Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (#TLS), Boniface Mwabukusi amevitaka vyombo vya dola na taasisi za usimamizi wa uchaguzi kutoa majibu ya haraka kuhusu kile alichokiita “mauaji ya halaiki” na miili ya raia iliyopotezwa Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa taifa haliwezi kupona bila ukweli na uwajibikaji.
Fuatilia mjadala huu kupitia https://jamii.app/MauajiYaHalaiki
#JamiiForums #Uwajibikaji
Fuatilia mjadala huu kupitia https://jamii.app/MauajiYaHalaiki
#JamiiForums #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Jaji Mkuu, George Masaju ametoa kauli hiyo wakati wa ufunguzi wa Wiki ya Usuluhishi, Aprili 9, 2026.
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/MasajuKupakiKesi
#JamiiForums #Uwajibikaji
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/MasajuKupakiKesi
#JamiiForums #Uwajibikaji
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere ameeleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, kuhusu malipo ya uuzwaji wa viwanja eneo la Pangani, Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha, Mkoani Pwani.
Ikumbukwe, Septemba 4, 2025, Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Dkt. Rogers Shemwelekwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Nickson John walisema hadi siku hiyo walikuwa wamepima viwanja 18,000 na kugawa Hati 180 na kwamba Hati 7,000 zilikuwa tayari zinasubiri wahusika wamalizie malipo.
Kwa taarifa zaidi tembelea https://jamii.app/CAGViwanjaKibaha
#JamiiForums #RipotiCAG #Uwajibikaji #Accountability #Governance

ENGLAND: Arsenal, vinara wa Ligi Kuu England (#EPL), wamepoteza mchezo huo kwa mabao 2-1 dhidi ya Bournemouth katika dimba la Emirates. Arsenal inabaki na alama 70 baada ya michezo 32, huku wapinzani wao wa karibu, Manchester City, wakiwa na alama 61 na michezo 30.
Kupoteza huko kumeongeza presha katika mbio za ubingwa, hasa wakati tofauti ya alama ikiendelea kupungua kadri ligi inavyoelekea ukingoni.
Mchezo ujao wa Arsenal itaivaa Manchester City katika mwendelezo wa ligi hiyo.
Fuatilia mjadala huu https://jamii.app/ArsenalWashikwaBega
#JamiiForums #JFSports #JFEPL2026

🤣2
DODOMA: Uongozi wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa, Keffi (#NSUK) cha Nigeria umemtunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari Rais Samia Suluhu, tukio hilo limefanyika kwa njia ya Mtandao, leo Aprili 11, 2026.
Fuatilia zaidi mjadala huu https://jamii.app/SamiaTuzoNigeria
#JamiiForums #Diplomasia #JFDiplomacy
Fuatilia zaidi mjadala huu https://jamii.app/SamiaTuzoNigeria
#JamiiForums #Diplomasia #JFDiplomacy
❤2
Aprili 11, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com wakati huu📌
Fuatilia zaidi https://jamii.app/PrecisionMwanza
#JamiiForums #Uwajibikaji
Fuatilia zaidi https://jamii.app/PrecisionMwanza
#JamiiForums #Uwajibikaji
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limewataka Wananchi waliopoteza/kuacha au kusahau vitambulisho vyao katika treni na Stesheni za SGR na MGR kufika ofisi za TRC zilizo karibu nao ili kuvichukua na kwamba ambavyo havijachukuliwa vitarejeshwa kwa mamlaka husika kwa hatua zaidi.
Fuatilia zaidi kupitia https://jamii.app/VitambulishoTRC
#JamiiForums #Uwajibikaji
Fuatilia zaidi kupitia https://jamii.app/VitambulishoTRC
#JamiiForums #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mbunge wa Jimbo la Makete, Festo Sanga ameyasema hayo Aprili 9, 2026, wakati akichangia hoja Bungeni kuhusu Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Fuatilia mjadala huu https://jamii.app/FestoUwajibikaji
#JamiiForums #Uwajibikaji #Governance
Fuatilia mjadala huu https://jamii.app/FestoUwajibikaji
#JamiiForums #Uwajibikaji #Governance
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mbunge wa Jimbo la Makete, Festo Sanga ameyasema hayo Aprili 9, 2026, wakati akichangia Mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Ikumbukwe, Machi 30, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika hoja kuwa "Ziara za Mwigulu zinaonesha Wananchi hawana imani na Viongozi ngazi ya Wilaya na Mkoa ikiwemo Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa ndiyo maana wanasubiri Waziri Mkuu au Kiongozi wa juu apite ndiyo wawasilishe hoja zao jambo linaloonesha kuna tatizo la uwajibikaji!"
Fuatilia mjadala https://jamii.app/FestoUwajibikaji

DJIBOUTI: Rais Ismael Omar Guelleh (78) aliyemrithi mjomba wake Mwaka 1999, ametangaza ushindi wake kupitia Mtandao wa X kwa kuandika “RÉÉLU”. Ushindi huo uliotabiriwa, umechagizwa na chama chake kudhibiti taasisi nyingi za kitaifa, huku Bunge likiwa limefuta ukomo wa umri wa wagombea Urais pamoja na sharti la Kura ya maoni ya kubadili Katiba.
Fuatilia zaidi mjadala huu https://jamii.app/RaisGuelleh
#JamiiForums #DjiboutiElection2026 #AfricanPolitics
Fuatilia zaidi mjadala huu https://jamii.app/RaisGuelleh
#JamiiForums #DjiboutiElection2026 #AfricanPolitics
👎2
Ni maneno gani mengine hukukera yanapoandikwa kwa mtindo huo?
Bofya kuona maoni ya Wadau JF https://jamii.app/UandishiManeno
#JamiiForums #JFLugha #JFChitChat
Bofya kuona maoni ya Wadau JF https://jamii.app/UandishiManeno
#JamiiForums #JFLugha #JFChitChat