MWANZA: Timu ya #Yanga imeendelea kujikita kileleni katika Ligi Kuu Bara baada ya kuichakaza Pamba Jiji FC magoli 3-0 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba na hivyo kufikisha pointi 44 katika michezo 18, huku Pamba ikishuka kwa nafasi moja na kuwa katika nafasi ya 6 ikiwa na alama 26 katika mechi 18.
Wakati huohuo, mchezo mwingine wa Ligi Kuu uliochezwa mapema leo Aprili 8, 2026, Singida Black Stars imeifunga KMC goli 1-0 kwenye Uwanja wa Airtel, Singida.
Zaidi https://jamii.app/PambaFCYangaSC
#JamiiForums #JFSports #JFLigiKuu2026

Timu hizo zinakutana katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), michezo ya marudio inatarajiwa kuchezwa Jumanne, Aprili 14, 2026, zote zikiwania kufuzu kwenda hatua ya Nusu Fainali.
Awali, michezo ya kwanza ya hatua hiyo ya jana Aprili 7, 2026, Real Madrid ilipoteza nafasi ya kutamba nyumbani baada ya kufungwa magoli 2-1 dhidi ya Bayern Munich, huku Sporting CP ikiruhusu Arsenal kutikisa nyavu zake kwa goli 1-0 nyumbani.
Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/UEFARoboFainali
#JamiiForums #JFSports #JFUEFA2026

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu ameyasema hayo Bungeni, leo Aprili 8, 2026 wakati akichangia hoja.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/KinguMakampuniMafuta
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Fuatilia zaidi https://jamii.app/KinguMakampuniMafuta
#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Moja ya mjadala unaendelea ndani ya JamiiForums.com wakati huu📌
Zaidi tembelea https://jamii.app/SamiaBeiMafuta
#JamiiForums
Zaidi tembelea https://jamii.app/SamiaBeiMafuta
#JamiiForums
UINGEREZA: Kauli hiyo inakuja wakati mjadala wa kimataifa kuhusu uwajibikaji wa kihistoria ukiendelea juu ya biashara ya utumwa uliofanyika kati ya karne ya 16 na 17 ikidaiwa Mataifa ya Ulaya yalisafirisha zaidi ya Waafrika milioni 15 na kuwatumikisha kukuza uchumi wao ikiwemo mapinduzi ya Viwanda.
Zaidi https://jamii.app/FidiaUtumwa
#JamiiForums #Uwajibikaji #HumarRights
Zaidi https://jamii.app/FidiaUtumwa
#JamiiForums #Uwajibikaji #HumarRights
DAR: Ombi hilo limetolewa leo Aprili 8, 2026 katika Mkutano wa Wadau wa Usafirishaji ulioandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (#LATRA), muda mchache baada ya Mamlaka hiyo kutangaza kuongeza muda wa wiki mbili zaidi wa kupokea maoni kuhusu mapitio ya nauli.
Soma zaidi https://jamii.app/DaladalaKusitishaUsafiri
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFUchumi
Soma zaidi https://jamii.app/DaladalaKusitishaUsafiri
#JamiiForums #Uwajibikaji #JFUchumi
❤1
MICHEZO: Licha ya kupewa nafasi kubwa ya kushinda kabla ya mchezo, timu ya #FCBarcelona imekutana na kipigo cha magoli 2-0 kwenye Uwanja wa Camp Nou kutoka kwa Atletico Madrid, ikiwa ni mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mchezo mwingine wa hatua hiyo, PSG ikiwa nyumbani imeshinda 2-0 dhidi ya Liverpool ambayo haijapiga shuti hata moja langoni kwa wapinzani ambao wao walipiga mashuti 6. Timu hizo zinatarajiwa kurudiana wiki ijayo Aprili 14, 2026.
Zaidi https://jamii.app/UEFARoboFainali
#JFSports #JamiiForums #JFUEFA2026