya Wadau JF https://jamii.app/UandishiManeno

#JamiiForums #JFLugha #JFChitChat
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
NIGERIA: Kiongozi wa Dini Johnson Suleman alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumzia madhara ya uongozi mbaya kwa maisha ya Wananchi, mwanzoni mwa mwezi huu Aprili 2026, akiongeza kuwa ‘maombi pekee hayawezi kurekebisha matokeo ya utawala mbovu'.

Nini maoni yako?

Shiriki mjadala huu kupitia https://jamii.app/ApostleSuleman

#JamiiForums #Uwajibikaji #AfricanPolitics #HumanRights
Fainali za mashindano hayo zimefanyika Aprili 11, 2026, katika Ukumbi wa CRDB, Dar es Salaam.

Katika dunia ya leo ambapo kila mmoja wetu ana maisha mtandaoni, unadhani ni kitu gani kimoja ambacho unapaswa kukifahamu zaidi ili kulinda usalama wa akaunti yako?

Shiriki kwenye mjadala huu👉🏾 https://jamii.app/UdomCyberCompetition

#JamiiForums #JFElimu #JFTechnology #JFSports
ENGLAND: Mechi nyingine za Ligi Kuu (#EPL) leo Aprili 12, 2026

Crystal Palace Vs Newcastle Utd
📍 Dimba la Selhurst Park - Saa 10 Jioni

Nottingham Forest Vs Aston Villa
📍 Uwanja wa The City Ground - Saa 10 Jioni

Sunderland Vs Tottenham Hotspur
📍 Uwanja wa Uwanja wa Light - Saa 10 Jioni

Bofya kushiriki mjadala👉🏾 https://jamii.app/ChelseaVsManCityEPL

#JamiiForums #JFSports #JFEPL2026
Please open Telegram to view this post
VIEW IN TELEGRAM
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema hayo Aprili 11, 2026 katika Kongamano la kuadhimisha Miaka 104 ya kuzaliwa kwa Hayati Mwalimu Julius Nyerere.

Shiriki mjadala huu https://jamii.app/NchimbiMadaraka

#JamiiForums #Uwajibikaji #Governance
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Akizungumza na Vyombo vya Habari Aprili 12, 2026, Naibu Katibu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa amezitaka Mamlaka kufanya marejeo ya bei ya mafuta nchini.

Yapi maoni yako Mdau?

Shiriki mjadala huu kupitia https://jamii.app/GolugwaMafutaMisafara

#JamiiForums #Uwajibikaji
1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, ameyasema hayo leo Aprili 12, 2026 alipokuwa akihutubia Wananchi wa Wilaya ya Chamwino katika Jimbo la Mvumi.

Fuatilia mjadala huu https://jamii.app/MwiguluWiziMatukio

#JamiiForums #Utawala #JFUchumi
UPDATE: Machi 27, 2026, Mdau wa JamiiForums.com alihoji kuhusu kufungwa kwa Fremu za Kituo cha Mabasi Mwenge na kutoa wito kwa Mamlaka husika kuweka wazi nini kinachoendelea juu ya eneo hilo la biashara.

Fuatilia zaidi https://jamii.app/FremuMwengeKufunguliwa

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #Uwajibikaji

Nawe unaweza kuwasilisha Kero yako kupitia FichuaUovu ndani ya JamiiForums.com 📌
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Chamwino katika Jimbo la Mvumi, leo Aprili 12, 2026 ameeleza vita ya rasilimali ni kubwa na ndio maana baadhi maslahi ya waliozoea kuchukua 'shea’ za wengine yakiguswa huwa wanaajiri Watu wa kutukana.

Yapi maoni yako juu ya hili?

Shiriki mjadala https://jamii.app/MwiguluKutukanaViongozi

#JamiiForums #JFUchumi
PREMIER LEAGUE: Timu ya #ManchesterCity imeshinda Magoli 3-0 dhidi ya #Chelsea, matokeo yanayoifanya kufikisha alama 64 katika mechi 31, ikiwa nafasi ya pili nyuma ya Arsenal yenye alama 70 katika michezo 32.

Mchezo ujao wa City itaivaa #Arsenal mnamo Aprili 19, 2026, ambapo mshindi wa hapo atakuwa na nafasi mzuri katika mbio za ubingwa msimu huu wa 2025/2026.

Baada ya matokeo hayo, Chelsea imebaki nafasi ya 6 ikiwa na alama 48 katika mechi 32.

Zaidi https://jamii.app/ChelseaVsManCityEPL

#JamiiForums #JFSports #JFEPL2026
Mdau, una utaratibu gani kuhusu matumizi ya simu wakati wa chakula?

Shiriki kwenye mjadala huu👉🏾 https://jamii.app/SimuChakula

#JamiiForums #JFTechnology #Maisha
Aprili 13, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com usiku huu📌📌

Fuatilia zaidi mjadala👉🏾 https://jamii.app/ViktorAshindwaUchaguzi

#JamiiForums #HungaryElection