MBEYA: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa mamlaka husika za Wilaya ya Rungwe kufanya marekebisho Soko la Ndizi, Kiwira kwani matope yamejaa na kuhatarisha afya za wanaotembelea hapo kipindi hiki cha mvua
Zaidi https://jamii.app/MatopeSokoKiwira
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #PublicHealth
Zaidi https://jamii.app/MatopeSokoKiwira
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #PublicHealth
Real Madrid na Bayern Munich zimekutana mara 28, Madrid ikishinda mechi 13 dhidi ya 11 za Bayern, huku zikiwa zimetoa sare nne.
Sporting CP na Arsenal zimekutana mara sita katika mashindano yote, Arsenal imeshinda mara mbili, Sporting mechi 1, huku tatu zikimalizika kwa sare.
Timu hizo zinakutana katika Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), michezo ya marudio inatarajiwa kuchezwa Jumatano, Aprili 15, 2026, zote zikiwania kufuzu kwenda hatua ya Nusu Fainali.
Fuatilia mjadala https://jamii.app/UEFAQuarterFinal
#JamiiForums #JFSports #JFUEFA2026

Watu wengi hushindwa jinsi ya kujieleza kwa wataalam wa afya hivyo kupelekea kutopata tiba sahihi na kwa wakati.
Umejifunza nini kupitia post hii?
Soma zaidi https://jamii.app/KujielezaUgonjwaDaktari
#JamiiForums #JFAfya #PublicHealth
Umejifunza nini kupitia post hii?
Soma zaidi https://jamii.app/KujielezaUgonjwaDaktari
#JamiiForums #JFAfya #PublicHealth
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DODOMA: Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (#CCM), Kenani Kihongosi, leo Aprili 7, 2026 akizungumza na Waandishi wa Habari, amewajibu wanaoshinikiza kufutwa kwa ushuru na tozo kwenye mafuta, akisema hatua hiyo ni "udanganyifu wa Kisiasa" na jambo ambalo haliwezekani katika uendeshaji wa nchi yoyote Duniani.
Fuatilia mjadala https://jamii.app/KihongosiKodiMafuta
#JamiiForums #Uwajibikaji #UtawalaBora #JFUchumi
Fuatilia mjadala https://jamii.app/KihongosiKodiMafuta
#JamiiForums #Uwajibikaji #UtawalaBora #JFUchumi
❤1
Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Muhitimu wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT), amelalamika kuhusu changamoto ya kozi wanazosoma kutotambulika kwenye mfumo wa Ajira Portal, akitoa wito kwa Mamlaka kufuatilia na kutatua changamoto hiyo.
Fuatilia zaidi https://jamii.app/KoziAjiraPortal
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #Uwajibikaji
Fuatilia zaidi https://jamii.app/KoziAjiraPortal
#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #Uwajibikaji