JamiiForums
35.3K subscribers
37.1K photos
2.93K videos
32.7K links
Official Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
Download Telegram
Una mtazamo gani kwenye hili? Ni lazima kueleza changamoto inayokufanya ukope?

Kushiriki mjadala tembelea https://jamii.app/KukopaKwaMtu

#JamiiForums #JFMdau2026, #Maisha
Aprili 7, 2026: Moja kati ya mijadala mingi inayoendelea ndani ya JamiiForums.com usiku huu📌📌

Fuatilia zaidi mjadala https://jamii.app/TumeUchunguziApril24

#JamiiForums #Governance
Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa Mamlaka husika kufuatilia mifumo ya vitengo vya Huduma kwa Wateja za Kampuni za Mawasiliano akidai baadhi hazina chaguo la kuzungumza na mhudumu, pia mteja kusubirishwa kwa muda mrefu.

Mdau, umewahi kupitia changamoto hii kupitia kampuni yako ya simu unayoitumia?

Zaidi https://jamii.app/CallCentre

#JamiiForums #JFMdau2026 #JFHuduma #HakiZaKidijitali #DigitalWorld
MBEYA: Mdau wa JamiiForums.com anatoa wito kwa mamlaka husika za Wilaya ya Rungwe kufanya marekebisho Soko la Ndizi, Kiwira kwani matope yamejaa na kuhatarisha afya za wanaotembelea hapo kipindi hiki cha mvua

Zaidi https://jamii.app/MatopeSokoKiwira

#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji #PublicHealth
Real Madrid na Bayern Munich zimekutana mara 28, Madrid ikishinda mechi 13 dhidi ya 11 za Bayern, huku zikiwa zimetoa sare nne.

Sporting CP na Arsenal zimekutana mara sita katika mashindano yote, Arsenal imeshinda mara mbili, Sporting mechi 1, huku tatu zikimalizika kwa sare.

Timu hizo zinakutana katika Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), michezo ya marudio inatarajiwa kuchezwa Jumatano, Aprili 15, 2026, zote zikiwania kufuzu kwenda hatua ya Nusu Fainali.

Fuatilia mjadala https://jamii.app/UEFAQuarterFinal

#JamiiForums #JFSports #JFUEFA2026
Watu wengi hushindwa jinsi ya kujieleza kwa wataalam wa afya hivyo kupelekea kutopata tiba sahihi na kwa wakati.

Umejifunza nini kupitia post hii?

Soma zaidi https://jamii.app/KujielezaUgonjwaDaktari

#JamiiForums #JFAfya #PublicHealth