JamiiForums
35.3K subscribers
37.1K photos
2.93K videos
32.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
SUDAN KUSINI: Rais Salva Kiir amemteua Joseph Ngere Paciko kuwa Spika mpya wa Bunge, na Abuk Paiti Ayiik kuwa Naibu Spika baada ya kuwafuta kazi watangulizi wao kwa madai ya vitendo vya rushwa.

Fuatilia mjadala https://jamii.app/SpikaSudan

#JamiiForums #Accountability #Governance
ARUSHA: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa  Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA) kutatua kero ya watu waliolipia kupewa huduma ya maji ambao hawajaunganishiwa kwa madai ya ukosefu wa mita

Zaidi https://jamii.app/AUWSAMita

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
Aprili 8, 2026: Moja ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com asubuhi hii📌

Fuatilia zaidi na kushiriki mjadala https://jamii.app/TrumpAsitishaShambulio

#JamiiForums #GlobalPolitics
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere amesema baadhi ya Taasisi za Umma hazikuzingatia mapitio ya Kisheria wala ushauri wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kusaini mikataba yenye thamani ya Tsh. Bilioni 56, akitoa mifano ya taasisi hizo kuwa ni Chuo Kikuu cha Dodoma (#UDOM) na Shirika la Umeme Tanzania (#TANESCO).

Alieleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Zaidi https://jamii.app/CAGRipoti2026

#JamiiForums #RipotiCAG #Uwajibikaji #Accountability #Governance
Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka husika kuleta Msuluhishi wa migogoro kwenye ofisi ya Idara ya Kazi (CMA) Mkoani Katavi, jambo linalochelewesha haki za wananchi wakisubiri msuluhishi kutoka mkoa mwingine.

Zaidi https://jamii.app/IdaraKaziKatavi

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DAR: Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Msataafu Mohamed Chande Othman amesema hayo Aprili 8, 2026 wakati akizungumza na Waandishi wa Habari.

Zaidi https://jamii.app/TumeJajiChande

#JamiiForums #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu ameyasema hayo Bungeni, leo Aprili 8, 2026 wakati akichangia hoja.

Soma https://jamii.app/BungeMgogoroRais

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Rais Samia akizungumza katika hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali leo Aprili 8, 2026, Ikulu ya Chamwino, ametoa maelekezo kwa Serikali kuanza kupunguza matumizi ya mafuta ya gari.

Soma zaidi https://jamii.app/SamiaKubanaMatumizi

#JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala #JFUchumi
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Eng. Ezra Chilewesa, Amesema hayo Aprili 8, 2026 wakati akichangia mjadala wa bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu Bungeni.

Kwa taarifa zaidi https://jamii.app/MafutaSerikali

#JamiiForums #Uwajibikaji
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Akizungumza Aprili 8, 2026 katika hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, Rais Samia ametoa mchanganuo wa bei za mafuta kwa mataifa ya Ulaya na Marekani.

Kwa taarifa zaidi https://jamii.app/MafutaMarekaniUlaya

#JamiiForums #Uwajibikaji